uwezo

  1. Nigrastratatract nerve

    Mnajisikiaje kuona msiyempenda ndiye anashangiliwa na wapiga kura?

    Hayati Magufuli anawaumbua akiwa amekufa mlitegemea mradi huo ungepaisha majina yenu lkn wananchi mnaendelea kuwatia hasira Wananchi wanaona wazi waliyempenda na aliyekuwa rafiki yao anaandamwa na vijana wa mjini kwa nn mnajiaibisha kiasi hiki badilkeni someni alama Za nyakati wenye nchi ni...
  2. Carlos The Jackal

    Mwanza: Mmiliki wa mabasi ya J4 aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa aachiwa huru

    Mfanyabiashara na Mkurugenzi wa kampuni ya Mabasi ya J4 Express, alidaiwa kuwaua kwa kuwapiga kwa risasi Ally Abeid Mohamed, mkazi wa Igoma na Claud Sikarwanda, mkazi wa Nyasaka Ilemela, Julai 13, 2015, majira ya saa 4:00 usiku, eneo la Nyakato Boma kwenye ofisi na karakana ya magari ya...
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Kuwa na uwezo kutoka koo masikini ni adhabu

    Mwanzoni mwa 2019 niliuguliwa sana mdogo wangu. Nililazimika kufa naye kwa sababu nilianza kuishi naye akiwa form 1 wakati mimi nimeanza maisha. Aliumwa takribani mwaka mzima,gharama za matibabu zilikuwa kubwa sana lakini nikakomaa mpaka akapata afadhali kubwa. Kabla ya hapo nilikuwa mstari wa...
  4. I

    Computer4Sale Laptop nzuri yenye uwezo, inauzwa

    Ni portable(14") lakini ni powerful. -RAM 12GB -HDD 500GB -Processor i5 5300u -64bit -Windows 10 pro(Activated) - haina tatizo lolote Bei 380,000 tu Location DAR mawasiliano: 0768985321 PM kwa maelezo zaidi Adaptor yake ni original sio ya kununuliwa dukani, pia nakupa na external mouse MPYA...
  5. Sildenafil Citrate

    Mwigulu Nchemba: Kuwa na uwezo wa Kukopesheka ni sifa nzuri kwa Taifa

    Waziri wa Fedha na mipango Dr. Mwigulu Nchemba akizungumza na Clouds 360 asubuhi hii kuhusu Deni la Taifa amesema Tanzania ni nchi iliyo na sifa nzuri kimataifa, ikiwemo kuwa na uwezo wa kukopesheka pasipo vikwazo. Akijibu swali la Mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini anajisifu kuwa na...
  6. BARD AI

    Zanzibar: Meli ya Serikali iliyokarabatiwa kwa Tsh. Bil 3.6 yauzwa kwa Tsh. Mil 536.8

    Meli ya MV Maendeleo yenye uwezo wa kubeba abiria 600 na tani 697 za mzigo kwa wakati mmoja ilikuwa ikifanyiwa matengenezo Bandari Kavu ya Mombasa, Kenya. Wizara ya Uchukuzi Zanzibar imechukua uamuzi wa kutoendelea na ukarabati na kuiuza Meli hiyo kwa mnunuzi ambaye hajatajwa ili kupunguza...
  7. Sang'udi

    Je, viongozi wetu wa sasa wana uwezo wa kutuunganisha?

    Tunapokuwa na viongozi imara kama taifa tunakuwa na uwezekano mkubwa wa kuendelea. Moja ya kiashiria cha uongozi bora ni uwezo wa kutuunganisha tunapotofautiana. Je, viongozi wetu wa kitaifa (hasa wanaoshikilia nyadhifa za juu kabisa) wana sifa hii adhimu na muhimu? Tuwe na sherehe njema ya...
  8. Maleven

    Ni mimi peke yangu ndio nimeoa mke mwenye uwezo mdogo wa akili?

    Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine, Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot N.B Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
  9. Gaddaf i06

    Kiakili una uwezo kiasi gani? Ngoja tuone

    Habari zenu wakuu, Aya, mara mojamoja sio mbaya ....tangu uzaliwe, uliwahi kutengeneza /kubuni nini cha kwako mwenyewe? (kwa kutumia elimu ya darasani au akili ya kuzaliwa) wazee wa zamani hawakuwa na elimu kama tunayoipata sisi, masuala haya ya teknolojia ni mambo ya kisasa wala...
  10. MK254

    Marekani kuzindua B-21, ndege yenye uwezo wa kushambulia kwa nyuklia tena bila rubani

    Sifa za hii ndege ni za kiajabu ajabu, kitengo cha wana hewa (airforce) kitaagiza 100 kama hizi, zina uwezo wa kusafiri kwa mwendo kasi tena bila rubani na zitashambulia kwa silaha kali ikiwemo manyuklia. ================= The US Air Force will unveil its new B-21 Raider on Friday, a high-tech...
  11. Mpigamimba

    Uwezo wa kigogo kukwepa harkers? Au mwenyewe kuhack kibabe.

    Habarini. Sote tulishuhudia Mtaalamu kigogo alivyosumbua. Wakuu nimeona nije na swala hili kwamba huyu kigogo umahiri wake kiweza kukwepa mishale enzi na awamu Ile technically ikoje hii.? Msaada wa VPN ama ilikaaje.
  12. J

    Kinana awataka UVCCM wajijengee uwezo wa kuongea Majukwaani

    Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana amewataka UVCCM wajijengee uwezo wa kuongea Majukwaani Hii itasaidia wananchi kuelewa ujumbe wanaopewa nyakati za kuielezea Ilani ya CCM na utekelezaji wake Source TBC
  13. sanalii

    Watu wenye uwezo mdogo wa kiakili ndiyo huchepuka

    Haina ubishi, sababu ni kama zifuatavyo; 1. Wanakua na uwezo mdogo wa kudhibiti hisia zao. 2. Hawana jambo linaloichangamsha akili like having intellectual project to be solved and fulfilled. 3. Uwezo wa ku reason ni mdogo hivyo ana act on feelings and not logic. 4. Wanauwezo mdogo wa...
  14. Victor Mlaki

    Uwezo wa kuhoji kila kitu ni sifa muhimu ya ukuzaji wa ubinadamu na chachu ya maendeleo katika njia tofauti

    Binadamu ameumbwa kwa upekee unaomfanya kila mmoja kujuona kwa namna yake. Hitaji kubwa la mwanadamu ni uhuru dhidi ya kila kitu. Taasisi nyingi zilizopo leo kwa upekee wake zina mazingira ya kupora uhuru na kujenga mazingira ya hofu kwa mwanadamu ili aweze kutawalika. Baadhi ya maandiko ya...
  15. L

    Mashine ya kichina yenye uwezo wa kupika vyakula 1000 tofauti

    Na Gianna Amani Maendeleo ya sayansi na teknolojia yanakwenda kasi, kutokana na changamoto mbalimbali zilizopo duniani, binadamu wameendelea kukuna vichwa na kutafutia ufumbuzi ambao umeleta tija katika maeneo mengi sasa. Teknolojia imechangia katika kurahisisha shughuli za binadamu, lakini...
  16. NetMaster

    THE POWER GAME: Ni ukanda upi hapa Tanzania wanaongoza kwa uwezo mkubwa wa kucontroll power?

    The power Game, Anaeweza kushika madaraka ndie yupo juu zaidi, Mfano kwa Nigeria kanda ya kaskazini wapo nyuma kielimu na kibiashara lakini linapokuja suala la Power wao ndio wameikamta na kuweza kuitumia kuwa juu ya kanda ya kusini mashariki walioshika biashara za nchi na kanda ya kusini...
  17. DR HAYA LAND

    Watanzania hawana uwezo wa ku-reason na kwa style hii tegemeeni nchi kuongozwa kama Familia ya mtu mmoja

    Ebu angalieni suala la ajali ya Ndege watu wengi mmepewa uongo na mmeamini Ni aibu kubwa sana Taifa kuwa na Idadi ya wajinga. Mimi hii Ajali najua kila kitu na mlivyoambiwa Ni vitu viwili tofauti hata havi-relate Ndiyo maana Tbc walitumwa na Serikali kumfanyia mahojiano Majaliwa
  18. Mwl Athumani Ramadhani

    Mngeomba msaada kwa CDF, angewapa makomando, wangeonyesha uwezo wao na kuokoa wahanga wa ajali ya ndege

    Nampa pole Waziri MKUU na Rais KWA fedheha na aibu tulioipata kama Taifa kwenye hii ajali ya ndege, mengi yameandikwa lakini NIMEONA niwape mbadala kwa siku za mbeleni kama yakitokea kama Hayo tulioyaona! Naamini kama Waziri MKUU angemuomba CDF amsaidie kwenye hili nadhani tungeshuhudia...
  19. M

    Chadema: Kama Taifa hatuna uwezo wa kukabiliana na majanga

  20. Verified

    Mbwa wana uwezo wa kuwaona Wachawi?

    Wasalaam ndugu wana JF Kwa almost miaka 12 iliyopita, ninaishi katika eneo ambalo inasemekana lina mauza uza japo binafsi sikuwahi kuyaona kwa macho, ingawa nishaua wanyama ambao wamekuja kiajabu ajabu mara nyingi sana kama nyoka, ndege n.k Katika eneo langu, ninafuga Mbwa, ninao mbwa 5...
Back
Top Bottom