Wale viherehere wa kuoa nawasanua zingatieni ushauri huu ukitaka kuoa bikra hakikisha unaoa anaekupenda haswaa ila ukitumia ushawishi wa kiwaki huko mbele utauona moto, mwanamke ana evolve kwenye nyanja zote
Wadiz
Unajua haya Maisha usiruhusu kitu kikuzoeee kikikuzoea kina Jenga Makazi kina kua kama Part of your Life hata kama kulikua ni Temporary.
#Simba Jiangalieni hapo Mtaa wa 3 mnaweza msitoke.
Mwaka 2023 ndio hivyo unazidi kuyoyoma taratibu.
Kwa maoni yako, mwaka huu 2023 ni taasisi ipi ya Serikali imefanya kazi inayostahili pongezi, kwa maana kuwa imefanya vizuri zaidi
Na ipi imefanya vibaya zaidi ya nyingine zote.
Tufunguke hapa
Wapo Wazazi wengi hasa kanda ya Ziwa wanatafuta namna ya kuwarejesha Watanzania ndugu zao Nchini.
Taarifa za baadhi ya watanzania waliofanikiwa kurejea Nchini zinasema pasipoti zao zinachukuliwa na waajiri mara tu wanapofika ughaibuni na kutokea hapo wanaanza kutumikishwa.
Wanadai wakiripoti...
Maamuzi ya bunge la Ulaya kuhusu kuhamisha Wamasai Ngorongoro linakwenda kutaathiri kiuchumi. Tutaathirika kwa sababu tulitumia nguvu huku tukijua kabisa kwamba tunajipanga kuimarisha mahusiano na mataifa mengine.
Bunge la Ulaya kwa zaidi ya asilimia 90 limesema maamuzi ya Tanzania siyo...
Wakuu natumai kila mtu Mungu wake anampigania kwa imani yake, niende kwenye mada.
Huu mwaka pindi unaanza niliweka malengo, lakini ukweli nikuwa "unaweza ukafanya kila kitu kwa usahihi na bado ukafeli vile vile"
Mwaka unaisha na mambo yamekwama, sometimes natamani ningekua kuna hela...
Embu tujadili shida iko wapi kwa klabu zetu za Tanzania kushindwa kufanya vyema kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika?🤔 Wote wanashika mkia kwenye makundi yao wakiwa na pointi 2 tu.
Habari zenu?
Wiki kadhaa zilizopita niliamua kuchambua nguo zangu zote ambazo hazivaliki baadhi zilikuwepo nzuri na baadhi zikawepo zilizochakaa sana, nikaamua kugawa zile nzuri na zile chakavu ambazo hazifai nikaamua kubaki nazo, kwasababu zilikuwa zimechakaa na zimechanika sana isingependeza...
Japo wameshaua wapalestina zaidi 20 ukiunganisha na wale walio chini ya kifusi hata hivyo kifo cha askari mmoja wa cheo cha juu kumewahuzunisha sana viongozi wa Israel akiwemo kamanda mkuu wa vita baina yake na wanamgambo wa Hamas.
Baba yake meja Gal huku akilia na kukumbatia jeneza la mwanawe...
Ninaandika kwa masikitiko makubwa kufuatia kuona watu mbalimbali maarufu (Public figures) wakitoa matamko yanayokatisha tamaa na kuwakera vijana. Siwezi kurudia yaliyosemwa ila mengi yana ukakasi. Ifike hatua serikali, CCM na upinzani wawe makini sana na watu wote hasa viongozi wanaotoa kauli za...
Uganda tayari ilikuwa fractured kuanzia serikalini hadi kwenye jamii. Watu wa Uganda waliishi kwa kumuogopa dadaa ila hawaku muheshimu.
So vita kutoka Tz ilikuwa ni fursa kwao kwa maana wanajeshi wa Tz walikuwa wanapata support kwa kila kituo walichokuwa wanafikia na naamini jeshi letu...
Siyo siri ujio wa Makonda ndani ya CCM umekuwa na matokeo chanya.
Hapa mama Samia alilamba dume ka karata.
Tatizo ni Chongolo, anaonekana kutokomea into oblivion.
Makonda anapiga chenga hata za mwili kisiasa.
Katibu Mkuu changamka!
====
Pia soma: Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Daniel Chongolo...
Watu wanalitumia fungu hili kuhalalisha kula wanyama ambao wamekatazwa katika kitabu cha Mambo ya walawi. Na kwa kuweka mambo sawa fungu hili halizungumzii vyakula, na kudhihirisha hili ukisoma hiyo matendo ya mitume 10 yote utaelewa.
Fungu lenyewe linasema "Sauti ikamjia mara ya pili...
Wakuu,
Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imeanza kufanya kazi toka Mei 1, mwaka huu 2023 na Tume ipo kuhakikisha huumizwi na watu au taasisi wanaotaka kutumia vibaya taarifa zako kwa maslahi yao.
Ikiwa una malalamiko ya taarifa zako kutumiwa vibaya mfano mtu katumia picha zako kwenye...
Habari wana jamvi.
Niko na mahusiano ya part time (hayana malengo ya ndoa) sema tu tunapunguziana upwiru kwa sababu tunao wapenda wako mbali nasi.
Sasa bhana haka kabinti kana shida moja nayo ni hii "hakataki kabisa kutumia njia yeyote ya uzazi wa mpango kwa kigezo kwamba zina madhara".
Yaani...
Nimefuatilia maamuzi ya waziri Mkenda kwa wakuu wa shule na walimu waliohusika kwenye kucheza wimbo wa zuchu Binafsi naona maamuzi ya Waziri Mkenda ni ya kukurupuka na hofu ya kutenguliwa nyadhifa yake. :
1. Maadili ya mtoto yaanzia nyumbani, Hawa watoto huu wimbo wamjifunza makwao kupitia...
1. Kuanza sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA vibaya hatutaki tena Wanajeshi wa Kawe kuja KUTUKOPA Pesa Sisi Raia wa Kawe na badala yake waende wakamkompe Amiri Jeshi Mkuu au CDF wao bila kumsahau Waziri wa Ulinzi
2. Kuanzia sasa RAIA wa Kawe TULIOPIGWA, TULIOTESWA na KUUMIZWA...
Kwa lugha ya harakaharaka Kanda ya ziwa imekuwa ikitumiwa na CCM Kama kete ya mwisho kuivusha baada ya maovu yote.
Bahati mbaya sana hawa wavushaji hawathaminiwi. Wanatumiwa kama condom, Uchaguzi ukiisha mambo yanaanza yaleyale.
Bila Magufuli 2015 CCM ilikuwa inaaga mashindano, hata baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.