Watch TBC live !
https://www.youtube.com/live/WG68iDTH28I?si=g2NmH5hKoui5ZSRX
Anayezungumza ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wawekezaji wa TIC, Bw. Revocatus Arbogast Rasheli.
Kwa vile sio wote wenye access na TBC saa hizi, nitawaletea kwa uchache yale ya muhimu aliyozungumza.
Mkurugenzi...
Wanafunzi Kijiji cha Kirumi Kata ya Bukabwa katika Wilaya ya Butiama Mkoani Mara wamepunguziwa mwendo baada ukamilishaji wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Kirumi iliyoanza kujengwa tangu mwaka 2003 kwa nguvu za Wananchi ambayo ilikuwa hitaji kubwa la muda mrefu kwa Wananchi.
Hafla hiyo fupi ya...
Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa Ubunge jimbo la Mbarali ni ishara kwamba hali si shwari majimboni kisiasa:
Pamoja na Mhe. Waziri Mkuu mstaafu kushiriki katika uzinduzi huo na wananchi kuombwa kushiriki mwitikio ni mdogo jambo linalopelekea kamati ya siasa ya jimbo kukaa leo kwa ajili...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, amesitisha uzinduzi wa Soko la Mbagala Zakhem baada ya kubaini uwapo wa madalali waliochukua fedha za watu kwaajili ya kuwauzia vizimba.
Kufuatia taarifa hizo, Chalamila ametoa wiki moja na kumuagiza Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kwa kushirikiana na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Hafla ya Uzinduzi wa Mkongo wa Mawasiliano wa Baharini (Submarine Cable) wa 2 Afrika na Teknolojia ya Mawasiliano ya Kasi ya 5G ya Airtel tarehe 10 Agosti, 2023 Mbezi Beach Tanki Bovu - Kituo cha 5G ya Airtel...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso tarehe 01 Agosti, 2023 amezindua mradi wa Maji wa Bwawa la Muko wenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.9 lililopo katika Kijiji cha Mengo Kata ya Ndalambo ndani ya Jimbo la Momba.
Bwawa la Maji la Muko lina uwezo wa kuchukua Maji Lita Milioni 166,386,474 na kuhudumia...
Ni jambo la kushangaza kwa kile kilichofanyika na club ya simba kuchanganya mpira na siasa
Nilipendezwa na wazo la club ya simba kutambulisha jezi yao kwenye mlima mkubwa zaidi Afrika hivyo kufanya kuwa kivutio kikubwa kinachotambulika dunia nzima niliona ni jambo jema
Leo mida ya asubuhi...
Mashabaki wengi huwa wanapenda kulalamika kuwa jezi sio bora ila leo napenda kuwapa neno kidogo.
Jezi zozote hutengenezwa kulingana na uwezo wa walaji(wanunuzi) ni kama simu tu jinsi tunavyoona zinavyouzwa kwa bei tofauti n hapo kinachotofautiza bei ni quality.
Huwez kupata high quality jersey...
Leo ni SIKUKUU ya kibegi kufika kwenye kilele cha Mlima wa Kilimanjaro mita 5,895 juu ya usawa wa bahari.
Wapanda mlima Mashabiki wa Mnyama wako kwenye hali salama ya kufika kileleni leo.
Jioni ya leo Simba kuandika Historia Tanzania na Duniani.
Tutaendelea kuwaletea matukio zaidi kuelekea...
UZINDUZI WA MRADI WA UMEME VIJIJINI JIMBO LA PERAMIHO
Mbunge wa Jimbo la Peramiho ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. JENISTA J. MHAGAMA ameendelea na Ziara Katika Kata ya Parangu Kijiji Cha Litowa.
Mhe. Jenista Mhagama Katika Ziara Jimboni Peramiho...
JK AMPONGEZA RAIS SAMIA MAANDALIZI UZINDUZI PROGRAMU YA UWEKEZAJI SEKTA YA MAJI TANZANIA 2024-2030
Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Global Water Partnership Southern Africa (GWPSA) na Mwenyekiti...
HAYATI RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AKUMBUKWA KWENYE UZINDUZI WA IKULU MPYA DODOMA.
Leo 10:15hrs 21/05/2023
Hayati Rais John Pombe Magufuli alituonyesha na kutufundisha ya kwamba,kuwa Rais na kufanya vizuri haihitaji uwepo madarakani miaka kumi! kazi uliyotumwa kuifanya kwa miaka 10...
Uzinduzi wa ikulu mpya Chamwino umefanyika leo ambapo viongozi mbalimbali wamehudhuria.
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Freeman Mbowe hakuhudhuria. Wakati uzinduzi unaendelea Mbowe na viongozi wengine wa Chadema wameendelea na operation +255 huko Kasulu mkoani Kigoma.
Hongera...
Naona mmejitahidi Sana kukwepesha kwepesha UKWERI......
Naomba niwaambie watanzania Wengi hawaoni hayo majengo au Ile halaiki kichwani mwao wakisikia uzinduzi wa ikulu Dodoma.......
Hii ndo picha inayokuja kichwani mwao siyo hayo majebgo meupe. Meupe......
Jingine Mmefanya vizuri kutomtaja...
Leo tarehe 20 Mei 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan ataongoza uzinduzi rasmi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa JMT na watumishi wengine watahamia katika Ikulu hiyo.
Sherehe hiyo ya kihistoria inatarajiwa kuhudhuriwa na takribani watu 2,500...
Leo nilikua naangalia Rais wa Uturuki akizindua ndege mpya ya vita yenye teknolojia ya kisasa!
Nikajiuliza..
Mbona huku kwetu tunasikia rais anazindua jengo mara kituo cha afya mara mradi wa maji mbona sijawahi sikia rais anazindua teknolojia mpya?
Au sisi hatuna watafiti/wanasayansi? Je...
UZINDUZI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN DODOMA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameizundua rasmi kampeni ya msaada wa kisheria inayoitwa Mama Samia Legal Aid Campaign kwa mkoa wa Dodoma Alhamisi (Aprili 27, 2023) huku akiwataka watanzania kuitumia kampeni ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama...
Utangulizi.
Dira ya 1 ya Maendeleo ya Taifa ni ya Mchakato wa mwaka 1969 ambayo ilitoa tathmini ya Maendeleo kuanzia Mwaka 2000-2025. Takribani miaka 22 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilikuwa ikitekekeza dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2025. Tume ya uratibu, uhariri, uandishi...
UZINDUZI WA JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KATA YA MAKONGO
Mbunge Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dar Es Salaam na Mwanzilishi wa taasisi ya Tisha Mama Foundation, Mhe. Mhe. Janeth Elias Mahawanga amekuwa mgeni rasmi katika kuzindua rasmi Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Kata ya...
Mbunge wa Viti Maalum kutokea Mkoa wa Mara Ghati Zephania Chomete tarehe 01 Machi 2023 ameshiriki Mkutano wa Uzinduzi wa Daraja la Mto Mori & Wamaya Katika Kata ya Kirogo Wilayani Rorya Mkoani Mara. Madaraja hayo yamegharimu zaidi ya Shilingi za kitanzania Bilioni 1.5.
Ikumbukwe kuwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.