Mjumbe wa Bodi ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Lutgard Kagaruki, amesema kinachomuumiza zaidi ni baadhi ya viongozi kujifanya kana kwamba hakuna kilichotokea, huku wakihusisha vifo hivyo na vurugu zilizofanywa na vijana, akisisitiza kuwa kufanya vurugu hakuhalalishi kuua kwa...
Wakuu naona bado wadau mbalimbali wanendelea kutoa maoni yao kuhusu kuwepo kwa kumbukizi au maombolezo ya vifo vya Oktoba 29.
Huyu ameeleza zaidi kwa upande wa viongozi wa dini akigusia Catholic Church, anasema kuwa viongozi wa dini wanatakiwa kuwa faraja ya mioyo yetu na sio kuhamasisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.