Mambo zenu wakuu?
Tutakaoibuka valentine single and we never regret it. Big up to us. Japo kiugumuugumu kwangu aisee,..maana upweke nao nongwa lakin unakuwa umekwepa vingi viumizavyo. Yes am single mom again. (Kiukweli kinachoniponza ni hasira nikigundua kitu bas nareact and no retreat no...
Dear Valentine Babes....😘
Though am tired for the trip but am super exited for the next trip...🥰
I reserve all the stamina for April babes, am hyper than ever.
My eyes are halfway open.
Can’t say more than thank you darling Valentine for the surprise trip.
Be blessed always 😘😘😘
This...
Natumaini nyote wazima wa afya na mungu atuepushe na magonjwa yote hatarishi Amen!
Wakuu hapa nina swali la kizushi. Yeyote mwenye wazo karibu :)!
Kuna umuhimu gani wa kusheherekea siku ya valentine?!
Jill Biden ameweka alama za moyo na katika kila moyo ameandika ujumbe
Healing, Courage, Love, Compassion, Gratitude, Peace, Amor, Strength, Kindness, Family, Unity. Love Jill
Kwa kuwa mimi sio mtu wa wanawake, na mpenzi Sina, Basi leo nimegonga pamba zangu kali za timu yangu pendwa, niipendayo sana kutoka katika mji wa Baraka Mbeya City
Habari wanajamvi.Nahitaji kuoa sasa.
Nina miaka 29.
Dini mkristo
Kazi nimejiajiri.
Nahitaji msichana atakayekuwa mke wangu
Umri asizidi miaka 27 .
Dini awe mkristo
Akiwa mweupe ama maji ya kunde ni vizuri zaidi, asiwe chibonge.
Niko serious aliyetayari ani PM tafadhari.
Wiki hii kila ukifungulia tu Redio yoyote cha Kwanza utakachokutana nacho ni mambo ya Mahaba hasa kuelekea Siku ya Wapendanao (Valentine Day).
Je, ina maana Media za Tanzania zinashindwa pia kwa Umoja wao huu huu (Media Agenda) basi wakawa Wanayasema yale ya Ukweli kuhusu Maisha ya Mtanzania...
Jipatie ofa ofa ya perfume msimu huu wa Valentine Day kwa bei nafuu kabisa kwa ajili ya kunogesha siku ya wapendanao ukiwa na perfume bora kabisa!
Tunapatikana -Mbezi Beach Dar unaweza kuweka order na kuletewa ulipo utachangia nauli kidogo.
Wasiliana nasi kwanjia ya WhatsApp/Call/Text kwa...
KAMPUNI ya simu za mkononi ya itel imezindua kampeni ya promosheni ya ‘Nogesha Valentine na itel’ jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari hivi punde jijini Dar es Salaam meneja mahusiano wa itel Bw. Fernando Wolle amesema lengo la kampeni hiyo ni kuonesha upendo kwa wateja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.