Assume binti mdogo kabisa hana chakula wala pakulala mwisho wa siku anajiingiza kwenye umalaya apate hela ya kula ili apate kuishi unajiuliza wazazi wa huyu mtoto wako wapi?
Hakika kuna mtu akikupa historia ya maisha yake unaweza pata trauma kwanini mnazaa haliyakuwa hammudu kuwahudumia hao...
Siku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote.
Pia soma: Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)
Sasa majuzi tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.