Ndani ya wiki moja tumeshuhudia makombola ya Hezbollah yakitwanga kambi ya jeshi ya Israel na kusababisha vifo vya wanajeshi kadhaa na majeruhi wengi. Leo kumeripotiwa shambolio jingine lililolenga makazi ya Netanyahu.
Haya makombora yanapita wapi ikiwa taifa hili linasemwa kuwa na mifumo...