Mnaoanzisha familia bila mpangilio mnawatesa watoto

Mnaoanzisha familia bila mpangilio mnawatesa watoto

Assume binti mdogo kabisa hana chakula wala pakulala mwisho wa siku anajiingiza kwenye umalaya apate hela ya kula ili apate kuishi unajiuliza wazazi wa huyu mtoto wako wapi?

Hakika kuna mtu akikupa historia ya maisha yake unaweza pata trauma kwanini mnazaa haliyakuwa hammudu kuwahudumia hao watoto hakika inakera sana
Nyege ndio zinawaendesha mpaka kufikia huko
 
kuna jamii hasa za dini ile mama ana watoto 6 baba tofauti, mbaya zaidi baba haudumii watoto shule hawaendi yaani wana andaliwa kuwa wakulima wajinga wajinga, waganga, vibaka, wezi yaan ni vurugu

dini ile wadada/wamama hawajifikiriii wala kuchagua mtu wa kuzaa nae yeyote yule twende ndo chanzo cha kero na mifarakano mingi kwenye jamiii
 
Back
Top Bottom