Wakuu natumai kila mtu Mungu wake anampigania kwa imani yake, niende kwenye mada.
Huu mwaka pindi unaanza niliweka malengo, lakini ukweli nikuwa "unaweza ukafanya kila kitu kwa usahihi na bado ukafeli vile vile"
Mwaka unaisha na mambo yamekwama, sometimes natamani ningekua kuna hela...