vibaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    RPC Muliro kuna nini kwa sasa Mbweni mbona kuna Vibaka na Ujambazi mwingi?

    Kama kuna mahala kwa sasa ambako Wakazi wake wanalia kwa Kuibiwa na Vibaka mchana na kuingiliwa na Majambazi nyakati za Usiku ni wale Waishio maeneo ya Mbweni. Kuna maeneo kama Kawe, Mwenge, Kunduchi, Mgulani, Ukonga, Gongo la Mboto, Makumbusho, Mbweni, Oysterbay Msaada Kontena, Kurasini na...
  2. Ricky Blair

    Hivi ni busara kupigana na vibaka kama watatu au zaidi kama wanataka kukuibia simu, hela n.k?

    Hivi ni busara kupigana na vibaka kama watatu au zaidi kama wanataka kukuibia simu, hela n.k au bora uwaachie kama unajua umezidiwa? Hili kwa wanaume hata kama unajua kupigana unafanyaje?
  3. BigTall

    DOKEZO Serikali itusaidie kumaliza tatizo la vibaka Ipuli, Tabora imekuwa too much sasa

    Kumekuwa na sintofahamu ya matukio ya wizi uliokithiri maeneo ya Ipuli hapa mtaani Mrenda Mkoani Tabora, matukio ambayo yanayofanywa na watu ambao bila shaka ni vibaka kulingana na aina ya wizi wanaofanya. Tabia hiyo ilianza mdogomdogo lakini sasa inazidi kukomaa, vibaka wanakata madirisha ya...
  4. GENTAMYCINE

    Huku tunaojali na Kuipambania Tanzania yetu na Bandari Wasiojali na Vibaka wako Jangwani muda huu

    Huku tunaojali na Kuipambania Tanzania yetu tukiwa busy Kuiokoa Wasiojali na Vibaka wako Jangwani muda huu Hakika Asali ya Shilingi Milioni 20, Asali ya Ndege Uarabuni, Asali ya Mapochopocho Magogoni Big House na Ndege Umbeyani imewafanya wasiwe na Uchungu wa kutaka kujua lolote lihusulo...
  5. GENTAMYCINE

    Kuna Vibaka nawaona kabisa wanakula Rada Dirisha la Gheto langu, tafadhalini nichagulieni Adhabu ya kuwapa ambayo hawatoisahau Milele

    Je, 1. Wakija Kuniibia nimsaidie Kazi Israeli ili wakayaanze Maisha yao mapya Kinondoni au Kisutu? 2. Wakija Kuniibia niwe tu Mpole wachukue watakacho 3. Wakija Kuniibia nivizie wa Kwanza kuingiza / kupenyeza Kichwa chake Dirishani Kwangu na nikitenganishe Kichwa chake na Kiwiliwili? 4...
  6. Okrap

    Vibaka sasa wamezidi

    Vibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka...
  7. Rwetembula Hassan Jumah

    Akatwa kidole Vingunguti, vibaka wazidi kuwaliza Wananchi

    Akatwa kidole Vingunguti, vibaka wazidi kuwaliza Wananchi kwa kuwapora mali zao. Jeshi la polisi tunaomba mkafanye kazi yenu Vingunguti.
  8. GENTAMYCINE

    Natamani sana Kumjua huyu 'Mwamba' aliyebuni hizi Mbinu Mpya za 'Kuua' Vibaka / Wezi Wasumbufu Uswahilini

    Ya Kwanza ( #1 ) Kibaka / Mwizi anabebwa na Watu Wawili tu kama Maiti inavyoingizwa katika Jeneza kisha ANATIKISWA ( ANACHEKECHWA ) mara Saba ( 7 ) kisha anaachiwa na baada ya dakika 15 tu anawahishwa Mochwari iliyoko Jirani nae Kusubiri Kuzikwa. Ya Pili ( #2 ) Kibaka / Mwizi akikamatwa tu...
  9. nguvumali

    Vibaka kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma

    Naandika thread hii kwa huzuni Sana. Leo Alfajiri nimeamka katika Mji wa Dodoma. Nilipofika kituo Kikuu cha Mabasi kabla sijaingia getini nimeshuhudia kundi la Vijana wakivamia abiria wanaotembea kwa miguu au abiria wanaoshuka Kwenye daladala na kuingia kituoni kwa miguu. Mamlaka za usimamizi...
  10. Shujaa Mwendazake

    Tuhuma za Madawa ya Kulevya: Kamishna Jenerali wa DCEA akosoa utaratibu alioutumia Makonda

    Jana katika kipindi cha Dk 45 ITV walikuwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ambaye alipinga vikali utaratibu uliyokuwa unatumiwa na aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa DSM Ndug Paul Makonda wa kuwataja hadharani watu aliokuwa akiwatuhumu au wakidhaniwa kuhusika...
  11. Analogia Malenga

    Mbeya: Serikali Yafyeka Mahindi Ya Wananchi Kuzuia Yasifiche Vibaka

    Serikali ya Mtaa Iyunga Mbeya Yafyeka Mahindi Ya Wananchi Kuzuia Yasifiche Vibaka.
  12. Suley2019

    Je, Tundu Lissu ana mahusiano na mwanamke wa kizungu?

    Nguli wa siasa nchini, bwana Tundu Antipas Lissu leo ameondoka Ubelgiji kurejea nchini. Wakati anaondoka ameonekana anaagana 'Kimahaba' na mwanamke wa kizungu uwanja wa ndege. Je, haitamletea shida kisiasa ikizingatiwa anayo ndoa rasmi na Alice Magabe na kuzaa nae watoto wawili? Nini...
  13. MK254

    Wafungwa waachiwa baada ya kupigana Ukraine, waombwa wasibake tena

    Baada ya Urusi kushindwa Ukraine, ilibidi watumie wafungwa, kundi la kwanza ambalo limerudi kutoka Ukraine limeachiwa huru ila kwa kuombwa wasibake wanawake... The first batch of Russian prisoners who were offered amnesty in return for fighting in Ukraine has been released, the head of Wagner...
  14. C

    Polisi Temeke imarisheni ulinzi muda huu katika tamasha la Vuka na Chako kwani walioshindwa kuingia Wanaporwa na Vibaka

    Mbele ya Msikiti unaotizamana na Petro Station iliyo Jirani na Mgulani Barracks kuna Vibaka hapo na wakipora wanakimbilia kule Makaburini. Kwingineko ni huku kama unakuja ilipokuwa TCC kuelekea Kona ya Keko kuna Kipande hapo kina Giza Watu Wanaporwa. Tafadhali kwakuwa Uwanja umejaa mpaka...
  15. GENTAMYCINE

    Kumbe 'sometimes' Mikwara husaidia Kukimbiza 'Vibaka' Watoboa Nyavu Usiku Uswahilini Mwetu

    Nimejaribu hii Mikwara Miwili ndani ya Siku Mbili tofauti ambapo Vibaka walitaka Kunichania Nyavu Ghettoni Kwangu waniibie hii Simu yangu ya Kimasikini ya Tecno F1 na imesaidia Kuwatoa Baru ( Kuwakimbiza ) ila Hofu yangu Siku wakija Kushtukia kuwa sina lolote nahisi Watanipanya Rodi vibaya mno...
  16. MK254

    "Mumegoma kwenda kupigana Ukraine, tunawaachia vibaka na wauaji wakapigane"....Warusi waambiwa

    Kwa sababu Warusi wamegoma kwenda kupigana kule Ukraine na kuachia wanajeshi wao kuendelea kuaawa kama nzige, serikali ya Urusi inaendelea kuwaachia mahabusu wa kila aina, vibaka, majambazi, wauaji, wabakaji n.k. Wanatumwa wapambane miezi sita kisha kama hawatakufa vitani, watarudi mtaani...
  17. mirindimo

    Panya road: Ni vibaka wanaoshirikiana na Polisi?

    Wamerudi maeneo ya Tabata na hawa madogo wanapovamia hujinasibu kua hakuna wa kuwafanya kitu na huahidi kurudi eneo la tukio tena baada ya mda. Hawa watu hushirikiana na Polisi hasa kugawana vitu wanavyo pora baada ya kuviuza hakuna mtu anaweza sema hili kwa sababu linagusa watu nyeti pia walio...
  18. Job Richard

    Vibaka Kawe, unaporwa kila kitu nauli unapewa

    Kuna mshikaji alikuwa na mke wake kapita nyuma ya Tanganyika Packers pale Kawe anadai ilikuwa mida ya saa moja usiku katoka beach, kakutana na jemba tatu zimeshiba zikamsaula kila kitu. Na mfukoni alikuwa na elfu sabini ile wanamruhusu ondoka, eti wanamuuliza nauli mnayo? Wakamtoa elfu tano...
  19. M

    Vibaka Iran watoboa ukuta wa benkikuiba maboksi kadhaa ya pesa

    Mzuka wanajamvi! Vibaka Tehran nchini Iran wametoboa ukuta wa benki kutokea kwenye jenho lililo karibu na benki iyo nakuiba maboksi 280 (safes) zenye pesa na Vito vya thamani. Wezi hao walichukua fursa (advantage) ya siku kuu ya siku tatu iliyokuwa ikiadhimishwa nchini Iran kufanya wizi huo...
  20. M

    Makonda alidhibiti wavuta shisha na huyu Amos Makalla ameshindwa kila kitu hata uhalifu wa vibaka

    SERIKALI IMESHINDWA KUTHIBITI SHISHA? Pamoja na serikali kupiga marufuku uvutaji wa Shisha, Jijini Dar es salaam biashara hiyo inazidi kuongezeka huku matamko ya serikali yakionekana kupuuzwa. Maeneo mengi ya starehe yameendelea kuuza Shisha bila kujali kuwa ni kinyume na sheria
Back
Top Bottom