viatu

  1. C

    Viatu mtumba for sale with good price

    Karibuni sana nauza viatu poa vya mtumba kwa bei nafuu kwa mawasiliano nicheck kuptia 0692058709 Whatsapp & Calls AIR JORDAN 1 LOW SE SHOES SIZE 9.5/44.5 PRICE 35,000/= Brown leather SIZE 8.5/42.5 PRICE 20,000/= BELLE SHOES(Black) SIZE 8.5/42.5 PRICE 25,000/= ADIDAS STAN SMITH SHOES SIZE...
  2. Kusema hakuna mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya Dkt. Magufuli ni kukosa akili

    Kuna watu wataleta nyuzi za kishamba sana eti haoni mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya miaka 5 au 10 ya Dr Magufuli. Sisemei Dr Magufuli hajafanya kazi , la hasha, Kajitahidi na kachapa kazi ila Tanzania ina watu mil 58 , naamini kuna watu Zaidi ya mil 1 wanaoweza kufanya vizuri kwenye kiti...
  3. Aliyepewa viatu vya Ruge "Jasiri Muongoza Njia" vinampwaya

    Panapo majaaliwa siku ya Jumamosi Mchana tutazungumzia Viatu vya Jasiri Muongoza Njia (Ruge Mutahaba) baada ya kutangulia mbele ya haki. Viatu vyake nani alipewa, na Je aliekabidhiwa Viatu hivo vinamtosha? Rangi ya Viatu alivokuwa akivaa marehemu ndio hiyo bado ipo mpaka leo au aliepewa...
  4. Michael Jordan: Viatu vya nguli wa NBA vyauzwa kwa rekodi ya $560,000

    Jozi za viatu za nguli wa mchezo wa kikapu Michael Jordan za mwaka 1985 zimeweka rekodi ya kuuzwa kwa kiasi cha dola za Marekani 560,000, kwenye mnada wa mtandaoni. Jozi hiyo ya viatu ya Nike Air Jordan 1s, ilivaliwa na Jordan wakati wa msimu wake wa kwanza akiwa kinda na klabu ya Chicago...
  5. Lwakatale, Silinde na wenzao wameonewa sana na kudhalilishwa sana

    LWAKATALE, SILINDE NA WENZAO WAMEONEWA SANA NA KUDHALILISHWA SANA Sitaki kujadili juu ya uhalalia ua kutokuwa halali kwenda au kutokwenda Bungeni hili lingeitimishwa na sheria na Miongozo ya CHADEMA kama ingefuatwa wakati wa kuhitimisha jambo lenyewe. Mimi nitajikita kwenye sheria na kanuni...
  6. B

    Wapi naweza kupata nguo za mtumba kwa Dar?

    Wakubwa anaejua chimbo za kulenga mitumba nguo hasa kadet,viatu nk kwa jumla anisaidie.
  7. Mitambo ya viatu Magereza yawasili

    AWAMU ya kwanza ya mitambo ya Kampuni ya Kutengeneza Viatu ya Jeshi la Magereza imeshawasili nchini kutoka nchini Italia. Hayo yamebainishwa na Msemaji wa Jeshi la Magereza nchini, Amina Kavirondo alipozungumza na HabariLEO. Kavirondo amesema makontena 15 kati ya 80 ya mitambo hiyo yaliwasili...
  8. Hivi viatu vya 3000 huwa vinatoka wapi? Nataka niingie kwenye biashara ya viatu

    Ni alhamis tamu sana kukiwa na hali ya hewa ya mawingu na ubaridi na kimvua hapa dar hakika napendaga hii hali sana. Ok niende kwenye mada unaweza ukapita mahali au kwenye masoko hapa dar unakuta viatu vinauzwa 3000 mpaka 4000 ni viatu vizuri sana mimi siku zote nimekua na ndoto ya kufanya...
  9. Mhitimu wa Chuo Kikuu anayejikimu kimaisha kwa kusafisha viatu Ethiopia

    Chekole Menberu, mwenye umri wa miaka 27,alikuwa na matumaini makubwa ya kupata ajira mara baada ya kumaliza shahada yake ya uhandisi wa kemikali(chemical engineering) miaka miwili iliyopita nchini Ethiopia. Ulikuwa ni wakati wa ukombozi, akiangalia miaka aliyoteseka kufikia kiwango hicho cha...
  10. I

    Biashara ya mikoba, viatu na nguo kutoka Uganda naomba msaada wa mawazo

    Habari wanajamvi nimefanya utafiti juu ya baadhi ya uzi humu JF ambazo zina husiana na biashara kutoka Uganda nyingi ni za mda. Naomba kama kuna mtu yoyote anaefanya biashara ya kununua vitu Uganda na kuleta Tz naomba aje nahitaji mwongozo. Juu ya namna ya kufika Uganda masoko ikiwezekana...
  11. Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Habari wana jamvi, Naomba ushauri nataka kwenda uganda kuleta nguo za mitumba, pochi na viatu pamoja na vipodozi napenda kujua cha kufanya maana ndo nataka kuanza ikiwemo accomodation nikiwa uganda,je huku Tanzania nitaziuzaje, mtaji kwa mzigo wa kwanza uwe shingapi vip usafiri,Ushuru na TRA...
  12. Sehemu au gulio la mitumba Uganda lipo maeneo gani?

    Hello sehemu au gulio la mitumba Uganda ipo maeneo gan na bei zikoje balo la viatu na nguo first grade
  13. J

    Yericko Nyerere kurithi viatu vya mzee Sumaye kanda ya Pwani Chadema?

    Nimepata taarifa ambazi siyo rasmi sana huko kigamboni kwamba kijana machachari na mwandishi wa vitabu vya ujasusi Kamanda Yericko Nyerere atajitosa kulitwaa jimbo la Pwani kama mwenyekiti wake kupitia Chadema. Namtafuta Yericko atuthibitishie hili. Maendeleo hayana vyama!
  14. Tusukali online store

    Jipatie Timberland boots original kwa bei ya offer ya Tshs.100,000/= only.Offer hii ni ya mwezi huu tu wa 11. Wahi kuweka order ujipatie Timbs yako Original kabisa..Unaletewa ulipo kwa Dar na mikoani utatumiwa package yako. Huduma hii ni online ..#ulipo tupo..WHATSAPP/CALL 0652015525
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…