Biashara ni mbegu, ili mbegu ikue inahitaji kumwagiliwa, mbolea, palizi, pruning etc. Hivyo hivyo biashara ili ikiwe inahitaji promotion na advertisement.
Kila biashara inahitaji watu, watu ambao ni wanunuzi, watu ambao ni wateja, nk.
Leo kupitia uzi huu mention biashara yako na mahali ilipo...