uzalendo

Chama Cha Uzalendo (English: The Patriotic Party) is a Kenyan political Party that was one of several affiliates of Mwai Kibaki's Party of National Unity in the 2007 general election. It is currently headed by veteran politician and former Nakuru North Constituency Member of Parliament Koigi Wamwere and had two elected Members of Parliament in Central Imenti's Gitobu Imanyara and Wavinya Ndeti in kenya's 10th Parliament.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyankurungu2020

    Huku kazi ikiwa inaendelea tukumbuke kuwa Mwl. Nyerere alijenga uzalendo na umoja wa hali ya juu, kwanini sasa haiwezekani?

    Ni wazi kabisa wakati wa utawala wa Hayati Nyerere watu walikuwa na maisha duni sana. Sehemu nyingi hazikuwa na barabara nzuri kama hii leo, sehemu nyingi hazikuwa na maji kama hii leo, hata hali ya watu kupata mavazi mazuri kama hii leo ilikuwa ni kazi ngumu. Shule zilikuwa ni za umma...
  2. Influenza

    Azzan Zungu ataka uwepo wa kodi ya uzalendo itakayokatwa kwenye Mitandao ya simu kwa kila Mtanzania

    Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali. Amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania milioni 30 kati ya wote waliopo nchini huweza kufikisha shilingi bilioni 540...
  3. J

    CDF Mabeyo: JKT siyo sehemu ya ajira bali ni sehemu ya kuwafundisha vijana uzalendo

    Mkuu wa majeshi nchini Generali wa nyota 4 Mabeyo amesema JKT siyo sehemu ya ajira bali ni sehemu ya kuwafunza na kuwaandaa vijana kuitumikia nchi yao kwa uzalendo. CDF amesema kwa sasa vijana wanakwenda kwa utaratibu wa kujitolea na jeshi linauangalia kwa upya utaratibu huo. Chanzo: TBC
  4. Queen Esther

    Tuiangalie ATCL kwa Jicho la Uzalendo

    Shirika la Ndege la ATCL ni moja ya icon kubwa kwa nchi yetu! Ni wazi inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la KIZALENDO hususan ni baada ya taarifa ya CAG kuonesha hasara ya 60 bilioni haikutokana na ufisadi na wizi. Mambo makubwa yaliyosababisha hasara kwa mujibu wa CAG ni haya yafuatayo:-...
  5. DR HAYA LAND

    Vijana wa ccm ndo wapinga maendeleo,watu waliokosa uzalendo .

    Kwa upingaji huu wa step anazochukua Rais mnaonesha kuwa mmekosa akili za busara. Nyie furaha yenu nikutaka kuona watu wanateseka. "Mungu wetu yuhai"
  6. Komeo Lachuma

    Serikali itoe Ngao ya Uzalendo na Ushujaa uliotukuka kwa Simba S. C. Na pia lifanyike hili

    Kitendo ambacho Simba imefanya ni kitendo cha Uzalendo na Ushujaa Uliotukuka. Ni kitendo cha Kuigwa kwa Kila Mtanzania na Mwafrika kwa Ujumla. Simba imepambania Taifa la Tanzania ikiwa imeweza waunganisha hata na wachezaji wa nchi nyingine kuipambania Tanzania. Sasa mwakani Tanzania tunaingiza...
  7. B

    Lugha zenye kudumaza: Masikini, Wanyonge, Uzalendo na Mabeberu

    Huko nyuma, wale watu waliokutwa na virusi vyenye kusababisha ukimwi au ubakwaji, walikuwa wanaitwa waathirka (victims). Lakini kadri muda unavyoenda imegundulika hizi ni lugha zenye kurudisha watu nyuma na wengine mpaka sasa hivi wanaitwa survivors. Bahati mbaya wanasiasa wa chama hiki tawala...
  8. Mohamed Said

    Uandishi wa historia ya uzalendo

    UANDISHI WA HISTORIA YA UZALENDO TANZANIA Somo la historia ya Tanzania litaanza kufundishwa katika shule za msingi kuanzia Machi, 2021 baada ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kukamilisha uandishi wa rasimu na mihtasari. Hatua hiyo ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli alilolitoa...
  9. Idugunde

    ACT wazalendo waonyesha uzalendo. Wengine wanatakiwa kuiga

    Huu ni mfano wa kuiga maana huu ni msiba wa kitaifa. === CHAMA cha ACT- Wazalendo kimewataka wanachama wake kujitokeza kwa wingi siku ya Jumanne Machi 23, 2021 katika Uwanja wa Amaan mjini Unguja, Zanzibar kwa ajili ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli.
  10. Erythrocyte

    Uzalendo: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ala chakula cha gerezani kuonesha mfano

    Video hii hapa
  11. Erythrocyte

    Uzalendo: BAWACHA yaahirisha Kongamano lililopangwa kufanyika Iringa kuadhimisha siku ya Wanawake dunia ili kuzuia maambukizi ya Corona

  12. Erythrocyte

    Uzalendo: Video ikionesha wananchi wakisafisha barabara baada ya lori kumwaga mafuta huko Singida

    Hii hapa
  13. MIMI BABA YENU

    Vyama vya Siasa, Vijana waaswa kwenda kujifunza Maadili na Uzalendo katika Chuo cha Uongozi cha Mwl. Nyerere

    Wajumbe wa Baraza la wadhamini la Chama Cha Mapinduzi ,(CCM) limewataka viongozi wa vyama vya upinzani nchini kujiunga na Chuo cha uongozi na Itikadi cha Mwalimu Nyerere ,kilichopo Kwamfipa,Kibaha,mkoani Pwani, ili kujiongezea uwezo na kujifunza maadili na uzalendo wa nchi yao. Walizungumza...
  14. B

    Historia itakuza uzalendo au tujikite kupata katiba yakusimamia haki?

    Tunakwenda kutafuta uzalendo kwenye historia Leo hii karne ya 21, karne ambayo watu awataki kupoteza muda kusoma vitu visivyo na tija maishani Bali wanawaza kuwaza namna yakufanya ubunifu katika kila ngazi ya maisha. Je, uzalendo wetu umepotea kwa sababu watu awajui historia au kwa sababu mfumo...
  15. S

    Sikuabliani na Magufuli kuhusu somo la Historia. Kama ni Uzalendo, watoto watajifunza kwenye somo la URAIA

    Lengo kubwa la somo la historia ni kumfanya mwanadamu ajifunze yaliyopita ulimwenguni kote (siyo Tanzania tu) na hivyo kumwepusha kurudia makosa ya huko nyuma. Na wala siyo kufundisha uzalendo. BTW, nani kamdanganya JPM kuwa uzalendo unafundishwa darasani? Uzalendo maana yake ni upendo wa raia...
  16. M

    #COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
  17. Hisha Sorel

    CCM inahitaji kujenga au kuimarisha "Youth Nationalist Wing", hii ndio sababu?

    Falsafa wanzilishi ya Tanzania, Ujamaa, ilielewa uhusiano kati ya rangi ya ngozi, ukoloni, na ukandamizaji. Hivyo ilikuwa na lengo la kuondoa dhana ya kudharilishwaji wa ngozi Nyeusi kwa kutokomeza sababu zinazochangia kupitia programu tofauti, mojawapo ikiwa elimu ya uzalendo . Lengo kubwa...
  18. K

    Mapokezi Ya FC Platinum: Hatimaye 'Wananchi' Waonyesha Uzalendo...!!!

    Nimekuwa shuhuda siku ya leo majira ya alasiri wakati timu ya Platinum kutoka Zimbabwe ikipokelewa uwanja wa ndege JNIA.Ukweli zile mbwembwe na amsha amsha kutoka kwa wenzetu 'Wananchi' kwenye mapokezi hasa za timu za nje zinapokuja kupambana na 'mnyama' sikuziona.Jambo hili haliwezi kupita hivi...
  19. TheDreamer Thebeliever

    kigezo cha uzalendo kitumike kutatua swala la ajira

    Habari waheshimiwa! Kuna kauli moja au msemo mmoja wa waswahili unasema mla nawe ndio mfa nawe. Nawaomba waheshimiwa kwa nafasi zao walizoteuliwa na kuchaguliwa wasije kuwasahau vijana waliopigwa na mvua na jua na kukesha mpaka kunakucha kuakikisha ushindi unapatikana huwe wa goli la kichwa au...
  20. A

    DC Arusha, Kenani Kihongosi: Tutafundishana uzalendo mpaka tutaelewana vizuri

    Alisikika Mkuu wa wilaya ya Arusha mjini, Ndg. Kenani Kihongosi akisema, "Tutafundishana uzalendo mpaka tutaelewana vizuri" huku akiwatandika viboko wahujumu wa mali za serikali. Mimi naungana nae na nadiriki kusema tunahitaji viongozi kama hawa wazalendo na wakali kwa watu wote ambao ni...
Back
Top Bottom