Mnaoanzisha familia bila mpangilio mnawatesa watoto

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,875
Reaction score
12,665
Assume binti mdogo kabisa hana chakula wala pakulala mwisho wa siku anajiingiza kwenye umalaya apate hela ya kula ili apate kuishi unajiuliza wazazi wa huyu mtoto wako wapi?

Hakika kuna mtu akikupa historia ya maisha yake unaweza pata trauma kwanini mnazaa haliyakuwa hammudu kuwahudumia hao watoto hakika inakera sana
 
Na hii ndio imekuwa mzigo wa mtu mweusi toka enzi

Haijalishi ni mtu mweusi wa brazil, US au tandale, ni mwendo wa kufyatua fyatua, unakuta mama ana watoto ila baba hayupo, watoto wanalelewa na ndugu wkati mama zao wanatanua kila kona, etc

Watoto wa mtaani wamejaa kila kona.
 
Hawa watu ni wakuwapa adhabu kali ikibidi wanyongwe kabisa ni ukatili wa aina gani huo
 
Assume binti mdogo kabisa hana chakula wala pakulala mwisho wa siku anajiingiza kwenye umalaya apate hela ya kula ili apate kuishi unajiuliza wazazi wa huyu mtoto wako wapi?

Hakika kuna mtu akikupa historia ya maisha yake unaweza pata trauma kwanini mnazaa haliyakuwa hammudu kuwahudumia hao watoto hakika inakera sana
Mi hao naona hawana tofauti na mbwa
 
Assume binti mdogo kabisa hana chakula wala pakulala mwisho wa siku anajiingiza kwenye umalaya apate hela ya kula ili apate kuishi unajiuliza wazazi wa huyu mtoto wako wapi?

Hakika kuna mtu akikupa historia ya maisha yake unaweza pata trauma kwanini mnazaa haliyakuwa hammudu kuwahudumia hao watoto hakika inakera sana
Acha watu watombane mzee wangu
Wazae sana tunahitaji nguvu kazi huku viwandani unaona China walivo mbali
 
Hao malaya na chokoraa mnaozaa wanaleta nguvu kazi gani kwa taifa

Unazaa unatelekeza watoto wanakuwa wezi wakabaji na malaya wewe unastaili kunyongwa
Mimi nimeingiaje huku
Una mavi wewe mzee nenda kanye kwanza pumbaavu mkubwa wewe

Kama huna watoto kafie mbele huko matako wewe
Kwani mtu akizaa alishakuomba umnsaidie kulea?? K wewe
 
Nimetumia nafsi ya pili wingi kama umekwazika sorry ila itoshe kusema ni ukatili kuzaa watoto waje kuwa chokoraa na malaya
 
Back
Top Bottom