Dereva wa Gari lenye namba za usajili STL 8852 akiwa kwenye hali ya ulevi amesababisha ajali kwa kumgonga Dereva wa Pikipiki.
ANGALIA HAPA VIDEO
Nini maoni yako?
Written By Mjanja M1 ✍️
Hayo sio maneno yangu bali ni maneno ya Producer mkongwe wa muziki wa BongoFleva nchini Master Jay.
ANGALIA VIDEO HAPA
Je ni kweli Harmonize hajui kuimba kwa Lugha Kiingereza?
Written by Mjanja M1 ✍️
Mtangazaji wa kipindi cha "Papaso" Djaro Deus Arungu, ametangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa kuanzia leo sio mfanyakazi wa TBC FM.
ANGALIA VIDEO HAPA
Djaro amefanya kazi TBC kwa muda wa miaka 20.
Written by Mjanja M1 ✍️
Mtu mmoja mwenye asili ya Masai ameonyesha kuchukizwa na uonevu unaoendelea huko Zanzibar dhidi ya Wamasai.
Akiongea kwenye video Masai huyo amesema "walichofanya polisi ni uonevu kwakuwa hawakuwa na kibali cha kuwakamata wamasai kule Zanzibar".
ANGALIA HAPA VIDEO
Nini maoni yako?
Written...
Unapofanya kazi kwa bidii na unapokuwa na nidhamu basi mafanikio huwa ni suala la kugusa tu.
Mo Dewji amelidhihirisha hilo kwa kuongeza utajiri aliokuwa nao toka Dola Millioni 30 hadi kufikia Dola Billioni 1.8 za kimarekani.
ANGALIA HAPA HISTORIA YA MAFANIKIO YAKE KUANZIA MWAKA 1999.
Written...
This video is Courtesy of SK Media Online TV.
=====================================================
KWA UFUPI;
1. Paul Makonda ni Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi ndani ya CCM. Yupo barabarani anatembea nchi mzima hata sasa kwa kinachoitwa "ziara ya kuimarisha uhai wa chama..."
2...
Kama ulikosa kuingalia mechi ya Inter Miami dhidi ya Al Nassr, basi hapa nimekusogezea video inayoonyesha magoli yote yaliyofungwa.
Mechi hii ilizikutanisha timu za Miamba miwili ya Dunia Lionel Messi na Cristiano Ronaldo, japo Ronaldo hakucheza kutokana na majeraha yanayomsibu...
Msanii Harmonize amepost video inayomuonyesha akifanya jambo ambalo sio la kawaida kwa walio wengi.
ANGALIA VIDEO HAPA
Je, wewe unaweza kukunja nguo za mpenzi wako na kuzipost mtandaoni?
Written by Mjanja M1 ✍️
Hakuna binadamu anaependa Vita wala kubebeshwa silaha, huyu kijana toka Uingereza ameamua kuukana Uraia wake na kumuomba Rais Samia ampatie Uraia wa Tanzania.
ANGALIA VIDEO HAPA
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
Hii ni video inayombaa kwa kasi mitandaoni ikiwaonyesha Wamasai wakipigana na Walinzi wa kampuni binafsi.
Inasemekana kuwa hili tukio limetokea Zanzibar, lakini sababu ya ugomvi kati yao bado haijajulikana.
Written by Mjanja M1 ✍️
Hii ni video inayosambaa mitandaoni inayoonyesha Mwanamke mmoja wa kizungu akiwa amekamatwa na Wananchi kwa shutuma za kusambaza vitabu vyenye kueneza tabia ya Ushoga kwa watoto.
ANGALIA VIDEO HAPA
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1
Watanzania wenzangu poleni na mihangaiko na Shughuli zenu.
Jana katika peruzi zangu nilikutana na Thread ya Mjanja M1 ikionyesha Video ya watoto/vijana wadogo wakihojiwa na Polisi. Nilishangaa, na nikahuzunika, awali ya yote issue hiyo ikaibua maswali. Sasa najua hapa ni kwa wabobezi wa masuala...
Limekuwa ni jambo la kawaida kuona watu maarufu wakijengewa masanamu yanayofana na mionekano yao.
Baada ya Rapa Take off kuaga Dunia mwaka 2022, Mr Official ametuletea sanamu lenye kufanana na msanii huyo ambae aliuwawa kwenye shambulio la risasi huko Houston Texas nchi Marekani.
ANGALIA VIDEO...
Ofisa wa usalama barabarani nchini Marekani amenusurika kufa kwenye ajali wakati akiwa kwenye majukumu yake mji wa Oklahoma.
Traffic huyo anaonekana akizungumza na dereva wa gari aliyoisimamisha, na ghafla gari nyingine inatokea na kuigonga ile iliyosimama.
ANGALIA VIDEO HAPA
Written by...
Dada alie-trend mitandaoni kwa kijinadi kuwa ana vidonge vinavyoweza kumfanya Mwanaume akashindwa kuendelea na sex kitandani ameitwa na Basata.
Mrembo huyo anaejulikana kwa jina la Pipy ameitwa Basata kwasababu ya kupost video inayomuonyesha akicheza wimbo huku maungo yake kwa kiasi kikubwa...
Kuna msemo niliwahi kuusikia unasema "Siku hizi wachawi sio wazee".
Nadhani huo msemo unaendana na hili tukio la vijana hawa kushikiliwa na jeshi la Polisi kwa Uchawi.
ANGALIA VIDEO HAPA
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1
Nikabofya wimbo wa Roma, kabla haujaja ukaja wa Diamond kama content iliyolipiwa ili niitazame..
Zamani nikajua haya malipo ya youtube na kadhalika ni sehemu ya chanzo cha mapato kwa wasanii kumbe ndio kwanza na wao wanalipia ili viewers waongezeke.
Au ni mchezo wa kutoana trending! Itoke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.