Wanabodi
Naangalia TBC mubashara uzinduzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign,
Katika ufuatiliaji wa uzinduzi huu mubashara kupitia TBC, kukatokea jambo fulani,
Wanasheria hawa, ndio waliotufikisha hapa!, jee tuendelee kuvumilia hizi slips of a tongue kwa wanasheria wetu manguli wabobezi na...
Chadema kama chama tegemeo kwa ukombozi wa nchi hii ni tofauti sana na vyama vingine. Tofauti kubwa iliyopo ni kuwa chawa kama wale wa Mama huku si sifa bali ni machukizo.
Chadema iliyoko mioyoni mwa watu hutambua wakichemka wao na hata tunapochemka sisi. Hii ni bila kujali mpiga fyongo ni...
Wengi wanadhani Chadema walianza rasmi mikutano yao hapana, baada ya uzinduzi huo kitakachofuata ni ratiba rasmi ya mikutano na ndiyo itakayotoa huenda yote wanayoyatarajia watanzania kulingana na itakavyofanyika.
Kuna watu wanaodhani kwenye uzinduzi utaongelea matatizo yote ya nchi, hapana...
Sifa pekee aliyonayo chawa yenye nafuu NI uwezo wake wakijificha nakukaa kimya anapotekeleza mikakati yake ya KUJITAFTIA riziki au mkate WA siku.
Sifa zilizobaki zote zimekaa vibaya kisiasa nakiutu , labda Kwa kifupi TUZIFAHAMU baadhi ya sifa za chawa;
1. Chawa siku zote NI mnyonyaji; uishi...
Nasikia Kiingilio ni Bure na Bia nazo ni bure kwa idadi uitakayo halafu Wanawake wote wanatakiwa Kuvaa Madela ila ndani wawe Watupu tu
Vile vile Watumbuizaji wakuu ni Christian Bella na Mboso na hivi sasa Saa 6 na dakika 57 hii Mvua ikiwa inanyesha Mboso ndiyo anaanza Kupanda Stejini.
Mimi...
Uzinduzi wa maghala ya chakula si suluhishi ya kutatua matatizo yanayokumba nchi hivi sasa mfumuko wa bei wa bidhaa mbalimbali ndiyo kitu pekee mama ambacho hivi sasa angekaa na viongozi wake nini wafanye kwa wananchi ili kupunguza ukali wa maisha.
Changamoto ya umeme na maji imekuwa shida...
Makampuni mengi ya kitanzania hayana mfumo wa ku fact check, na hata yanayofanya hivyo hutumia kampuni za nje ambazo hata kiswahili chao siyo kizuri.
Unaweza kukuta mtu kaandika Nape kaumwa wakati siyo kweli. Nafarijika kuona jambo hili limezinduliwa leo na ndiyo maana nipo hapa. Kama serikali...
Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma anazungumza kwenye Uzinduzi wa Majengo ya Mahakama za Wilaya ya Mwanga na Same leo Novemba 15, 2022
Nurdin Hassan Babu - Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro
Haki siyo lazima upate wewe tu, hata mwenzako akipata haki na wewe unapaswa kukubali.
Mwenyekiti...
Hata kama hawakuweka majina yao sentensi zao zitakujulisha waandishi hawa. Kulia ni Jabir Ali na kushoto ni Ali "Alberto" Saleh. Hakuna asiyewajua watu hawa. Makala zao wasomaji hawazipiti lazima watazisoma.
Waandishi hawa makala zao zinauza na kujenga gazeti na mwisho wa siku gazeti linapata...
Ndugu wana jamvi,
Natafuta heading yenye taarifa inayoonyesha mradi ukisimama baada ya uzinduzi. Mfano kiongozi mkubwa (Rais, au waziri anazindua mradi wa maji, umeme au ujenzi.
Halafu baada ya hapo mkandarasi anasepa na hakuna kinachoendelea hapo. Natafuta mwenye link ya story ya miradi kama...
Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uholanzi na JamiiForums kinazindua Mradi wa Kuimarisha Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kisiasa na Chaguzi.
Bernadetha Kafuko, Mkurugenzi Mtendaji TCD
Vijana wetu ni nguzo yetu, tuna wajibu wa kuwaandaa. Kipaji lazima...
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akizindua Mradi wa HEET wa miaka mitano uliolenga kuboresha elimu na kunufaisha vyuo 14, uzinduzi umefanyika leo Septemba 13, 2022, Dar es Salaam.
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali itahakikisha...
Profesa Penina Mlama Mwenyekiti wa Kamati ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu anazungumza
“Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kusema ujenzi wa taifa ni kujenga tabia za Wananchi, mitazamo ya kuweza kuishi pamoja.
“Kila taifa lina mitazamo yake ili watu waweze kuishi...
Kufuatia kutangazwa kwa tukio la uzinduzi wa takwimu za shirika lisilo la kiserikali la TWAWEZA East Africa linalotarajiwa kufanyika leo tarehe 25 Agosti, 2022, kumekuwepo madai/uvumi kuwa tukio hilo limeahirishwa.
Taarifa hizo ambazo zimekuwa zikisambazwa katika makundi sogozi ya WhatsApp...
Uzinduzi wa Huduma za Mawasiliano ya Intaneti Mlima Kilimanjaro, Agosti 16, 2022
Waziri Nape Nnauye:
Nawapongeza TTCL kwa kunialika kushiriki tukio hili la uzinduzi wa huduma ya mawasiliano ya intaneti katika moja ya kivutio bora cha kitalii Duniani
Maeneo mengi ya utalii Nchini baada ya...
Leo ni uzinduzi rasmi wa Simba Week, tuna mambo mengi kwenye wiki hii.
"Msimu huu tunarudi kwa nguvu, tunarudi kutetea ubingwa wetu na slogan yetu ni WE ARE UNSTOPPABLE - HATUSHIKIKI – HATUZUILIKI.- CEO Barbara
Zoezi la usajili bado linaendelea. Wiki ijayo timu yetu ya digital itaanza...
Ikiwa ni Mwisho wa mgogoro kati ya pande mbili zinazohitalifiana. Leo Jijini Mbeya wafuasi wa Askofu Mwaikali wanafurahia kujiunga na mwamvuli wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki wakitokea K.K.K.T.
Ni huzuni kubwa kujitenga na kanisa hilo kongwe lililoasisiwa mwaka 1963 baada ya kuunganisha...
Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation - Zanzibar
Rais ahuzunika kwa kufeli sana kwa mkoa anaotokea, Kusini Unguja.
Rais Samia azungumzia ubovu wa matokeo Zanzibar ambapo alitoa maelekezo na sasa ufaulu kwa wanafunzi umeongezeka. Amezungumzia...
RAIS SAMIA AKISHIRIKI UZINDUZI WA FILAMU YA THE ROYAL TOUR - JNICC, DAR ES SALAAM
Tulianzia Marekani kwa kuwa utalii uliathirika na COVID na watalii kutoka Marekani walipungua.
Sekta ya Utalii inaajiri 4% ya watanzania na iliathirika sana wakati wa COVID19.
Rais Samia. Filamu ilikamilika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.