uzalendo

Chama Cha Uzalendo (English: The Patriotic Party) is a Kenyan political Party that was one of several affiliates of Mwai Kibaki's Party of National Unity in the 2007 general election. It is currently headed by veteran politician and former Nakuru North Constituency Member of Parliament Koigi Wamwere and had two elected Members of Parliament in Central Imenti's Gitobu Imanyara and Wavinya Ndeti in kenya's 10th Parliament.

View More On Wikipedia.org
  1. EINSTEIN112

    Kacha za kimasai za bendera ya Kenya zinavaliwa kuliko za Tanzania. Hii ni kukosa uzalendo au?

    Huku mtaani vijana wengi sana wa kike na wa kiume naona wavaa sana kacha za bendera ya Kenya na Uganda kuliko za Tanzania. Ni huku kwetu pekee au hadi mtaani kwenu, nini maana yake? Rangi za KE na UG zinapendeza kuliko za TZ? Wamekosa uzalendo au? Hebu tupe ushuhuda mtaani kwako wapo...
  2. D

    Njaa ikiwa kali uzalendo unapungua

    Hadi vijijini watu hawajali tena kuhusu miundo mbinu. Wizara husika chukueni hatua kwa haraka mkichelewa mtavuna mabua.
  3. Pascal Mayalla

    Swali la Uzalendo: What is The Magic of The Same Route? Precision Air Full Flight, ATCL Half Empty

    Wanabodi, Japo hoja hii inge fit best kwenye Jukwaa la Habari Mchanganyanyiko, lakini kwa vile hii ni issue ya political economy ya uchumi wa nchi, nimeshuka nayo kwenye Jukwa la Siasa. Naomba nianze na declaration ya uzalendo, mimi ni mdau mkubwa wa Shirika letu la Ndege, ATCL, hivyo...
  4. J

    Je, ni Uzalendo mashabiki wa Yanga kwenda kuwapokea washindani wa Simba kutoka Nigeria pale JNIA?

    Kupitia runinga ya ITV wameonekana mashabiki wa Yanga wakiwapokea timu pinzani na Simba kutoka Nigeria katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere. Nauliza tu kwenu wanasiasa kitendo hiki kilichofanywa na mashabiki wa Yanga kina chembe ya uzalendo? Maendeleo hayana vyama!
  5. William Mshumbusi

    Kila moja Anamshangaa Halima Mdee, si CCM au Wapinzani lakini uzalendo na harakati mnazotaka afanye hata Mitume ziliwashinda

    Kwenye vipande vya fedha na Hofu usimwamini mtu yoyote. CCM wamejua pa kushika. Biblia inasema Yesu aliteua Mitume 12 tu aliowaamini Sana miongini mwa wanafunzi wake. Walishuhudia miujiza ya kila Aina na ishara nyingi kutoka mbinguni. Kama taswira za Elia na Mussa kilimani na Petro akashauri...
  6. T

    Neno "Uzalendo" linatumika vibaya awamu hii, haijapata kutokea

    Inavyoonekana neno uzalendo linatumika kuwakilisha matakwa binafsi zaidi na si kama lilivyokusudiwa katika matumizi yake. Mf. Mtu kaibiwa analalamika hasikilizwi, anataka aandamane kuonyesha hisia zake, anawekwa ndani, anaenda kushtaki kwenye jumuiya za kimataifa juu ya uonevu aliofanyiwa...
  7. J

    Kwanini ACT-Wazalendo wanaishitaki Serikali ICC badala ya Mahakama ya Afrika Mashariki? Huu ni uzalendo?

    Tunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa. Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika? Je, ACT wazalendo ni wazalendo kweli? Maendeleo hayana vyama!
  8. S

    Wabunge wa upinzani Hong Kong wajiuzulu wote kupinga sheria ya uzalendo ya China

    Wabunge wa Upinzani Hong Kong wamejiuzulu na kususia Bunge kwa kupinga msimamo wa Wabunge wa chama tawala katika kisiwa hicho kuonekana kukubaliana na sheria ya serikali ya Beijing ya Uzalendo kwa watu wa Hong Kong. Idadi ya wabunge wa upinzani Bunge la Hong Kong ni 19 katika Bunge lenye idadi...
  9. M

    TBC Inachangia kushusha kiwango cha uzalendo

    Imekuwa kawaida kwa TBC - ONE kufanya kazi ya "kusifu na kuabudu" mgombea fulani kati ya wengi waliopo kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi kiasi cha kukirihisha. Imekuwa ile ya Korea Kaskazini inayofanya "personality cult" kwa kumfanya kiongozi wa nchi kuwa ndiye "mungu" jambo ambalo halifai...
  10. T

    Washauri wa Rais Magufuli, mshaurini aache kutumia Kiingereza kwenye hadhara

    Rais Magufuli ni mtu anayependa Kiswahili na huwa anapambana sana kukidumisha na kukikuza lakini cha ajabu anapokuwa na wageni wasiofahamu Kiswahili, ana hulka ya kuongea kiswa-nglish. Kiingereza ni lugha ya malkia na ilikuja na meli kwahiyo ni vizuri akaongea lugha ya taifa inayoeleweka sababu...
  11. scatter

    Uchaguzi 2020 Nini maana CCM kuwashirikisha Wasanii katika Kampeni? Je, ni uzalendo?

    Habari zenu wadau, Kipindi kampeni zikiendelea kushika kasi kuna kitu kusema ukweli sisi kama Watanzania tuna tafakari mara mbili mbili hasa aina ya kampeni zinazofanyika na chama cha CCM. Kumekuwa na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, wasanii wa maigizo ambao wameshirikishwa...
  12. D

    Uchaguzi 2020 Sera ya majimbo itaua utaifa na uzalendo

    Nimesikia chama kimoja kinazungumzia nchi kuigawa kwenye majimbo ya kiutawala na uendeshaji. Kwangu mimi kwa nchi ambayo imekuwa kwenye utawala wa mikoa kwa miaka zaidi ya 50 na kwa mfumo wa kugawana mapato kupitia serikali kuu na serikali za mitaa kwa baadhi ya mapato haileti mantiki kubadili...
  13. J

    Wanasiasa kama Tundu Lisu mnapotumia msamiati wa " Jalalani" mnakosa uzalendo kwa UDSM!

    Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani" Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli. Maendeleo hayana vyama!
  14. C

    Hivi Rais kutotoka nje ya nchi ndiyo Uzalendo? Hatukusema usitoke kabisa bali tulichukia safari zisizo na tija

    Mgombea wa CCM John Magufuli amenukuliwa siku za hivi karibuni kwenye kampeni zake kuwa alipoapishwa kuwa Rais wa Tano wa Tanzania moja ya mambo aliyoyafanya ni kutotoka nje ya nchi na hasa kutokwenda nchi za Ulaya na Marekani. Sababu za kutokwenda Ulaya na Marekani ni kuwa yeye ni mzalendo na...
  15. Dr Akili

    Uzalendo ni sifa moja kuu muhimu ya ziada kwa mgombea urais: Je, huyu jamaa anayo?

    Sifa za msingi za kikatiba za mtu kugombea uraisi karibu kila mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 40 anazo. Kwamba lazima awe ni raia wa kuzaliwa ambaye ndani ya miaka 5 iliyopita hajawa na kosa la kukwepa kodi, kuvunja sheria ya maadili ya viongozi wa umma au makosa ya jinai. Hivyo mgombea...
  16. WilsonKaisary

    Siasa za ushabiki, siasa zisizo za uzalendo

    Siasa za ushabiki, Siasa zisizo za uzalendo. Hii nchi ni takribani zaidi ya miaka 45 toka ipate Uhuru, ni nchi yenye rasilimali na utajiri wa karibu kila aina. Lakini Cha kushangaza hata uchumi wa Kati hatujafikia. Na mpaka hatutaki kuvumbua shida nini inayotukwamisha tusifikie hata uchumi wa...
  17. A

    Nini kifanyike kukuza uzalendo miongoni mwa Watanzania?

    Wanajamvi, Ili nchi yoyote iweze kiendelea inahitaji wananchi wake wawe na uzalendo. Kwa maoni yenu, nini Kifanyike ili kukuza uzalendo miongoni mwetu sisi raia wa Tanzania?
  18. J

    Uzalendo: Wabunge wa CHADEMA waliohamia NCCR Mageuzi watoa "viinua mgongo" vyao kati ya Tsh. 40m na 50m kila mmoja kufadhili Mkutano Mkuu!

    Hii kama siyo rushwa basi ni uzalendo na Utu uliotukuka. Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe. Mbatia amewashukuru waliokuwa wabunge kupitia Chadema na sasa wamehamia chama hicho kwa mchango wao mkubwa wa fedha uliofanikisha Mkutano Mkuu ufanyike. Mbatia amewataja Mhe. Selasini. Mhe. Komu, Mhe...
  19. J

    Saniniu Laizer aahidi kupata jiwe kubwa zaidi la Tanzanite na kuahidi kuiuzia Serikali kwa uzalendo

    Habari wanaJamiiForums, Mchimbaji mdogo wa Madini ya Tanzanite Ndugu, Saniniu Laizer amesema anatarajia kupata mawe makubwa zaidi ya Madini ya Tanzanite kwa sababu mwamba anaochimba sasa umekwenda chini sana. Laizer ameahidi kuyauza Serikalini mawe hayo pindi atakapoyapata kwani yeye ni...
  20. N

    Uzalendo na asili ya mtu katika kugombea uongozi

    Niliona mada ikihoji Mwinyi kutaka kugombea uongozi wakati ni mweupe kiasi kwamba mtoa mada anastaajabu ilikuwaje akaaminiwa kufanywa Waziri wa Jeshi. Kichwa cha habari kiliashiria kwamba mtajwa hana asili ya Kiafrika na kwamba hastahili kupewa uongozi huo. Napenda kuchukulia kwamba hoja ya...
Back
Top Bottom