Hali ya Amani katika nchi yetu imetoweka kabisa watu wanaishi Kwa hofu, Leo usiku saa 8 :43 Vibaka walivamia kwangu walikuwa 9 , Wakaweka Mawe Makubwa Kwenye Milango yote.
Nafuga kuku na Kanga , wakaingia Kwenye Banda la kuku, Nikasikia Kanga wanapiga kelele nikachukua slaha yangu , nikazima...
Taarifa inasema! Vibaka walivamia katika kata tatu huko chanika na kuathili nyumba 21
Ingawa haijajulikani rasmi idadi halisi ya vibaka hao lakini haiondoi ukweli kwamba kuna uzembe katika mfumo wa ulinzi.
Tukiaachana na intelijensia ya kushindwa kuwabaini hao vibaka mapema!
Inashangaza kuona...
Wakuu usiku wa kuamkia Leo vibaka wamevunja kioo cha gari wakaiba taa moja ya nyuma, power-window na side mirror zote mbili, aina ya Gari ni Kluger V, kwa spare used naweza kupata kwa bei gani @?
Usiku huu nimekuja kumtembelea rafiki yangu huku Msumi. Namkuta Yuko kwenye kikao Cha ulinzi kilichoitishwa kwa dharura jioni hii.
Kumetokea wizi wa majumbani usiku kwa siku tatu mfululizo.
Serikali na Jeshi la polisi chukueni hatua.
Familia zaidi ya saba zimeibiwa majumbani usiku ndani ya...
Haya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake.
Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi..
Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document...
Kama kichwa cha mada kinavyo jieleza tubadilishane uzoefu kuhusu hilo.
Kwa upande wangu hujichanganya nao na kupiga nao stori mbili tatu lengo ni kujua misimamo yako na maisha yao ya baadae pia kutambua ambao hawapendi ukibaka bali kuna msukumo unao wapelekea kuwa hivyo
Kisha huwaweka pamoja...
Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's.
Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine?
....
Hii ndio Nakuru
mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta)
1. Penda Kujichanganya nao kupiga stori ukiwa na muda
2. Ukibakiza vichenji chenji wape
3. Ukijua wanavuta Bangi au Pombe siku ukiwa nazo mfukoni wanunulie
4. Ukisikia Mmoja wao kakamatwa onyesha hata kinafiki tu kuwa unampambania Kumtoa
5. Wakosoe kwa kuwajenga na siyo kwa Kuwadhalilisha na...
MUHIMU: Tahadhari inabidi zichukuliwe, Wema wako unaweza kuku gharimu! kabla hujachukua uamuzi wa kumrejeshea mtu vitu vyake ni lazima upate taarifa zake (ni mzima?, kapata tukio lipi?, nk) lasivyo unaweza kuingia mtegoni au kuhusishwa na kesi.. kama huna taarifa ni bora utafute njia ya...
Ushauri kwa uongozi wa soko la ilala karume kuchukua hatua za haraka kuondoa watu wanaojifanya madalali wakiona mteja kukuchukua na kukupeleka kununua kitu yaani kwanza wasumbufu wengine wananuka pombe vibaka tupu waondolewe pale haraka hakuna mtu ujui unaenda kununua kitu gani ukiwa umetoka...
Naomba Jeshi la Polisi hasa mitaani mje kusaidia maana vibaka wamerudi kwa wingi sana. Hii sio siasa ni reality kabisa na siandiki kwa mihemuko!
Kuna kipindi tulianza kulala milango wazi lakini kwa sasa wanakata mpaka madirisha
Mzuka wanajamvi!
Wa Ethiopia wengi walioko nje Diaspora wanapitia wakati mgumu sana kwasababu ya ndugu zao nyumbani wanayopitia.
Sasa hivi wengi hawajui kama ndugu zao wako hai au wamekufa. Simu zao hazipatikani wala kwenye mitandao ya jamii hawaonekani.
Hali imekuwa ya sintomfaham sasa hivi...
Jana usiku Oktoba 09 mida ya saa 4 kasoro, jamaa yangu mmoja akiwa na mpenzie ndani ya gari, wakiendesha slow motion ndani ya barabara ya Kokoto.
Huku shemeji yangu akiongea na simu, GHAFLA BIN VUU, jamaa katokea kwenye kichaka na kumpora Shem simu. Wahusika: SOUTH BEACH HOTEL NA WANAUSALAMA...
Ujumbe uwafikie nyie wachezaji wetu kuweni makini sana watu wameumia miaka 4 wkajiaminisha kwamba baada ya usajili wa lopolopo anayeogopa jua kwamba wanaenda nusu fanali ya CAF maana wanaamini ndiye aliyekuwa anaifikisha simba mbali huko CAf.
Hizi milioni 15 ni rasharasha tu na rafu zile...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Askari wa Barabarani ( Traffic Police ) Mmoja huko nchini Kenya amejikuta akiibiwa Simu kwa 'Kuchomolewa' na Kibaka wakati akiwa anaongoza Magari.
Nimewaonya Vibaka wa Bongo ( Tanzania ) nikiwa najua kuwa 'Matrafiki' wengi wa Tanzania huwa nakutana nao sana...
Kwenye Sherehe za harusi na mikusanyiko ya jamii, vibaka sasa wanakwenda kwa Mshehereshaji kutangaza matangazo kama vile "gari yenye usajili namba fulani imezuia njia"
Unapotoka kwenda nje ya gari lako unakuta watu wenye bunduki wakijua kuwa una funguo za gari, wanakuamrisha kuendesha gari nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.