uzinduzi wa kampeni ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tulikodi uwanja wiki nzima ili CHADEMA wasifanye kampeni, Kikwete akatuzuia

    Mbunge Nape Nnauye amesema; "Tulikodi uwanja wiki nzima ili Chadema wasifanye kampeni, Kikwete akatuzuia" kupitia mahojiano yake na M&SPodcast inayongozwa na Omar Kashera pamoja na Salma Dacotha “Nakumbuka siku moja tumezindua Kampeni pale jangwani, Tumeanza sisi kuzindua tumejaza uwanja vizuri...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Yaani Kawe yote ni kelele tu kutokana na uzinduzi wa kampeni za CCM. Hii ni noise pollution

    Wakuu, Sawa ndio kuna uzinduzi wa kampeni hapa Kawe lakini kelele zimezidi Kuanzia bodaboda, madaladala na huu utitiri wa watu yaani kuna kelele ambazo sio za nchi hii Huu uzinduzi ungefanyika hata nje ya mji kidogo jamani. Kawe kuna watu wana magonjwa ya moyo hawataki kelele ila ni kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…