Mtu wa kubadilishana kituo cha kazi anahitajika, mimi nipo Dodoma Mpwapwa DC.
Kituo ni kizuri, mazingira mazuri, maji yapo, usafiri upo 24hrs. Wa kubadilishana nae awe mikoa ifuatayo;
1. Iringa
2. Mbeya
3. Morogoro
Wadau wote
Huu ni Uzi maalumu wa Vitabu au nyaraka za Kiroho ambazo hazijaidhinishwa kutumiwa rasmi na Waamini Wakiristo.
Kwa Leo nitaanza na kitabu Cha Testament of Solomon
Karibuni tupeane maarifa
Sabato njema
Moderation naomba usiunganishe Uzi huu kwingineko Tafadhali.
Muziki wa Reggae ni muziki mzuri unaobeba hisia mbalimbali kama, ukombozi wa mtu mweusi, mapenzi, harakati, nk, kwa kifupi ni muziki unaogusa maisha ya mwanadamu kwa ujumla.
Wasanii wa muziki wa Reggae wapo wengi ila hawa ni baadhi ya wale ninaowakubali;
1. BOB MARLEY
No woman no cry
Buffalo...
Dunia ya sasa imejaa technological advancements nyingi ambazo zimeathiri kila eneo la maisha yetu,
kutoka kutuma na kupokea pesa Dirisha la mhasibu hadi kufanya hivyo mtandaoni tena bila kuonana na mtu yoyote...
Kutoka kusoma chini ya mti hadi kusoma ukiwa sebuleni kwako au chumbani kwako...
Hii ndio timu pekee inayoshiriki ligivkuu kutoka mkoani Kigoma.
Mashujaa FC ni timu inayomilikiwa na Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ, na msimu huu 2023/2024 wamepanda daraja baada ya kuifunga timu ya soka ya Mbeya City Fc kwenye mechi zote mbili.
Mpaka sasa Mashujaa FC IMECHEZA mechi tatu...
Habari wapenzi wa Fantasy League ,huu ni uzi maalumu kwa ajili ya ligi yetu pendwa ya JamiiForums Fantasy League .joining code hsyx67
GW 1 Top 10
Top 10 after GW 2
GW 5 msimamo
Gw 11
Tarehe 13/08/2023 timu za mpira wa miguu za Tanzania Bara za Simba na Yanga zilipambana kwenye fainali ya kugombea Ngao ya Hisani.
Mechi hiyo ambayo timu ya Yanga ilifungwa goli tatu na kujifanya Simba kutawazwa kuwa Mabingwa wa Ngao hiyo ambayo hufungua msimu wa Ligi Kuu ya msimu 2023/2024...
Salaam ndugu zangu,
Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake.
Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa.
Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
azam
hii
kitu
kuelekea
kufuru
kupigwa
kutoka
ligi
maalumu
man
man city
mbalimbali
mpya
msimu
mtambo
mwananchi
nabi
nchini
ngoma
rwanda
simba
simba sc
sports
tetesi
usajili
uzimaalumu
yanga
Habari zenu,
Uchumi wa nchi yetu unategemea sana sekta ya kilimo na ufugaji hivyo nimeona sio vibaya kama tukisaidiana kuweka softcopy za vitabu mbalimbali vya kilimo na ufugaji ili kusaidia kupanua maarifa na ujuzi katika sekta hizi.
Vitabu hivyo viwe katika mfumo wa (softcopy) yaani PDF...
Huu uzi ni maalumu kwa kujua wana JF wanatokea wapi. Comment unapotokea sisi majirani tutapita na likes.
Itasaidia pia kupeana michongo ya hapa na pale.
nianze mimi
Arusha- sanawari
JE Unapenda Kujifunza Cinema 4D au Blender? ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D.
Mwezi sasa toka nianze kujifunza Animation kwa kutumia Cinema 4D na Blender.
Week hii nmefanya kazi moja ya kutangaza bidhaa ya mteja kwa kumdizainia flyer, logo na Motion graphic ya bidhaa yake...
Nadhani umeshawahi kusikia mtu akisema "...tatizo una IQ ndogo sana.." na wewe bila kuchanganua hoja yake ukakasirika. Inawezekana ni kweli au sio lakini je IQ ndiyo kigezo pekee Cha kupima utashi wa mtu? Hebu tiririka nami kwenye hii makala fupi sana.
"Kulingana na Wanasaikolojia, kuna aina...
Wakati tukisubiria mbugi la kisasi kati ya miamba ya Nigeria na Mabingwa wa kihistoria walioshindikanika hapa Bongo,
Nitakuwa nakuletea on hand updates za timu hizi mbili ili ujue kiwango cha mpira cha kila mmoja
📌1)Dar Young Africans walicheza Jana mechi ya Kombe la Azam na kuibuka na ushindi...
Nianze kwa kuelezea hisia zangu kwake. Nampenda sana huyu bidada. Kila ninapoisikia sauti yake ikichomoza kwa vyombo huwa najihisi faraja sana. Nasisimka akili mpaka moyo. Hajawahi kukosea kwa kweli
Lady Jay Dee, kama ningekuwa na pesa kipindi kile ningekutafuta nikuoe kabisaaa, nikuweke ndani...
Kama upo kwenye ndoa na unafurahia, basi huu uzi unakuhusu ili tuweze kubadilishana uzoefu wa namna gani ya kuishi na wenza wetu kwa furaha.
Kupitia maoni mazuri yatakayotolewa hapa inawezekana tukawavuta wale ambao hawataki kuoa/kuolewa.
Karibuni sana
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
huu uzi ni maalum kwa wale walio omba mafunzo ya kilimo kwa vijana, yatakayofanyika Bihawana Dodoma.
Mpaka dirisha linafungwa vijana 16 elfu walikuwa washatuma maombi
source,
Kituo cha bihawana kina uwezo wa kuchukua vijana 74
source,
mwenye updates...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.