uzalendo

Chama Cha Uzalendo (English: The Patriotic Party) is a Kenyan political Party that was one of several affiliates of Mwai Kibaki's Party of National Unity in the 2007 general election. It is currently headed by veteran politician and former Nakuru North Constituency Member of Parliament Koigi Wamwere and had two elected Members of Parliament in Central Imenti's Gitobu Imanyara and Wavinya Ndeti in kenya's 10th Parliament.

View More On Wikipedia.org
  1. Mag3

    Maajabu ya serikali ya CCM: Spika wa Bunge ana kinga na hashtakiwi, Wabunge wanatunga sheria lakini hawalipi kodi!

    Mbunge anakunja milioni ishirini na mbili (22,000,000/=) kwa mwezi lakini halipi kodi Mbunge huyo huyo anatunga sheria ya kodi huku yeye akijipa kinga ya kutolipa kodi! Pesa anazolipwa Mbunge zinatokana na kodi ya ambao hata mlo moja kwa siku ni shida! KumbeTanzania inajengwa na wazalendo...
  2. K

    Hakuna Mlipa Kodi anayependa kodi! Serikali na wananchi wajue hili

    Watanzania wengi walikuwa wanafikiri kodi ni kitu cha watu wengine! Sasa ndiyo wanajua ni lazima kulipa kodi. Zile risiti ambazo tulikuwa hatuziombi ni pesa ambazo serikali imekosa na sasa tunalipa wote. Wale machinga ambao mlikuwa mnawashangilia wauze bila kodi sasa ndiyo mnajua kwamba...
  3. May Day

    Hivi uzalendo ni kuwapunguzia Watu mlo, na si kinyume chake?

    Kiongozi anapambana kuaminisha Watu kuwa tunahitaji kupunguza matumizi/lishe ili tukidhi vigezo vya Uzalendo, hii ni sawa? sio kwamba tunatakiwa tuongeze kipato ili tule vizuri...Yaani badala ya kula vipande vitatu vya mihogo sasa tunatakiwa tule kipande kimoja tu au hata tushindie maji? Siku...
  4. 2019

    TRA Kufungwa akaunti za Wafanyabishara VS Waziri Kutoza wananchi kodi ya uzalendo ni bora lipi?

    Mwanzoni mwa utawala wa awamu ya sita ulisifika sana na ukionyesha Tumaini jipya kwa watanzania. Wengi walienda mbali na kudai hata kuongezewa muda sababu amewafungua watu toka kwenye mateso. Kafungulia wabambikiwa kesi wote,kalegeza baadhi mambo ambayo mtangulizi wake alikuwa amekomaa...
  5. M

    Uzalendo kitu gani?

    Aandika Mohammed Ghassani Uzalendo gani!? Mpendwa muheshimiwa, anapanda jukwaani huku mbweu anatowa, anukia biriani tutakaohutubiwa, hatuna kitu tumboni Muheshimiwa ajuwa kwamba watu wana njaa lakini kalewa pawa. Basi anatuhimiza: “uzalendo ndu’ zanguni!” “uzalendo!” “nchi yetu!”, hii...
  6. S

    Napendekeza kodi ya uzalendo kwenye tiketi za mabasi ili tukamilishe SGR haraka zaidi

    Naona serikali siku hizi imekuwa hodari sana wa kupokea ushauri wa tozo za serikali kwa kisingizio cha uzalendo bila hata kuzifanyia utafiti wa kina kuona kama kuna socioeconomic impacts za tozo hizo. Serikali sasa inaendeshwa kwa njia ya "hapendwi mwananchi bali kodi yake" Mwigulu amekuwa...
  7. Godlisten9

    SoC01 Mabara yaliyoendelea yanaichukulia bangi katika nafasi kubwa ya kuendeleza uchumi wa nchi zao

    Kilimo cha Bangi,kuweka tozo na kupunguza posho za watumishi wa Serikali katika kuongeza pato la Taifa mbadala wa tozo za simu, mafuta ya petroli, dizeli, mafuta ya taa, mafuta ya chakula na sukari. Habari nawasalimu wadau na wana JF wote, nina imani mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila...
  8. T

    Ummy Mwalimu: Tozo ya uzalendo ni ubunifu, tunajenga barabara vijijini

    Hii nchi haina uongozi aiseee Tumepigwa Mama anaupiga mwingii ===== Tozo mpya iliyoanzishwa na Serikali ya Awamu ya Sita kupitia mitandao ya simu na mafuta katika vyombo vya usafiri, zinaenda kuwanufaisha wananchi wa vijijini kwa kufungua mtandao wa barabara vijijini. Hayo yamesemwa na...
  9. T

    Serikali ya wanyonge: Bank charges vs kodi ya uzalendo ya Mama Samia

    Kweli serikali hii imekosa great thinkers wa kuisadia yaaani it does not make sense mfano natuma hela kwa mzee wangu Crdb million 4 nakatwa 11,800 arafu mjinga mmoja na akili za ajabu anakwambia kutuma million 4 kwa simu ni 15,000 or 21,500 Sasa hapo bado uliyemtumia hajaenda kutoa. Huu ni...
  10. Masalu Jacob

    Uzalendo na maana yake kwenye maendeleo katika Taifa

    Habari Tanzania! Naomba niwakumbushe vijana, wazee na watoto machipukizi ya kuwa Uzalendo huwa unajumuisha na kubebwa kifuani na watu wachache. Katika taifa lolote walio wazalendo huwa ni wachache sana na wanauwezo wa kufanya lolote, popote na wakati wowote kwa kuishi katika manufaa ya taifa...
  11. C

    Waliokuwa wanatukana watu kwa mgongo wa uzalendo bado wapo?

    Kwa kweli hii nchi ilikuwa imefikia pabaya kwa baadhi ya makundi kutoa lugha za kashfa,dharau ,ubabe ,matusi kisa kumlinda au kumtetea mwendazake na maovu yake Kuna mtu anatokea kanda ya ziwa alikuwa na magazeti ya kuwatukana watanzania siku hizi sijui kama hayo magazeti yapo Kila wiki yupo...
  12. F

    Uzalendo wetu uko wapi?

    Uzalendo ni hali ya mtu kuwa na uchungu hasa juu ya nchi naJamii kwa ujumla. Shana hii ni Pana na pengine ilipaswa kufundishwa kwenye shule zetu kwa ngazi zote. Msingi wa hoja yangu ni dhidi ya ubinafsi mkubwa uliojaa kwenye jamii zetu ikiwa ni pamoja na wale wote wenye fursa ya kuhubiri...
  13. mngony

    Vijana wengi CCM ni wanafki,wenye tamaa na wasio na Uzalendo

    Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa wameweka maslahi binafsi kuliko Uzalendo. Tukichukulia mfano wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa miaka...
  14. mngony

    Vijana wengi CCM ni wanafiki, wenye tamaa na wasio na Uzalendo

    Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa wameweka maslahi binafsi kuliko Uzalendo. Tukichukulia mfano wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa miaka...
  15. S

    Bajeti 2021/22: Kodi ya uzalendo ni kaa la moto. Kila laini ya simu itakatwa Sh. 100 kila siku

    Mapendekezo ya bajeti ya 2021/2022 ni kwamba moja ya vyanzo vya fedha iwe ni kodi ya laini za simu. Kila laini ya simu kwa mujibu wa mapendekezo yaliyosomwa na waziri wa fedha itakatwa kati ya Tshs 10/= mpk Tshs 100/= kwa kila siku. Bila kusahau VAT na makato mengine yaliyokuwepo yataendelea...
  16. Ego is the Enemy

    Viongozi wa juu wawe Mfano wa Uzalendo

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Niende kwenye mada husika hapo juu. Viongozi kama wabunge na mawaziri mpaka sijui nani huko juu. Wangeonesha mfano mzuri wa kukupenda taifa lao kwa kukubali nusu ya mshahara wao na marupurupu yao yote yakatwe yaelekezwe kuajiri walimu...
  17. Unique Flower

    Ray C asema uzalendo uanzie kwa Diamond aache 'kuwachamba' wasanii wenziye

    Ray C amenikera kisa hivi anasema Diamond ana roho mbaya. Seriously? Kumbukeni Harmonize kabla hakuwa mwanamuziki wakina Rita walimkataa umeona eh? Ni Daimond ndio alimleta kwenye muziki akafika hapo alipo sio siri ni ukweli unaonekana. Sio kila kitu uwape watu. Kwa hiyo wanaomsema Daimond sio...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Ndani ya uzalendo kuna imani kali ya mambo chanya

    Mimi leo nimefikiria nimegundua Ndani ya uzalendo kuna imani kali. Kuwa mzalendo sio rahisi kwasababu uzalendo umebebwa na imani kali ya mambo chanya. Chukulia mfano mzalendo wetu Martin Ruther Jr. Imani aliyokuwa nayo huyu jamaa kwa Marekani sio mchezo.
  19. U

    Watanzania walioishabikia kipigo cha goli 4-0 kutoka kwa Kaizer Chief wamekosa uzalendo

    Nikiwa Mtanzania Mzalendo nimeumia sana kuona baadhi ya wenzetu waliomua kwa makusudi kutusaliti kwa kuwapa support wageni Nimesikitishwa sana na kitendo cha baadhi ya Watanzania kuamua kuishabikia timu ya Kaizer Chief FC ya Afrika Kusini na kuibeza timu yetu ya Simba kufuatia kipigo cha goli 4...
  20. E

    Uzalendo ni nini?

    Wana jamvi, Haya tunahitaji maoni yenu jinsi ya kuweza kutoa elimu ya uzalendo kwa mafisadi na wananchi kwa ujumla Kwanza naomba mtambue nini maana ya uzalendo: UZALENDO ni ile hali ya mtu kuipenda na kuithamini nchi yake na kuweka maslahi ya taifa lake mbele. Uzalendo ni neno dogo lakini...
Back
Top Bottom