Mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo nchini Maulid Kitenge, amepost video inayoonyesha Mhe. Makonda akimuongelea vibaya hayati Lowassa.
Kitenge ameandika kwenye Video hiyo "WAKATI tunatafakari ya sasa tukumbuke tulipotoka".
ANGALIA VIDEO HAPA
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
Video vixen wa mapozi anaitwa
Sikujua Mponda. Ni mbantu aliyelowea ulaya.
Video vixen wa ‘Mapoz’ anaishi huko Finland. Ni dansa na mmiliki wa shule ya uchezaji huko Helsinki.
Ni pisi ya viwango na maisha bora!!
Inaonekana ni 'Clip' ya karibuni ndani ya Onyesho la kimataifa la SAUTI ZA BUSARA, Zanzibar.
TUKIO:
Mtangazaji anamsogolea mkongwe, Mwana-HIPHOP-Mahiri, 'Mweusiiii' Lord Eyez. Huku onyesho likiwa linaendelea Stejini na anamdodosa 'Lord Eezy' maoni yake kwa Msanii mwenzake aliyeko stejini wakati...
Rais was Afrika kusini Cyril Ramaphosa ameonekana akicheza wimbo maarufu wa ‘water’ ulioimbwa na msanii wa nchi hiyo Tyla.
Ikumbukwe pia mwaka huu Msanii Tyla ameshinda tuzo kubwa duniani za Grammy awards kama Best African Music Performance kupitia wimbo wake huo wa ‘water’.
Mwanadada Mentor Cherry, amewahasa wanawake wenzake kutovumilia usaliti kwenye ndoa kwa kigezo cha kwamba Mwanaume hatosheki.
"Kumekuwa na maneno ya kuwa Mwanaume hatosheki na Mwanamke mmoja n.k ila ukweli ni kwamba hata Mwanamke pia hatosheki na Mwanaume mmoja isipokuwa ni anaheshimu...
Hali ya Barabara za Mtaani kwako ikoje na je, Viongozi wa eneo lako na Mamlaka nyingine zinazohusika zimewajibikaje kuondoa changamoto zilizojitokeza?
Ungana nasi katika Mjadala wa XSpaces ya JamiiForums hapo Januari 25, 2024 kuanzia Saa 10:00 jioni hadi 12: 00 jioni Kifukia mjadala bofya...
Huyu mdada maarufu kama wanavyowaita. Aunti nilishuhudia akimpa maneno makali bint mdg imeniuma sana ndio maana nimeileta hapa wahusika wafanyie
Mimi mama edina sipendi kabisa hizi tabia.
Kumekuwa na mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi, na moja kati ya maneno yanayoashiria ubaguzi ni mtu mweusi kuitwa Nyani.
Kijana huyu ameonekana kwenye fukwe akiigiza na kufanya matendo ya mnyama Nyani hali iliyopelekea baadhi ya wazungu kucheka.
ANGALIA VIDEO HAPA
Unahisi kijana huyu...
Hili tukio limetokea jana, ambapo Wamasai wamepigana na Walinzi na kujeruhi.
Nini kifanyike kuepusha matukio kama haya kwenye jamii yetu?
Written by Mjanja M1 ✍️
Rapa mkali na mwenye rekodi kedekede kwenye Muziki anaoufanya Drake, ameishtua Dunia baada ya video ya utupu inayodaiwa kuwa ni yake kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ulimwenguni.
Video hiyo imezua maswali mengi, huku mashabiki wakitaka kujua ni nani hasa aliesambaza video hiyo mitandaoni...
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na Video ya muhenga akitoa ushauri kwa vijana kuhusu Mke wa kuoa.
Muhenga huyu moja ya sharti alilotupa vijana ni kutooa Mwanamke mwenye Vidole vilivyotanuka miguuni.
ANGALI VIDEO HAPA
Je ni kweli wanawake wenye Vidole vilivyotanuka wana matatizo...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amemjibu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana juu ya mambo aliyoyaongea jana kuhusu Ruzuku n.k
ANGALIA VIDEO HAPA
Written by Mjanja M1 ✍️
📹 JamboTv
Moja kwa moja fungua Clip. Anasema Mwanasheria Mkuu Ushauri wake ni kupoteza raslimali fedha tu.
Halafu wananchi kumfuata Makonda ni udhalilishaji wa wananchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.