Wadau ebu Leo naomba tuweke na tujadili hapa changamoto tunazokutana nazo katika mifuko ya mafao kipindi tunafatilia mafao ya aina yoyote iwe yako au mzee wako maana wafanyakazi wa hizi taasisi awajui Kama hizi hela zilikatwa sio Kama Mtu unapewa bure Ni jasho lako
Najua kila kabila lina sifa zake nzuri na zisizofurahisha.
Mfano Wanyaturu wengi ni warefu na weupe. Pia wana changamoto kwenye dental fomula zao yaani mpangilio wa meno haujakaa vizuri.
Njoni mie mie nimeanzisha tu.
Huu ni uzi maalum wa kila mwenye wazo au chanzo kipya cha mapato kwa ajili ya serikali yetu ambacho hakitasumbua wala kuumiza watu. Maana hii kazi inabidi iwe ya Watanzania wote na inabidi uwe mjadala wa wazi mahali popote ili watu watoe mawazo ya kujenga nchi. Na sio kuleta kodi za kuumiza...
Namaanisha zile nyimbo maarufu na ambzo sio maarufu..ila tu hazina kick(mdundo)
Zaidi ya sauti ya kawaida(vocal) na sauti ya umeme(ala/voice) ambayo haihusishi kick (pigo mtetemo)
1. Mr flavour - I'm for real
2. Celine Dion - To love you more
3. Ferre Gola - Regard moi
4. Banana Zoro - Mapenzi...
Hivi sasa kutafuta ajira Tanzania ni kazi ngumu sana.
Ukweli ni kwamba kuna watu wengi zaidi wanatafuta ajira lakini wanakosa connection ya watu either hafahamiki na watu wenye potential au hata baadhi ya machimbo ya kwenda kujishikiza hayajui.
Unakuta mtu kamaliza chuo hana hata pa kuanzia au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.