Hivi ndo inapaswa kuwa.... Mtu anapotishia kujamba na wakati ana tumbo la kuharisha unamletea poti akalie.
Nimependa wote wawili walichokifanya kwa uhalisia wake. Madogo acheni kuja na nyuzi za kijinga kulia lia hapa kwamba umeachwa. Kwani mama yako huyo? Kafanye mambo mengine kama mapenzi...
Sina mengi ya kuzungumza zaidi ya kuwa wa kwanza kucheka 😂😂😂😂
Hawa viumbe wanaijua tu hela, japokuwa kuitafuta kwao ni mtihani
Sikiliza matumizi ya dola 1
Muhimu hii iwafikie wafia dini wa JF ambao hupenda sana kuabudu watu wa Iran na Uarabuni.... kuvaa kwako kanzu na kuotesha ndevu ili ufanane na wale haitoshi, ukiingia kwenye anga zao wanakuua, walimuua Mtanzania mmoja na kumtesa mwenzake.
https://youtu.be/PC0e170GSug?si=ZHbPD25IF4W7Cz_h
Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli...
Anybody say something please.
This is the best couple that ever existed in Bongo flavour industry
Semaa Mondi nae vipi !! Kwani hiyo saa shing ngapi!?
Au anahamisha mjadala wa Saa ya Madame President.!?🤗🤗
Nifah p'se.. say whatever..
Penzi kati ya Harmonize na mwanadada Poshy Queen linaendelea ku-make headlines kwenye mitandao ya kijamii.
Harmonize amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost Video akiwa Kanisani na mpenzi wake Poshy Queen.
Ikumbukwe kuwa Harmonize ni Muislamu kiimani na Baba yake mzazi ni Ostadhi.
✍️ Mjanja M1
Mfanyabishara, mwanasiasa nguli na swahiba wa karibu wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa amewasili nyumbani kwa kiongozi huyo Ngarash wilayani Monduli mkoani Arusha kushiriki shughuli za kuaga mwili wa Lowassa zinazoendelea nyumbani kwake leo Ijumaa.
Hivi hawa viongozi wetu wamepatwa na nini ndugu zanguni? Inasikitisha sana.
Jioni ya leo nimekutana na moja ya dhehebu katika pita pita zangu, ikabidi niingie japo niiburudishe nafsi. Mara pap ni muda wa sifa. Wimbo uliokuwa unaimbwa umeniacha mdomo wazi. Cha kushangaza waumini wanaimba vizuru...
katika makombora 10 ni moja linaweza kupenya mengine yanapanguliwa,
JE, Israel wakirusha hata kombora moja, Hezbollah wanaweza kulizia ? itakuwaje Israel ikirusha mamia ya makombora kwa mpigo kama wanavyofanyiwa na Hamas au Hezbolah ?
Hezbollaj wanarusha roketi za dola elf 2 (shilingi milioni...
"Mara nyingi kunataratibu zikiendelea kwenye Kanisa watu wanafikili labda ndio sheria au utaratibu hatuna ulazima kwenye kanisa kufungua na kuoona mwili wa mwanadamu aliyelala, tuwe tunatazama tukiwa hai na sio kusubili binadamu aliyelala," Askofu Malasusa
Hili ni moja kati ya matukio mengi ya ajali zinazowakumba madereva Bodaboda kwenye majukumu yao ya kila siku.
Unahisi ni nani wa kulaumiwa kwenye hili tukio?
Wakati akimuongelea Baba Levo kuhusu kupigwa na Harmonize, Dotto Magari akapitiliza na kusema kuwa Baba Levo hana maisha na anaishi kwenye Apartment ya kupanga ghorofani.
Dotto ameyasema hayo bila ya kukumbuka kuwa Tajiri yake Haji Manara nayeye anaishi kama Baba Levo.
ANGALIA VIDEO HAPA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.