Salaaam...
Tupo katika kipindi ambacho Waislamu na Wakristo kwa pamoja tupo katika mfungo.
Hata hivyo ndani ya kipindi hiki, si wote tutafunga/ tunafunga na hii ni kutokana na sababu mbalimbali aidha kiafya na nyinginezo ambazo hazitaruhusu uwe katika mfungo.
Uzi huu ni maalumu kwa wale...
Habari wakuu
Sijapata neno sahihi la kiswahili linaoendana na hobby.
Hobbies ni kitu unachofanya kinachokupa furaha au kuridhika hasa muda unapokuwa uko free.
Hobbies nazopenda
Kusikiliza muziki hasa wa Pop, Reggae, Country, R&B, Trap na Jazz.
Kuchora(sketching/drawing)
nitaleta picha...
Habari wananchama na wasio wanachama.
Nimeamua kuleta huu uzi kama haupo unaofanana nao tuweze kujadili
1. Kodi/tozo/ushuru kandamizi ziweze kuondolewa
2. Maoni juu ya namna ya kupata vyanzo vipya vya mapato
3. Namna za ukwepaji wa kodi/ushuru/tozo na kuweza kudhibiti.
4. Tukumbushane pia kodi...
Nimeweka huu Uzi ili watu wanaoishi na ugonjwa kisukari kuelezana na kusaidia mawazo na uzoefu na changamoto za ugonjwa na kuelezana namna kukabiliana nazo karibuni
Ndugu zangu salaam
Huu ni uzi maalum kwa wale waliokosea kuoa na kuolewa pia kw wale waliokosea kuwa kwenye mahusiano.
Tuambieni ni nini ulikiona kwa mwanamke wako au mwanaume wako ukagundua hapa ulikosea kuoa au kuolewa nae.
Pia kwa wale wengine tuambieni ni nini mlikiona kwa wapenzi wenu...
Ndoto ni kama movies ambazo zinatengenezwa akilini mwetu. Wakati tukiwa tumepumzika usiku, ubongo huwa upo kazini bado, hutuandalia ulimwengu mpya ambao huwa na mambo tofauti na haya tuyaonayo kwenye ulimwengu wetu huu wa kawaida. Mengine ya kufurahisha, kushangaza na hata kuogofya.
Hivyo basi...
nimefungua uzi huu kwa lengo la kutaka kusaidia watanzania wenzangu kwa namna moja au nyingine wale wanaopitia changamoto mbalimbali kwenye maisha na kwamba wanahitaji ushauri au msaada wa aina flani ili kuweza kutatua changamoto hizo.
Kwa wale ambao wataguswa na changamoto za mtu yoyote pia...
Karibu kila mtu anajutia uamuzi fulani aliowahi fanya maishani. Na wengi wana majuto kwenye ishu za ndoa na biashara. Kimsingi majuto ni mengi sana. Sasa mimi nimeamua kuandika huu uzi ili TUJIKUMBUSHE maamuzi kadhaa mazuri tuliyowahi fanya na kutuletea matokeo mazuri. Inaweza saidia kuleta...
Wadau habari zenu,
Leo nimeona bodi ya mikopo wametoa taarifa lakini ghafla wakaifuta katika mitandao yao ya kijamii, je bado majibu ya appeal hayajatoka rasmi?
Naomba tutumie uzi huu kupeana updates kwa kile kilichojiri kuhusiana na maoimbi ya APPEAL.
Habari ya jumapili, bila shaka mu wazima. Mimi ni dada mchapakazi, Nina elimu ya masuala ya urembo ,namaanisha nails, makeup and hair. Natamani nifungue biashara lakini imekuwa shida kupata mtaji.kwa sasa nimeona itafute kazi ili niweze kukusanya pesa.
Napenda kuchukua Fursa hii kuomba...
Picha linaanza daktari anakusomea majibu ya vipimo vyako bila kutarajia anakwambia una UKIMWI , ile hali na mshutuko utakaoupata baada ya hapo ndio STRESS zenyewe.
Just imagine umesota sana mpaka ukapata kazi mambo yako yapo vizuri, mke wako kajifungua mtoto mzuri wa kike. Bila kutarajia boss...
Habari za Wakati Huu;
Kwanza Kabisa niseme tu kwamba Hii habari/hali ya kusikia na kuona sura na majina yaleyale katika nafasi za UTEUZI nafikiri inachangia PIA katika kudororesha Utendaji Serikalini na kuondoa Uwajibikaji.Kwa kuwa majina ya TEUZI na Tenguzi hupelekwa kimya kimya na kutangazwa...
Sitatumia maandiko ya Dini Quran wala Bible, labda wataelewa kidogo, maana humu JF nimegundua wapo wengi, unaweza ukajikuta una chati hata na shetani directly, anapotosha
Tuanzie kwenye Civilization na Level ya akili na kufikiri viumbe mbalimbali wapo kwenye level tofauti za civilization na...
Haya ndugu zanguni kwa wale waliosoma elimu za lugha ya kiarabu kama nahaw swarfu balagha tukutane hapa kwaajili ya kukumbushana baadhi ya mambo katika lugha,
Tutumie jukwaa hili kwa manufaa sio tu malumbano.
Mimi vitu vya kishamba ambavyo nimewahi kuviona ni kama ifuatavyo.
1. Hii ilikua kipindi Cha redio za cassette msukuma ameweka Kanda na amenyanyua antenna kana kwamba anasikiliza radio stations.
2. Mzee mmoja alipeleka radio kwa fundi ili apate radio taifa (tbc) maana zilikua zinasikika radio...
Tuonyeshe round about za mahali ulipo. Mimi naipenda sana ile ya Msamvu Moro yenye bibi na bwana na ile ya Singida yenye kuku na alizeti nyingine ndo hii ya mjusi wa Tendeguria Lindi panaitwa fisi.
Habari wanajf. Binafsi Niko visiwa vya Haiti Marekani ya kaskazini. Kiujumla Maisha ndio yalinifanya nikafika huku, kwa sikuwahi kuwaza kuwa ntavuka visiwa vyetu vya Tanzania Yaani Pemba na Unguja.
WATU WA HUKU(WAHAITI)
Watu wa huku ni weusi ti Kama sisi huwezi kutofautisha na wasukuma...
Niaje waungwana
Huyu Mhe. Innocent Bashungwa, alikuwa ni miongoni mwa mawaziri wachache sana niliowaheshimu sana katika baraza hili la mawaziri wa raisi Samia.
Kila alipopelekwa alionesha kupamudu vizuri kiutendaji, na kiusimamiaji lakini sasa huku alipoletwa sasa hivi (wizara ya ujenzi)...
Habarini wana jamvi huu uzi ni mahususi kwa watingaji wote iwe umeajiriwa (yappi, chico, cce, crsg au kampuni nyingine yoyote inayo simamia mradi wowote wa ujenzi iwe barabara, reri, uwanja wa ndege au bwawa la umeme n.K .Tupeane changamoto,uzoefu na connections haijalishi wewe ni engeneer...
Habarini wana jamvi huu uzi ni mahususi kwa watingaji wote iwe umeajiriwa (YAPPI, CHICO, CCE, CRSG au kampuni nyingine yoyote inayo simamia mradi wowote wa ujenzi iwe barabara, reli, uwanja wa ndege au bwawa la umeme n.k.
Tupeane changamoto, uzoefu na connections haijalishi wewe ni engeneer...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.