Kama unahisi kunamtu umemkwaza kwa namna yoyote ile au ulimkera kwa njia yoyote basi uzi huu utumie kumuomba msamaha ili maisha yaendelee! Maisha yenyewe ndio haya haya let's forgive, forget and move on! Ukiombwa msamaha na wewe samehe kwani hutopungukiwa na kitu, let peace and harmony be with...
Naomba huu uzi utumike kuelezea maneno ya aina moja yenye maana moja kwa makabila tofauti tofauti mfano neno kuigota linapatikana katika makabila ya wakurya na wasukuma na lina maana moja ya kushiba
Neno kuhangua lipo katika makabila mawili ya wa
sukuma na wakurya na lina maana moja ya kuwahi...
Niwe muwazi mimi sio mchimbaji wa dhahabu lakini nimezungukwa na wachimba dhahabu wengi sana hapa ninapoishi kwahiyo nimeamua nianzishe huu uzi maalaum ambao utakuwa ukitumika kupeana updates za machimbo mapya na stories nyingine za kiuchimbaji
Kwa walioko Geita kuna machimbo mapya yameibuka...
Kwa wale wapambanaji na wazee wa kusikilizia michongo;
Ebu tupieni faraja na matumaini hapa ili kujipa moyo wa kupunguza maumivu yoyote!
Mi nawaambia wadau muachage mazarau!
< Anaringa na kigari chake cha mkopo; ukifika japani hivyo vigari vinauzwa kwa mafungu, Nikitaka gari mi nitaagiza...
Wastaafu hebu tukutane hapa tupeane taarifa za kupambana mtaani, changamoto mbalimbali na connection mbalimbali na kielekezana na mbalimbali kukabiliana na maisha ya mtaani
Kwenye huu uzi nitakuwa naposti video pamoja na habari mbalimbali za kula bila ya kuvimbiwa pamoja na video na habari za kujipimia pia.
Video zangu ni fupifupi ambazo zipo chini ya MB 1 ili hata akina sie ambao bando linasumbua sumbua baada ya serikali kupandisha gharama za bando tuweze...
Baada ya kuona hili janga limegusa watu wengi sana hata humu Jukwaani kuna mada nyingi za Shuhuda mbalimbali kuhusu hili lijamaa.
Uzoefu unonesha hakuna aliyefanikiwa kupambana na hili Lijamaa yaani Binaadamu tumelishindwa
Mimi kama muhanga mkubwa wa hili janga sina haja ya kutoa ushuhuda...
Nakumbuka kuanzia miaka ya 1990 Hadi 2006 na sita hivi, nilikuwa napenda Sana movie za kihindi...
My favorite actor ni mzee mzima Sunny Deol...
My favorite movie inaitwa Ziddi...
Je, wewe ndugu yangu movie Gani ya kihindi Hadi leo inakusisimua
Kwanza pongezi kwa serikali kwa kutenga maeneo ya wafanya biashara ndogo ndogo maarufu kama machinga na kuendesha zoezi kuwaondoa maeneo ambayo sio maalum na kuwapeleka maeno maalum kwa biashara zao.
Cha kusikikitsha kuna ambao sio waungwana wamerudi tena sasa weka hapa eneo mtaa wilaya na mkoa...
Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakn pia tunaweza kupoteza vitu admu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na vya sasa. Kwa kipindi kirefu tumekua na nukuu za Baba wa Taifa mwalimu nyerere. Ni wakati mwafaka...
Habari ya weekend JF members,
Mimi mzima wa afya na mwenye changamoto ya kiafya nampa pole na kumuombea apone arejee katika majukumu ya kulijenga taifa mama Tanzania.Pole zangu pia ziwaendee kwa walioguswa kwa namna moja ama nyingine kwa hukumu ya nyundo (30 yrs behind the bars) iliyopitishwa...
Uzi huu unalenga kuwasaidia vijana ambao hawajui wapite wapi na wapi ili wafikie ndoto zao, jieleze kwa kina toka mwanzo ulipoanza haso zako, kipindi ambacho ulikuwa huna hata pesa ya kula, haso ulizopitia, huku ukionyesha njia na biashara unayofanya sasa, changamoto zake, ilikuwasaidia wengi...
Uzi huu utakuwa ni maalum kwa waTanzania wote duniani kote kusheherekea ushindi wa Kombe la dunia la mpira wa miguu linaloandaliwa na FIFA kila baada ya miaka mi4.
Hata kama ni mwaka 2500 au mwaka 2900, potelea mbali, cha msingi huu uzi utunzwe hadi kipindi hicho ambapo tutakuwa tumelibeba...
Habari wakuu.
Kwanza tutoe pongezi kwa uongozi wa Jamii Forum kutuwekea jukwaa maalum la ujenzi, jukwaa tulolisubiri kwa kitambo.
Tunalo tiper la mchanga, hivyo tuna ukaribu wa mchanga. Pia tunajua humu JF kuna watu wana cement ,wengine mabati n.k . Kwenye huu uzi utaeleza unahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.