Chama Cha Uzalendo (English: The Patriotic Party) is a Kenyan political Party that was one of several affiliates of Mwai Kibaki's Party of National Unity in the 2007 general election. It is currently headed by veteran politician and former Nakuru North Constituency Member of Parliament Koigi Wamwere and had two elected Members of Parliament in Central Imenti's Gitobu Imanyara and Wavinya Ndeti in kenya's 10th Parliament.
Kada- huyu ni mtu ambaye amekisoma vyema chama na kanuni zake bila kupepesa macho na kujiapiza ndani ya moyo wake kukitumikia chama Hiko bila kuogopa kitu chochote hata kifo.
Hivyo kuwa "KADA" sio jambo la lelemama wala jambo la mchezo mchezo ni kuwa mwanajeshi Tena mtiifu na MZALENDO.
Usiwe...
Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .
Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-
1. Rais Hussein Mwinyi
2. Bashiru Ally
3. Askofu...
Leo natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni kuhusu ishu ya wabunge 19 wa viti maalum kutoka CHADEMA ambao walifutwa uanachama hivi karibuni. Na haya maoni ninayoyatoa nikiwa nimejiridhisha kabisa na ukweli kuhusu hili sakata. Ni suala zito linalohitaji kufikiria kwa makini.
Mengi...
Afrika na Dunia nzima inakiri kuwa Dr. JPM (Hayati) ndie kiongozi bora na mzalendo kwlikweli kuwahi kutokea katika karne ya ishirini na moja.
Ni rais pekee aliyethubutu kutoa maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania.
Katika awamu yake, alithubutu kukingia kifua raslimali za watanzania...
Kila taifa lina tunu zake ambazo kimsingi ndio kimsingi ndio nguzo na uhai wa taifa husika. Logically speaking, najivunia kuwa mtanzania kwani tumebarikiwa kuwa na tunu ya amani na upendo miongoni mwetu.
Kutokana na uwepo wa propaganda nyingi watu wengi wamekuwa blinded na aggressive traits za...
Uzalendo tafsiri yake nyepesi ni kutokuvunja sheria za nchi yako.
Chanzo cha uzalendo kutoweka ni umasikini ambao unatia watu tamaa siyo tu ya kulimbikiza mali kwa wastani na ziada, bali kutafuta chochote cha kuokoa roho/uhai kwa maana ya mahitaji ya msingi ya chakula, malazi na mavazi ambayo...
Aisee nilikuwa sipo sahihi, nilidhani viongozi wanapenda nchi yao Hadi nikawa inspired, toka nipo msingi shule tunaitwa na walimu tushiriki shughuli za viongozi, mama anawaandalia mihogo asubuhi nyumbani muende uwanjani kushiriki.
Nilichogundua kumbe wakubwa wanalipwa posho kubwa sana kushiriki...
Wakati wachina wanaadhimisha siku ya taifa ya vijana, vijana kutoka nchi za Afrika ambao wamekuwa wakiishi China na kufanya kazi pamoja nao, wamekuwa wakitoa maoni mbalimbali kuhusu wanavyowaona wenzao wachina. Maoni ya vijana wengi kutoka Afrika kuhusu vijana wa China yanafanana, na karibu kila...
Wanabodi,
Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", na Leo ni kuhusu uzalendo wa kujitolea kuisaidia serikali yako na nchi yako, pale unapoona imeshindwa na inahitaji msaada, je tutaendelea kufanywa Shamba la Bibi Hadi Lini?.
Hili ni bandiko la kuisaidia serikali yetu kuhusu...
Kuna watu walikuwa wanajifanya wazalendo mpaka kupiga wengine risasi. Lakini ni wazalendo gani wanampiga mtu risasi akiwakosoa, wanataifisha pesa za watu kwenye bank, waharibu biashara na uwekezaji wa watu, wanajipendelea na kutumia pesa ya umma kujenga kwao na kufikia mpaka kuweka mbuga...
naweka silaha chini, kila la heri mnyama mkubwa kesho dhidi ya Orlando Pirates.
Mkipata goli 3 itakuwa advantage kubwa sana kuelekea mchezo wa marudiano na hatua muhimu kuelekea robo fainali.
Wito kwa sisi mashabiki wa Yanga, tujitunze kuwasapoti watani zetu katika hatua hii muhimu, baada ya...
Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani.
Chanzo: Radio One Taarifa ya Habari Asubuhi hii.
Je, unadhani na Marais wengine unaowajua Weww hapa Barani Afrika wangekuwa na Uthubutu huu...
Raha ya mpenzi au shabiki wa Simba, kwa asilimia kubwa, ni pale Simba inapoifunga Yanga au Yanga kufungwa na timu nyingine.
Na kwa wa Yanga ni kwa Yanga kuifunga Simba au Simba kufungwa na timu nyingine. Hakuna raha kwa mpenzi au shabiki wa Simba kwa Yanga kuifunga timu nyingine hata kama...
Leo tarehe 02 April 2022 Mwenge wa Uhuru unawasha Mjini Njombe. Makamu wa Rais Dr Philip Mpango (PhD) na Waziri mwenye dhamana Prof Ndalichako (PhD) wanatoa hotuba zilizojaa Elimu, Hekima na Maelekezo sahihi. Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe tangu ameachiwa huru mazungumzo na mahubiri yake yamekuwa ni kuwaunganisha watanzania kuwa kitu kimoja na kuipenda nchi yao kwanza, amekuwa akisisitiza kuwa "siasa ni chombo tu cha kutufikisha kwenye matamanio yetu" hivyo itikadi zetu za kisiasa kamwe...
Uzalendo ni nini?
Ubinafsi ni nini?
Mtu akipenda sana familia yake na jamii yake kiasi cha kuijali na kujitoa kwa ajili yake hawezi kuitwa mzalendo kwa jamii yake?
#Maelezo ya screenshot ni wikipedia
Uzoefu unaonyesha ukiona watanzania, hasa wanasiasa, wanaungana na wanahabari juu ya jambo fulani huku nguvu kubwa ikitumika kufanikisha jambo hilo , basi ujue teyari kuna watu wana masilahi binafsi na jambo husika, na teyari kuna bahasha zinatembea na wala si uzalendo wa wahusika unaowasukuma...
Mh. Waziri wa Sheria na Katiba amesikika leo akitoa somo:
Hii ikiwa hata vumbi la kuangushiwa jumba bovu lingali halijatulia:
Kuna haja ya tafsiri za neno hili "uzalendo" kupitiwa vyema ila kuwa na tafsiri moja. Tulipo leo haieleweki. Kwa jina la uzalendo Polepole anananga anaowaita...
Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu
Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.