Jinsi nilivyo, ulivyo ni matokeo ya Malezi/makuzi.
Hii ni story ya maisha yangu, nilizaliwa 1998, mjini Singida Hospitali ya Makiungu na kupewa Jina Julius na baba yangu.
Kwa mujibu wao na watu walionilea ni kwamba nilikuwa active sana na, nilipenda kujifunza, I was a prodigy. Kwa kumbukumbu...
Naandika uzi huu kwa kumuunga mkono mtangazaji mkongwe (mstaafu) ndugu Leonard Mambo Mbotela aliyekuwa akitangazia Voice of Kenya (VoK) na baadaye Kenya Broadcasting Corporation (KBC) katika kipindi maarufu kilichovuma wakati huo kwa jina la “Je huu ni uungwana?” Katika kipindi hicho, Leonard...
Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
Uzi huu ni mahususi wa kuyakumbuka mazuri ya viongozi wetu ambao wa ngazi ya kitaifa. Viongozi hawa ni wa kisiasa ambao wapo serikalini au kambi ya upinzani. Viongozi ambao wapo hai au wametangulia mbele za haki.
Niwaombe wanajukwaa tufunguke yale mambo ambayo...
Naomba uzi huu tupeane matokeo ya ligi kuu pamoja na msimamo ulivyo kadri siku zinavyokwenda.
Hapa jukwaani matokeo ya mechi za Simba na Yanga huwa yanakuwa mubashara lakini mechi nyingine inakuwa tabu kufahamu matokeo na msimamo wa ligi.
Karibu tupeane taarifa.
Tuache utani hii serikali inachapa kazi jamani, raia wako very happy wanasema mama anaupiga mwingi hadi unamwagika, Mungu awape nini watanzania kupata Rais ambaye anachapa kazi masaa 24 kwa ajili yao halali kabisa.
Tuache kulalamika kuhusu TOZO , vitu vidogo sana ni lazima serikali itoze tozo...
Nimeanzisha huu uzi kwa malengo ya kupeana akili ya namna ya kujipanga,au kujiandaa kustaafu ili uzeeni asiteseke kwa dharau na fedheha za watukila mmoja atoe wazo lake
Mf;Mimi nimenunua shamba kimanzichana heka 10 nimezungushs michongoma ,ndani nimepanda miti ya miembe, michungwa, michenza...
- Katika hospitali ya rufaa kabisa, madaktari waliokuwa zamu walikuwa wanasoma dalili za ugonjwa kwenye internet na YouTube, nilichoka sana lakini kwa bahati mgonjwa wetu alipona tulipewa daktari ambaye alikuwa ni professional zaidi. Lakini yule mgonjwa waliyekuwa wanamsomea sidhani kama...
Salaam Wakuu,
Ligi kuu ya NBC ya msimu huu 2021/2022 inaelekea ukingoni huku timu ya Yanga ikiwa na zaidi ya 99% ya kunyakua taji hili. Kama tujuavyo mwisho wa msimu mmoja ndiyo maandalizi ya msimu mwingine.
Baadhi ya timu tayari zimeanza kufanya maandalizi kwa ajili ya msimu ujao. Timu nyingi...
KWA kutumia text description hii weka picha za wenye njaa.
"KWA KIPINDI CHA MIAKA SITINI NA USHEE TUMEWAAMINI WAPISHI WENYE NJAA KUTUPIKIA CHAKULA SISI WENYE NJAA MATOKEO YAKE TUMEENDELEA KUWA NA NJAA"
Habarini za muda huu wakuu,
Leo nimeona tuzungumze jambo moja hasa kwa sisi WANAUME.
Nimeanzisha thread hii kwa ajili ya sisi kujadili "mambo yetu" kwa lengo la kufundishana, kuhabarishana, kuonyana na kuelekezana kadiri ya "miiko ya jinsi ya kiumeni"
Najua kuna watu wataniona mtu wa ajabu...
Sasa nimeamini kuwa kadri elimu inavyoongezeka basi ujinga inapungua na nafasi yake kushikwa na upumbavu.
Kwenye haya makanisa ya kitapeli kuna wasomi wa level zote lakini huwaambii kitu kuhusu kiongozi wao.
Kabla ya vita ya UKRAINE sijasikia mtu wa Mungu yeyote aliyetabiri kwa uwazi mahali...
Kwa wale wote wanaomiliki au ku operate machine tajwa hapo juu, basi karibuni sana nimefungua uzi huu mahsusi kabisa kuwakutanisha watumiaji wa machine hizo, lengo ni kukabiliana na changamoto mbalimbali kwenye uendeshaji na utunzaji wa hizo machines.
Kuna baadhi ya watu waliagiza machine hizo...
Wanajamvi, natumaini ni siku nyingine njema kwa kila mtu ambayo Mungu ameifanya. Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kuondoa vitambi, kutengeneza mwonekano bora wa mwili na kuimarisha afya. Naomba yeyote mwenye weledi katika haya achangie hapa ili kuwasaidia watu wanaohanganika na matatizo haya...
Habari zenu ndugu zangu. Baada ya kuwajulia hali, ningepeenda niende moja kwa moja kwenye mada iliyonileta hapa. Bila shaka asilimia kubwa ya vijana tuliozaliwa na kukulia Dar es Salaam miaka ya 90, tuliwahi kucheza au kupitia michezo mbali mbali kama vile karate, ngumi, soka (mpira) na michezo...
Habari ya mchana wana JF.
Siwezi kusema sijawah kukamatwa kuwa na cheat, nimekamatwa mara kadhaa lakini sijawahi kukubali kuwa nakataa sijacheat. Mbinu yangu ni kukataa katu katu.
Njoo tupeane mbinu za kizamani na kisasa za kujibu kesi za kucheat pale unapofumwa na mpenzi wako.
Nb. Huu uzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.