uwezo

  1. R

    Dkt. Makakala hongera sana kwa mabadiliko makubwa katika utoaji VISA na Pasipoti Ubalozini; wajengeeni uwezo watoa huduma wenu

    Tanzania ukifanya vizuri Sana lazima kuna sehemu utabutua. Uhamiaji mmefanya vizuri Sana kusogeza huduma za Pasipoti na Visa za kielekronikia kwenye mtandao. Utaratibu wa kuomba na kukamilisha maombi upo fresh na unaendana na mahitaji ya Dunia Kwa sasa. Lakini wakati mnatengeneza mfumo mzuri...
  2. Tajiri Tanzanite

    Kwa Ukweli huu shetani ni tapeli na uwezo wake ni mdogo sana

    Hapo vip!! Nimekuwa najiuliza swali dhidi ya uwezo na mapenzi ya shetani kwa wafuasi wake najikuta naona shetani ni tapeli na muongo. Najiuliza kama kweli shetani anauwezo wa kushindana na Mungu. Mbona Mungu baba Jehova(bwana wa Majeshi au bwana wa mabwana)alivyoamua kuwapiga kiberiti wale...
  3. Chikenpox

    Hayati Magufuli alikuwa na utashi lakini alikosa uwezo

    Mimi nakubali sana kuwa JPM alikuwa na utashi mkubwa na nchi hii lakini uwezo alikuwa hana. Hii inadhihirishwa na miradi mikubwa aliyoianzisha, japo nina uhakika asingeweza kuimaliza maana tayari alinipiga pini yeye mwenye kwa kuweka mazingira magumu kwa wafanyabiashara wakubwa, kutoamini...
  4. SYLLOGIST!

    Serikali acheni kukurupuka, wajengeeni uwezo badala ya kuwakandamiza wakulima wa bangi

    Naandika bila ya mpangilio au mtiririko maalum. Nimekurupuka na Jazba. Nimeona ni muhimu kuendeleza mjadala huu. Kuna .... Uzi huu ambao umetoa hoja zinazofanana na yaliyonitatiza roho yangu leo (Ukipata vidakika pitia huko) na baada ya kukutana na Uzi huu hapa, hususani kuhusu operesheni ya...
  5. NetMaster

    Wameamua wawe na mtoto moja tu licha ya kuwa na uwezo wa kuongeza na kulea, je hii ni haki kwa mtoto wa kiafrika?

    Ni wazazi wawili, mke ni mhasibu taasisi ya kiserikali, mme ni engineer, kielimu wapo vizuri kuna moja aliweza kusoma masters yake nje ya nchi na mwingine ni hapa hapa bongo ila ana elimu kubwa. Mtoto walie nae ni moja tu yupo darasa la saba. Sababu kuu ya kuwa na mtoto moja ni mke kutotaka...
  6. MIXOLOGIST

    Tuache kuwatahini watoto ili kujua mwenye uwezo wa kukariri, hakuna mtoto aliye-fail, bali serikali ndiyo ina-fail

    Wasalaam wana JF Naomba nikiri katika pita pita zangu za kielimu nimegundua mambo yafuatayo: 1. Elimu inapaswa ifundishe watu kutatua matatizo yao na siyo yenyewe kugeuka kuwa tatizo. 2. Siyo kila tatizo la kidunia linatatuliwa na mfumo rasmi wa kielimu ambao unapima uwezo wa kukariri na si...
  7. tang'ana

    Shule yetu ya kata ina matokeo mazuri kuliko shule nyingi za Dar

    Hii ni shule ya kata yetu mkoani Mara huko, shule haina muda mrefu tangu ianzishwe.. changamoto ni nyingi sana huko kijijini kwetu lakini ukiangalia matokeo ya hii shule in comparison na mashule mengi ya hapa Dar unaona kabisa hii shule imefanya vizuri sana. Hawa vijana wa Daslamu wasipokuwa...
  8. T

    Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa harufu mbalimbali

    habari wanajamvi, msaada kwa mgonjwa asieweza kunusa harufu ya kitu chochote kwa muda wa miezi sita sasa msaada wa daktari au dawa ni muhimu
  9. G-Mdadisi

    Wananchi wajengewe uwezo wa kutambua changamoto zao na wajue kuwa ni wajibu wao kudai haki

    Pemba, ZANZIBAR KATIKA kuhakikisha jamii inakuwa na uwezo wa kutambua umuhimu wa kudai upatikanaji wa haki zao za msingi, kamati za wananchi kutoka shehia za Wilaya za Micheweni, Wete, Mkoani na Chake Chake Pemba zimeshauriwa kuendelea kuwashirikisha wananchi kujadili changamoto zinazowakabili...
  10. McCollum

    Alimsomesha chuo, baada ya kumaliza masomo ndugu wakadai hana uwezo wa kuishi nae

    Habari za Jumapili? Naomba niende moja kwa mona kwenye mada, hiko hivi, kuna kijana ambaye ametokea mkoa mmoja huko Kanda ya Kaskazini, huyu hakuwa na wazazi wote wawili kwani walifariki kipindi alipokuwa mdogo sana. Kwa kipindi kirefu cha Elimu yake alikuwa akiishi na bibi upande wa mama...
  11. M

    China haina uwezo wa kustahimili vikwazo vya kiuchumi kama Urusi ilivyoweza kustahimili, ndio maana haina ubavu wa kuivamia Taiwan.

    Nchi za magharibi hazijaamini hadi sasa kuwa Urusi imeweza kuhimili vikwazo lukuki vya kiuchumi, kinyume chake nchi za magharibi hususan ulaya magharibi ndizo zilizoumia zaidi. Ilitegemewa kuwa urusi itashindwa kuhimili na hivyo kushindwa kuendesha vita vyake dhidi ya ukraine. Kwa upande...
  12. MK254

    Romania kujihami na madubwana ya Marekani yenye uwezo wa kupiga meli za Urusi

    Mrusi keshasogelewa vya kutosha, tena anashikwa hadi kidevu, kwa sasa hawezi akajifanya kama ambaye anajikuna, haya mavitu yanawekezwa Romania yenye uwezo wa kusambaratisha meli zake huko huko katikati mwa bahari. Kwa sasa hana jeuri ya kusema chochote maana amedhihirisha alivyo dhaifu baada ya...
  13. L

    Hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kushindana na Rais Samia kwenye jukwaa wala ndani ya sanduku la kura

    Ndugu zangu watanzania, Huo ndio ukweli kuwa kwa Sasa Hakuna mpinzani au mtu yeyote kutoka upinzani mwenye uwezo wa kushindani na Rais Samia Jukwaani Na hata katika sanduku la kura, kwa Sasa Rais Samia ndiye kiongozi mwenye ushawishi mkubwa Sana hapa Barani Afrika na ukanda huu wa Afrika...
  14. Iziwari

    Kijana mwenye uwezo mkubwa wa kutengeneza michezo (games) ya kubeti, changamsha siku yako na hii

    Kila mtu anapenda kufanya kitu kitakacho mpa amani na furaha. Ikiwa utapata furaha ukifanya kitu Fulani, basi hicho ndio kitu kinachokufaa sana. Kuna watu wanapenda kupika, wengine kusoma vitabu, wengine kuimba au kuchora. Hizi zinaitwa hobbies, Mambo unayopenda sana,na siku yako haipiti bila...
  15. K

    Natafuta kazi nina uwezo huu

    Mimi ni mdada, mwenye uwezo wa kazi za receptionist, secretary, office attendant, Assistant administrator, Matron na pia ata storekeeper na hata mikoani naweza relocate Msaada
  16. Raphael Thedomiri

    Kagame ni kiongozi mwenye nguvu sana! Na nguvu zake kuu ni uwezo wake wa kijasusi!

    Paul Kagame, rais wa Rwanda anayetunishiana misuli na Felix Tshisekedi wa Congo, wakitupiana maneno, ambayo yanaendelea kudhoofisha mahusiano ya majirani hao! Kwa haya yanayoendelea kubainika kuhusu utawala wa Rwanda ambayo sio mazuri kidiplomasia, lakini mimi yananidhihirishia kwamba nguvu na...
  17. R

    Nahitaji fundi Dar mwenye uwezo wa urembo Gypsum kama huu

    nilipita sehemu mwaka juzi nikaona Ceiling nzuri kama hii. Nilipiga picha. Watalaam twambieni inahitaji makario kiasi gani cha pesa Sitting room kama hii. Fundi kama yupo tuanze kazi as soon as possible
  18. marehem x

    Newcastle United anasiri gani wakuu? Nimefatilia uwezo wake safiri hiii anatisha

    Wakuu hongerani na kazi. Wengi wetu tunafatilia Sana ligi za Ulaya Moja ya ligi pendwa ni English premier league. Katiba msimamo wa ligi Newcastle timu iliyokuwa unafanya vema enzi hizo ni kawaida kitobeza timu. Kwa Sasa inasonga vzr Sana kias Cha kuwa tishio Kwa nyingine kama Liverpool...
  19. Mama Edina

    Hakuna ulevi tatizo ni uwezo wako mdogo

    Watu wanashindwa kuhimili uwezo wa mambo flan flan kama pombe tatizo uwezo wa vichwa vyao. Hakuna ulevi tatizo ni uwezo wako mdogo wa ubongo wa watu wengi.
  20. GENTAMYCINE

    Nimemtizama huyu Mshambuliaji Mghana Opoku na Kugundua hata bado hajafikia 50% ya uwezo alionao Manzoki

    Mwekezaji Mohammed Dewji, CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah Mhene 'Try Again' wana Simba SC hatutowaelewa kama hatutalisikia Jina la Mshambuliaji Kiboko ya Mayele aitwae Manzoki. Msajilini haraka Ceaser L.obi Manzoki.
Back
Top Bottom