video

  1. Mpira ni mchezo wa hisia,leo nimemuona Aziz KI kwenye video chozi limenitoka.

    wadau lengo nimejishangaa nimejikuta namwaga chozi baada ya kumuona azizi Ki alipokuwa anatoka uwanjani.
  2. Video: Professional massage, ni balaa!

  3. Zanzibar: Wadaiwa kuitwa Mgogoni kwa Rais Samia na kupewa msaada wa Tsh. 5,000

    Nimeshangaa sana kiongozi mkubwa kutumia fedha kufanya ushawishi na kampeni wakati huo huo ulikuwa na nafasi ya kubadilisha maisha ya hao wanaopokea fedha hiyo kwa kuandaa mazingira rafiki ili uchumi wao uweze kukua! Fedha hiyo ingetumika kujenga masoko mazuri na miundombinu bora ili kina mama...
  4. Video: Mwizi kapatikana

    Wazungu wanasema "Mission Failed".
  5. Nafanya Graphics Designing and Video Editing karibu!

    Karibu Tunahusika na utengenezaji wa *Mabango *vipeperushi *kadi za namba za simu *Makava ya nyimbo *Kadi za mialiko za kisasa Njoo whatsapp Nehemix tz
  6. Video: DRC itakuwa ni jeshi dhaifu kama inapokea wapiganaji namna hii katikati ya uwanja wa vita. M23 na Kikundi cha magaidi wameitesa DRC siku ya leo

    MASISI DRC: Mtu 1 amekufa (msichana mdogo) na kujeruhiwa katika kuanguka kwa bomu jipya karibu na Sake Alhamisi hii, Aprili 4, 2024. Bomu hilo limerushwa na wapiganaji wa M23 kutoka vilima vya BWEREMANA na Muremure. ..... Pia mbali na M23 kuna Kikundi cha magaidi ambao wanajinasibisha na...
  7. Video ya kuogofya: Jambazi alivyopigwa risasi shingoni wakati alipovamia benki.

    CCTV Crime News Mwisho wa Video ya pili utamuona namna alivyoingia benki kama mlemavu vile. ................ Hii ilikuwa San Mateo, huko Maranhao, Brazil na huyu ndiye mhusika lakini alikufa. Jina ni: Nilton César Silva Aguiar. .... Hapa aliingia Benki kama mlemavu ..... Hili hapa pigo...
  8. Twaha Mwaipaya: Marais watano walikopa Trilioni 60, Rais Samia pekee amekopa Trilioni 30

    Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila...
  9. Video: Pamoja na lawama kwa bodaboda, kwanini Junction ya mwendokasi Kisutu haijawekwa taa za kuongoza magari mpaka leo licha ya kuwepo ajali nyingi?

    Ajali nyingi sana zimeshatokea eneo hili. Mamlaka hazichukui hatua yoyote. Sehemu yenye junction na yenye pilikapilika kama hii tena inaingiliana na mwendokasi inakosaje taa za kuongozea? Hicho kioo kikubwa kando ya junction mnadhani kinatosha kwa madereva na watumiaji wa barabara hiyo kuona...
  10. Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

  11. SI KWELI Video inayomuonesha mwanaume akichapwa Zanzibar ni ya Ramadhani ya mwaka huu 2024

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na video ya kusikitisha ikimuonesha raia anayesemekana kuwa ni raia wa Tanzania Bara akichapwa viboko na Raia wa Zanzibar kwa kosa la kula mchana wa Ramadhani. Je video hiyo ni ya mwaka huu?
  12. M

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu...
  13. Umegundua nini katika video ya ujio huu wa Mamelodi Sundowns?

    Inahitaji jicho la ziada na la kijasusi kuona jambo fulani katika video hii wakati Mamelodi Sundowns wanakanyaga ardhi ya Nyerere. https://www.youtube.com/watch?v=WbXPCaWE4uY Embu nione ni wangapi wanaweza kuwa na jicho la tatu. Nina fursa ya ajira katika shirika langu la kijasusi kwa wale...
  14. Video: Gaidi la Jihad lalaumu shetani kwa kulifanya livamie Israel na kubaka mwanamke kwa dakika moja

    Hili gaidi la kiislamu limeamua kufunguka yote baada ya kukamatwa.... Pressed how long the rape lasted, Islamic Jihad terrorist Manar Mahmoud Muhammad Qasem said around 60-90 seconds. The IDF on Thursday put out a video of a Unit 504 interrogation of an Islamic Jihad terrorist named Manar...
  15. Leo nimepekuapekua Video Clips za Hayati Magufuli nikakutana na ile ya Yule Mkaguzi wa Gereza la Butimba aliyechafua Hali ya Hewa

    Alimwambia Hayati Magufuli kuwa anamshukuru yule Mfungwa Albino Kumsemea/ Kumchongea kwake ( akiwa Rais wa JMT) kwani KUMEMUINUA MNO Kiumaarufu na Kiutendaji. Yaani nimejikuta NACHEKA sana hasa Uso wake ulivyokuwa Mkavu, Sura Ngumu huku akiomba Msamaha kama Mtoto Mdogo zilizokuwa zikisindikizwa...
  16. G

    Tv sio kwajili ya katuni pekee, Naombeni tupeane mawazo ya video za kuwawekea watoto waweze kujifunza mambo mengine

    Edit: Matumiz ya Tv kwa watotot Cartoon na games (playstation) Mimi nimeona nianze kuweka vitu vya ziada kwenye flash, hizi katuni zimekuwa too much sasa na sioni faida yake. Video nilizoanza nazo nimeona niziweke zifuatazo, walimu wanafundisha kwa vitendo zaidi kuliko kuongea hivyo inakuwa...
  17. Urusi: Video ya kuhojiwa ya mtuhumiwa wa ugaidi Moscow

    Wanaukumbi. BREAKING: INTERROGATION VIDEO OF MOSCOW TERROR SUSPECT HE CLAIMS HE WAS RECRUITED VIA TELEGRAM: 'Police: “What did you do in Crocus?” Suspect: “Shot.” Police: “Whom?” Suspect: “People.” Police: “For what?” Suspect: “For money. Half a million Rubles.” Police: “Where did you...
  18. E

    Ni sababu zipi hasa zilipelekea video ya huyu kijana kutolewa mitandaoni?

    Nimetafuta kwa muda mrefu sana video ya huyu kijana wa Ngowi sijaipata ,binafsi kuna vitu nlitaka nisikilize tena Ilikuwepo katika Uzi huu Hii video inayosambaa mtandaoni kuhusu ufisadi unaofanywa na viongozi wetu, Watanzania tuamke sasa Kuna anaejua kwanini ilitolewa? Je ilikuwa inapotosha...
  19. Video: Angalia hapa jinsi Michael Jackson alivyorudishwa na Mchungaji Mfalme Zumaridi

  20. Video: Karia ajichanganya kuelekea mechi za kimataifa za Simba na Yanga

    "Mawaziri tutaongoza Watanzania, tutakuwepo kiwanjani na siku hiyo mimi na Waziri tutavaa jezi za hiyo timu inayocheza siku hiyo, kama ni Simba tutavaa Simba kama ni Yanga tutavaa Simba."
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…