uzinduzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    Uzinduzi wa kitabu ''Mwanamke Mwanamapinduzi''

    UZINDUZI WA "MWANAMKE MWANAMAPINDUZI" GOLDEN TULIP Ikiwa ulipitwa na yaliyoelezwa kuhusu kitabu hiki: Hiki ni kitabu kinachohusu maisha ya Biubwa Amour Zahor kilichoandikwa na Zuhura Yunus. Kitabu hiki kinahusu maisha yake Biubwa akiwa msichana mdogo wa Kiarabu katika mapinduzi ya Zanzibar ya...
  2. PendoLyimo

    Temeke: DC Jokate Mwegelo azindua mradi wa usalama barabarani

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo siku ya Ijumaa 22/10/2021 amezindua mradi wa Usalama Barabarani katika Kata ya Temeke kwa shule za msingi Ruvuma na Madenge chini ya ufadhili wa shirika lisilo la kiserikali la Amend kwa ushirikiano na ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke...
  3. Baraka21

    Hii ni aibu, uzinduzi wa miradi isiyokamilika

    Maana ya uzinduzi ni pale mradi unapoanza au pale ulipokamilika. Ni aibu Rais kufunga safari kwenda kufanya uzinduzi wa maji ya bilioni 17 Longido halafu unasema kufikia Januari 2022 mtapata maji, kwanini usisubiri Januari ifike ukazindue kitu kilichokamilika? Huo mradi wa Arusha wa bilioni...
  4. FRANCIS DA DON

    Serikali imesema vaeni barakoa, epukeni mikusanyiko, halafu hiki ndicho walichofanya Dodoma kwenye uzinduzi wa uhamasishaji Sensa.

    Mtu anakwambia vaa barakoa na uepuke mikusanyiko, halafu mtu huyo huyo anakuhamasisha uje kwenye mkusanyiko mkubwa wa kuhamasisha sensa. Je, kuna hitilafu kwenye wiring ya ubongo wake? Video ipo chini hapo 👇🏼 =================================...
  5. mshale21

    Manchester City imezindua sanamu za Vincent Kompany na David Silva Etihad stadium

    Klabu ya Manchester City imezindua sanamu za wachezaji wao wa zamani Vincent Kompany na David Silva kwenye uwanja wao wa Etihad kuelekea mchezo dhidi ya Arsenal leo. Sanamu la tatu la Sergio Aguero linatarajiwa kukamilika mwakani.
  6. Wang Shu

    Young Africans yazindua jezi mpya msimu wa 2021/2022

    Tarehe 24 msemaji wa klabu ya Yanga Haji Sande Manara alitoa taarifa katika hafla yake yakutambulishwa kama msemaji wa klabu hiyo,kuwa tarehe 25 mwezi huu{leo} saa tano asubuhi watazindua jezi za msimu mpya na hii ni maalum kuelelea kilele ya siku ya mwananchi itakayo fanyika huko Zanzibar...
  7. Q

    Uzinduzi rasmi wa kampeni ya Wananchi na Katiba ‘WAKA’ kufanyika tarehe 28/8/2021 jijini Dar es Salaam

    UZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA "WAKA" TAREHE 28/08/2021 WAKA Wananchi&Katiba Dar es salaam., Tanzania 9 JUL 2021 — Nachukua fursa hii kuwatangazia kua Uzinduzi rasmi wa Kampeni ya WAKA (Wananchi na Katiba) utafanyika tarehe 28/08/2021 ukumbi wa LAMADA HOTEL, ILALA - DAR ES SALAAM kuanzia saa 2...
  8. Roving Journalist

    UZINDUZI: Juzuu la ‘Rai ya Jenerali’ - Agosti 6, 2021

    Juzuu hii ina makala moto na ngumu zinazohusu mambo makubwa yaliyowahi kufanyika nchini na ambayo hakuna Mwandishi yeyote aliyewahi kuthubutu kuyasimulia. Ni shuhuda za mwandishi wa habari mahiri katika bara la Afrika anayeheshimika duniani pote akisimulia mambo makubwa yaliyofanyika katika...
  9. Stephano Mgendanyi

    Katibu mkuu wa UVCCM Taifa azindua Vijana Jogging club aliyoianzisha mkoani Dodoma

    KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA AZINDUA VIJANA JOGGING CLUB ALIYOIANZISHA MKOANI DODOMA. 31.07.2021 Katibu mkuu wa Uvccm Taifa Ndugu Kenani Kihongosi amezindua rasmi VIJANA JOGGING CLUB MKOANI DODOMA. Amelekeza Mikoa yote kuwa na Vikundi Vya JOGGING VYA VIJANA lengo ikiwa kulinda afya pamoja na...
  10. B

    Tanzania LHRC - Uzinduzi wa report ya haki za binadamu na biashara 2020/2021

    UZINDUZI WA REPORT YA HAKI ZA BINADAMU NA BIASHARA 2020/2021 Legal and Human Rights Centre (LHRC) on 29th July, 2021, launched the Tanzania Human Rights and Business Report that provides the status of human rights in the business field in Tanzania Mainland in 2020. This is progressive report...
  11. J

    #COVID19 Shaka Hamdu Shaka: Rais Samia kaonesha njia, wananchi wafanye uamuzi sahihi wa kupata chanjo

    Nukuu za Katibu wa itikadi na Uenezi CCM wakati akizungumza leo katika Uzinduzi wa Chanjo ya Uviko 19 Ikulu Jijini Dar Es Salaam. "Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua hii muhimu ndani ya Taifa letu. CCM inampongeza Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu...
  12. Analogia Malenga

    #COVID19 Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo

    Mzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha. Pia ameongelea kauli ya Magufuli na kusema hakukataa bali alitaka tahadhari, Mwisho amesema wakristo kuna mambo wanakubaliana wote kwa...
  13. Analogia Malenga

    #COVID19 Rais Samia kuzindua na kupata Chanjo ya COVID-19 Julai 28, 2021

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Chanjo ya COVID19 Ikulu Dar, Saa tatu asubuhi Julai 28, 2021 Tanzania ilijiunga na Mpango wa COVAX Juni 15, 2021 na imepokea shehena ya Chanjo Julai 24, 2021 Wizara ya Afya imesema Chanjo ni nyongeza ya njia za kupambana na Corona...
  14. Replica

    Manyara: Waziri mkuu Azindua kituo cha Tanzanite Magufuli. Astaajabishwa na Kazi kubwa iliyofanyika Ukuta wa Mirerani

    Leo waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa anazindua kituo cha Tanzanite Mirerani mkoa wa Manyara, kuwa nami... ======= Waziri Mkuu: Nimekuja na salam zenu kutoka kwa mheshimiwa Rais, mama Samia Suluhu anawasalimia sana wana Mererani, pia makamu wa Rais. Viongozi wetu wanawatakia mafanikio...
  15. The Palm Tree

    VIDEO: Tundu Lissu akitoa 'central theme' ya kitabu chake na sababu za kufanyia uzinduzi wake Kenya badala ya Tanzania

    Harakati za kisiasa za Tundu A. M. Lissu sasa ziko kwenye maandishi. Kitabu chake "REMAINING IN THE SHADOWS: PARLIAMENTS AND ACCOUNTABILITY IN EAST AFRICA" kinachambua historia (history), mapungufu (weaknesses) na mazuri (strengths) ya mabunge ya nchi zote mama za Afrika Mashariki i.e Kenya...
  16. Doctor Mama Amon

    Uzinduzi wa Mpango wa Maendeleo wa Wizara ya TEHAMA: Kumbe waliodhani ni Wizara ya VPN walikosea

    Katibu wa Wizara ya TEHAMA, Dk Zainab Chaula, na Waziri wake, Dk Ndungulile wakiteta jambo Wizara ya Tekinolojia, Habari na Mawasiliano (TEHAMA) imezindua mpango wake wa maendeleo wa miaka mitano (2021-2026), mjini Dodoma leo. Ni wizara ya kwanza kufanya hivyo ndani ya siku mbili baada ya...
  17. Doctor Mama Amon

    Uzinduzi wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo ya Taifa: Kutoka Hofu na Mashaka Hadi Furaha na Matumaini

    Waziri Mkuu wa Tanzania akionyesha nakala za Mpango wa tatu wa Maendeleo wa Taifa wa 2021/22 hadi 2025/26 leo wakati wa uzinduzi wake Mjini Dodoma Nimefurahi kuona luninga ya TBC1 leo asubuhi ikizindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa kwa ajili ya kipindi cha 2021/22 hadi 2025/26. Wakati...
  18. Mr Dudumizi

    UZINDUZI WA KITABU: Lissu asuswa na kupuuzwa na wanaharakati wenzake

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Ama baada ya salam sasa niende kwenye mada husika. Kama ilivyozoeleka huko nyuma, swala la uzinduzi wa vitabu hasa kwa viongozi wetu lilikuwa ni la uwazi, ambapo kila mtu bila kujali vyama alilifatilia mwanzo mwisho. Wakati wa uzinduzi wa kitabu cha hayati mzee...
  19. Q

    Tundu Lissu yupo Kenya kwa uzinduzi wa kitabu chake

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu ametua nchini Kenya kwa ajili ya uzinduzi wa kitabu chake, je atakuja nchini? #Tanzania opposition politician Tundu Lissu, who has been exiled in Belgium after fleeing the country in 2020, has arrived in Kenya ahead of his book launch on...
  20. J

    Yanayojiri: Uzinduzi wa mbio za Mwenge wa uhuru 2021, Umewashwa na makamu wa pili wa Rais Zanzibar utakimbizwa siku 150!

    Mwenge wa uhuru umewashwa leo mjini Zanzibar na makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Ameir. Kiongozi wa mbio za mwenge ni luteni Josephine Mwambushi na ataukabidhi ukiwa unawaka siku ya tarehe 14/10/2021 kwa Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan huko Chato, Geita. Source: ZBC
Back
Top Bottom