IKiwa ni wiki ya kumbukizi ya siku ya wapendanao, hivyo naomba kwa ufupi zawadi ya kumpa mrembo wangu ( penzi jipya). Karibuni maoni na mapendekezo yako ni muhimu
nb: penzi jipya mambo yasiwe mengi😊
Baada ya majukumu ya kitaifa na kutafuta ugali hapo jana.........mida ya jioni nikaingia supermarket moja hapa jijini dar nikadaka baadhi ya vizawadi kwa ajili ya demu wangu.
Nimefika gheto nikaoga then nikampigia demu wangu huyo simu ili ikiwezekana nimpe kile nilichojipinda kama mtu...
Daah maisha siyo fair na wala hayajawahi kuwa fair hata kidogo na hayatawahi kuwa fair hata kidogo as long as tunashaishi wacha tuendelea kuhustle. Si maana yaani bwana mwingine anacheka na wengine wanafurahi, yaani sio poa kabisa.
Si mnakumbuka story yangu ta jana baada ya manzi wangu...
Zawadi yako lazima iwe na uzito na itoke kwa moyo mmoja. Wanaume wengi hutoa zawadi kwa wanawake ili kuomba msamaha au ili apendwe au ili amshawishi mwanamke awe naye kimapenzi, hii hupunguza nguvu ya zawadi. Mwanamke atapokea zawadi yako na kukushukuru. Ili zawadi yako iwe na uzito kwanza...
Siku ya Valentines Day asili yake ni kutoka Dola ya Warumi. Ni siku ya kumbukumbu (memoria day) na sehemu nyingine ni (festum) maana yake siku kuu ya daraja la kwanza kwa kumkumbuka Padre Valentine aliyeuawa na utawala wa kirumi
Sababu ya kutetea waumini wake kufunga ndoa badala ya kuishi na...
22/02/2022 TotalEnergies Kuendeleza Valentine Hadi Tarehe 27 February
Japo Sikukuu ya wapendanao, yaani Valentine Day, huadhimishwa kwa siku moja tuu, siku ya tarehe 14 ya Mwezi Februari kila mwaka, lakini ili kueneza upendo zaidi na zaidi kwa Watanzania, Kampuni ya mafuta ya TotalEnergies...
Mwanaume mmoja huko Nairobi Kenya alifanyiwa surprise ya mwaka na mkewe akishirikiana na wanawake 4 anaotembea nao mumewe.
Ilikuwa siku ya Valentine mke akapanga mipango na wake wenzake ili waandae party ya valentine kwa ajili ya mume wao! Inaelekea walitaka kukomesha kwa kuwachanganya...
Siku ya valentine ilianza kwa shamra shamra sana kwa upande wangu, Nilipokea zawadi za kutosha kutoka kwa wife,michepuko n.k
Pia na nikatoa zawadi za KUTOSHA kwa watu wangu wa karibu wengi tu.
Pia valentine yangu ilikuja Kuisha na vimbwanga sana almanusra nivunje ndoa yangu maana yaliyonikuta...
Wanabodi,
Leo ni siku ya wapendanao, Valentine Day, hivyo nami nawatakia a Happy Valentines Day!.
Mimi ni Mzee wa Trends Readings, Siku ya wapendanao ya leo, kuna trends fulani naiona kwa mbali, hivyo bandiko hili ni swali,
Jee siku ya Valentine ya leo, The Biggest Star wa Kiume wa Bongo...
MACHACHE KUHUSU SIKU YA WAPENDANAO((VALENTINE'S DAY)
Salute mate, hongereni wenye wenza kipindi hiki cha tarehe 14 februari.
Pia hongera kwangu kwa 10,000 Messages since nijisajili cheers 🥂🥂🥂
Back to topic,
Yafuatayo ni machache kuhusu Siku ya wapendanao yaani Valentine's day.
1- hufanyika...
Happy Valentine kwa wenye Mapenzi!
Leo nimekumbuka Valentine ya mwaka jana na Xwife wangu.
From December 2020 tulikua na kutoelewana flani nikasema ngoja nimtulize Kwa mtoko maana ni vitu anapenda sana sema ni hivo sikua na maisha hayo baada ya kufulia.
Basi nilikua ka 50k nikasema haitoshi...
Dunia haikosi vituko,
Hotel Moja jijini Mwanza imesema itatoa zawadi ya sh milioni 1 na kugharamia gharama zote kwa siku tatu kwa couple yoyote itakayovunja kitanda cha hotel hiyo siku ya valentine.
Wazee wa show za kibabe hii fursa imekaaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.