Kwa wale wenzangu na mimi, kama hujawahi sikiliza Wimbo wa Dax: what it takes to be a man, sikiliza kisha hii ndio swahili version yake
"Sina uwezo wa kujificha
Sitarajii uweze kuelewa
Natumai tu naweza kueleza
Vipi ni kuwa mwanamume
Ni njia yenye upweke
Na hawajali kuhusu unayojua
Siyo kuhusu...