Habari zenu wanaJF wenzangu,
Aisee sikutegemea kama ishu ya kuteuliwa kijana Paul Christian Makonda huko CCM imewaumiza, imewakera, imewapagawisha, imewachukiza na kuwafurahisha watu tofauti tofauti na wenye heshima mbali mbali nchini.
Kati ya watu ambao inasemekana kuwa walipagawa na...