Kumekuwa na wizi unaendelea majumbani mwa watu nyakati za usiku wa manane hapa Arusha , wanaiba haswa side mirrows za Land Cruisers, Exels za Land Cruisers na vifaa vingine vya magari ya Watalii!
Vifaa hivyo huuzwa kwa Wadau ambao huviuza tena kwa wahanga!! Vilio ni vingi mno!
Sakina, Kwa...
1. Yale ya Makonda na ile TV pendwa ya pande za kwetu yametimba Al Jazeera Israel:
2. Kwamba pasipo na kusubiria kitu Al Jazeera wafunge virago?
3. Kwamba wale wachumba kumbe wamekuwa nao wakitamani malaika mfunga mitandao afanye yake?
4. Nani wa kuunga mkono ubazazi huu?
5. Hoja si...
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Dkt. Christina Mnzava ameadhimisha sikukuu ya Muungano kwa kutoa VIFAA vya michezo ambavyo ni mpira wa miguu na mpira wa netball pamoja na jezi nzuri za kisasa za netball na football.
Dkt. Mnzava akizungumza na qanafunzi na walimu wa shule ya...
Habari ndugu zangu kwa wale wanaofanya kazi kwenye vituo vya afya .je vifaa kama xray, ct scan ,ultrasound machine zinapoharibika huwa zinapelekwa wapi kufanyiwa matengenezo?
VIONGOZI WA UWT WASHUHUDIA ATHARI ZA MAFURIKO RUFIJI, WATOA MSAADA WA CHAKULA NA MAHITAJI MAALUM
Viongozi wa kitaifa wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wametembelea eneo la Muhoro wilayani Rufiji lililoathiriwa na Mafuriko yaliyotokana na uwepo wa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha...
Graphite ni aina ya madini inayopatikana katika asili, ambayo ni fomu ya kaboni. Madini haya yamejulikana kwa muda mrefu na hutumiwa katika matumizi mbalimbali kutokana na sifa zake za pekee.
Graphite mfumo wake:
Hapa kuna baadhi ya mambo muhimu kuhusu madini ya graphite:
Muundo wa...
Habari ndugu zanguni, naomba kwa wenye experience juu ya biashara ya vifaa vya kielektronikI nisaidieni kujua kuhusu management yake na hata changamoto zake pia .
Tumezidi kuaminika kila iitwapo leo.
Wewe Mzazi au Mlezi amma Mwanafunzi usipate shida wewe tuambie upo wapi na Unataka Laptop au Desk top aina gani ??
Usiwaze kwamba tunafanya kazi kulingana na idadi.
Sisi tunafanya kazi kwa wote.
★ ★★★ ★★★★★★★★★★★★★★★★★★ OFA OFA OFA OFA...
Nauza Printer 🖨 ya Epson L850
Ina kila kitu chake, ni mpya sijawahi itumia
Tsh 900,000
All in one printer
Print,copy,scan
Six color eco-tank
Colored printer
Quality 💯
Napatikana Dar, Mbweni
WhatsApp/Call/SMS 0653 083 000
Kamanda Murilo leo ametangaza kukamata watu wawili, mtanzania na mchina kwa kuingiza vifaa na kutangaza kutoa huduma ya internet ya starlink. Polisi wamesema wameuza vifaa hivyo bila kuidhinishwa na TCRA.
Naona kama mitandao yetu wanaipiga pini starlink by fire, by force 😅 Kwanini Serikali...
Najua wengi wenu mnapenda customization kwenye simu, sasa nimekutana na hii link ina font 600 amabzo unaweza kubadili kwenye simu yako kila siku tofauti na za kununua galaxy store
kwanza hii hii link itakayokupelekea kudownload folder la font...
Maafisa wa serikali wa ngazi ya juu huenda hivi karibuni wakazuiliwa ku-share taarifa fulani au kutumia programu ya TikTok kwenye vifaa vya serikali.
Waziri wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Ndani Profesa Kithure Kindiki amesema suala hilo bado linajadiliwa kikamilifu katika Baraza la Usalama...
JE NI KWELI NHIF WAMEONDOA BAADHI YA VIFAA TIBA KAMA GLOVES KATIKA KITITA KIPYA CHA HUDUMA?
Hivi karibuni kumekua na mjadala mkubwa wa kwamba kitita kipya cha NHIF kimeondoa baadhi ya vifaa tiba vinavyotumika katika huduma za kitabibu mathalani gloves, gauze na bandages.
NHIF wanasema gharama...
Habari za Jioni wana Jamio Forums.
Kama mnavyojua sisi ni Wana familia. Licha ya kuwa tunasaidiana sana ktk mawazo, stori na Habari mbali mbali na wiwa pia kuomba msaada niweze kupata sehemu nzuri iliyochangamka niweke jiko langu la Kuuza Chips, Kuku, Mishkaki n.k.
Pia kwa kufanya hivyo...
"Kiwanda cha Kilimanjaro Machines Tools karibu miaka 30 ni kama kilikuwa kimekufa. Nilienda Bungeni nikapiga kelele Serikali ikatuletea fedha, Mashine imejengwa imekamilika na Operation zinaendelea. Wateja wanaleta vifaa vya Makanika (Mechanics) vimeanza kutengenezwa hapa ndani ya Wilaya ya Hai"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.