vibaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nchi hii raia wanaishi kwa hofu leo nimevamiwa na vibaka mkuki umenisaidia

    Hali ya Amani katika nchi yetu imetoweka kabisa watu wanaishi Kwa hofu, Leo usiku saa 8 :43 Vibaka walivamia kwangu walikuwa 9 , Wakaweka Mawe Makubwa Kwenye Milango yote. Nafuga kuku na Kanga , wakaingia Kwenye Banda la kuku, Nikasikia Kanga wanapiga kelele nikachukua slaha yangu , nikazima...
  2. D

    Usalama wa Raia na Mali zao: Vibaka waliokata watu mapanga nyumba 21 Chanika ni fedheha isiyovumilika

    Taarifa inasema! Vibaka walivamia katika kata tatu huko chanika na kuathili nyumba 21 Ingawa haijajulikani rasmi idadi halisi ya vibaka hao lakini haiondoi ukweli kwamba kuna uzembe katika mfumo wa ulinzi. Tukiaachana na intelijensia ya kushindwa kuwabaini hao vibaka mapema! Inashangaza kuona...
  3. M

    Vibaka wamenitia hasara

    Wakuu usiku wa kuamkia Leo vibaka wamevunja kioo cha gari wakaiba taa moja ya nyuma, power-window na side mirror zote mbili, aina ya Gari ni Kluger V, kwa spare used naweza kupata kwa bei gani @?
  4. Wizi umerudi kwa kasi tena. Vibaka ni wengi mtaani

    Usiku huu nimekuja kumtembelea rafiki yangu huku Msumi. Namkuta Yuko kwenye kikao Cha ulinzi kilichoitishwa kwa dharura jioni hii. Kumetokea wizi wa majumbani usiku kwa siku tatu mfululizo. Serikali na Jeshi la polisi chukueni hatua. Familia zaidi ya saba zimeibiwa majumbani usiku ndani ya...
  5. Matapeli wa mtandaoni

    Angalieni hili jizi
  6. M

    Bodaboda wamegeuka kuwa wezi na vibaka

    Haya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake. Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi.. Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document...
  7. Tubadilishane uzoefu: Unawasaidiaje vibaka wa maeneo ulipo kuwa raia wema?

    Kama kichwa cha mada kinavyo jieleza tubadilishane uzoefu kuhusu hilo. Kwa upande wangu hujichanganya nao na kupiga nao stori mbili tatu lengo ni kujua misimamo yako na maisha yao ya baadae pia kutambua ambao hawapendi ukibaka bali kuna msukumo unao wapelekea kuwa hivyo Kisha huwaweka pamoja...
  8. Wakenya mna Balaa Nyie: Eti mji wa Nakuru ni mkubwa kuliko baadhi ya majiji ya Marekani kama Atlanta

    Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's. Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine? .... Hii ndio Nakuru mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta)
  9. M

    Fanya yafuatayo ukitaka usivamiwe sana na vibaka au hata wakuokoe kwenye hatari

    1. Penda Kujichanganya nao kupiga stori ukiwa na muda 2. Ukibakiza vichenji chenji wape 3. Ukijua wanavuta Bangi au Pombe siku ukiwa nazo mfukoni wanunulie 4. Ukisikia Mmoja wao kakamatwa onyesha hata kinafiki tu kuwa unampambania Kumtoa 5. Wakosoe kwa kuwajenga na siyo kwa Kuwadhalilisha na...
  10. Nguvu ya mitandao: Nimeokota handbag yenye pesa kabla vibaka hawajaiwahi na kumrudishia aliyeidondosha kupitia Instagram

    MUHIMU: Tahadhari inabidi zichukuliwe, Wema wako unaweza kuku gharimu! kabla hujachukua uamuzi wa kumrejeshea mtu vitu vyake ni lazima upate taarifa zake (ni mzima?, kapata tukio lipi?, nk) lasivyo unaweza kuingia mtegoni au kuhusishwa na kesi.. kama huna taarifa ni bora utafute njia ya...
  11. Ushauri: Soko la Karume waangalie vibaka wanaojificha kwenye udalali hapo sokoni

    Ushauri kwa uongozi wa soko la ilala karume kuchukua hatua za haraka kuondoa watu wanaojifanya madalali wakiona mteja kukuchukua na kukupeleka kununua kitu yaani kwanza wasumbufu wengine wananuka pombe vibaka tupu waondolewe pale haraka hakuna mtu ujui unaenda kununua kitu gani ukiwa umetoka...
  12. Vibaka wamerudi mtaani kwa wingi

    Naomba Jeshi la Polisi hasa mitaani mje kusaidia maana vibaka wamerudi kwa wingi sana. Hii sio siasa ni reality kabisa na siandiki kwa mihemuko! Kuna kipindi tulianza kulala milango wazi lakini kwa sasa wanakata mpaka madirisha
  13. M

    Hali ya maisha Ethiopia Inasikitisha sana, vibaka wanavamia nyumba za watu kuiba chakula

    Mzuka wanajamvi! Wa Ethiopia wengi walioko nje Diaspora wanapitia wakati mgumu sana kwasababu ya ndugu zao nyumbani wanayopitia. Sasa hivi wengi hawajui kama ndugu zao wako hai au wamekufa. Simu zao hazipatikani wala kwenye mitandao ya jamii hawaonekani. Hali imekuwa ya sintomfaham sasa hivi...
  14. (Kipori/ Kamsitu)Njia ya vumbi kuelekea South Beach Hotel, Kigamboni, ina vibaka wanaopora simu

    Jana usiku Oktoba 09 mida ya saa 4 kasoro, jamaa yangu mmoja akiwa na mpenzie ndani ya gari, wakiendesha slow motion ndani ya barabara ya Kokoto. Huku shemeji yangu akiongea na simu, GHAFLA BIN VUU, jamaa katokea kwenye kichaka na kumpora Shem simu. Wahusika: SOUTH BEACH HOTEL NA WANAUSALAMA...
  15. C

    Wachezaji wa Simba wajilinde nje ya uwanja soon wanakodisha vibaka kuwadhuru

    Ujumbe uwafikie nyie wachezaji wetu kuweni makini sana watu wameumia miaka 4 wkajiaminisha kwamba baada ya usajili wa lopolopo anayeogopa jua kwamba wanaenda nusu fanali ya CAF maana wanaamini ndiye aliyekuwa anaifikisha simba mbali huko CAf. Hizi milioni 15 ni rasharasha tu na rafu zile...
  16. Vibaka wa 'Bongo' msiige hii tafadhali kwani mtakufa vibaya sana

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida Askari wa Barabarani ( Traffic Police ) Mmoja huko nchini Kenya amejikuta akiibiwa Simu kwa 'Kuchomolewa' na Kibaka wakati akiwa anaongoza Magari. Nimewaonya Vibaka wa Bongo ( Tanzania ) nikiwa najua kuwa 'Matrafiki' wengi wa Tanzania huwa nakutana nao sana...
  17. Tahadhari: Mbinu wanayotumia vibaka kufanya uhalifu kwenye sherehe, hasa harusi

    Kwenye Sherehe za harusi na mikusanyiko ya jamii, vibaka sasa wanakwenda kwa Mshehereshaji kutangaza matangazo kama vile "gari yenye usajili namba fulani imezuia njia" Unapotoka kwenda nje ya gari lako unakuta watu wenye bunduki wakijua kuwa una funguo za gari, wanakuamrisha kuendesha gari nje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…