Mdau: Tusikubali baadhi ya viongozi wa dini kuamsha hisia zetu za Oktoba 29

Atukuzwaye

Senior Member
Joined
Oct 5, 2026
Posts
191
Reaction score
250
Wakuu naona bado wadau mbalimbali wanendelea kutoa maoni yao kuhusu kuwepo kwa kumbukizi au maombolezo ya vifo vya Oktoba 29.

Huyu ameeleza zaidi kwa upande wa viongozi wa dini akigusia Catholic Church, anasema kuwa viongozi wa dini wanatakiwa kuwa faraja ya mioyo yetu na sio kuhamasisha kukumbukwa kwa vifo vya Oktoba 29.

Unayaonaje maoni ya mdau huyu? Je yupo sahihi au nae anatumika tu kama wengi walivyo comment?🤔🤔

Soma pia: Maoni ya Watanzania juu ya mapendekezo ya kuwepo kwa maombolezo ya kitaifa kwa waliopoteza maisha Oktoba 29, 2025

View attachment 3697931
Nafikiri kuna haja ya kutofautisha mambo mawili hapa: kukumbuka yaliyotokea Oktoba 29 na kuchochea hisia za watu. Haya si mambo yanayofanana.
Kukumbuka siku ambayo Watanzania walipoteza maisha, wengine kujeruhiwa na familia nyingi kuachwa na majonzi si lazima kuwe na agenda ya kisiasa nyuma yake. Ni kutambua maumivu yaliyotokea katika jamii yetu na kuwapa nafasi waathirika na familia zao kuhisi kwamba hawajasahaulika.
Kuhusu Kanisa Katoliki, kwa uelewa wangu, kuadhimisha Misa ya kuwaombea marehemu si jambo geni wala si lazima kuwe na nia ya kisiasa. Kanisa lina utaratibu wa kuwaombea marehemu, kuwafariji wenye huzuni na kuhimiza toba, upendo na maridhiano. Katika suala hili, kuombea waliopoteza maisha, waliojeruhiwa na taifa kwa ujumla kunaweza kueleweka ndani ya wajibu huo wa kichungaji.
Jambo la msingi ni kuelewa kwamba amani ya kweli haiwezi kujengwa kwa kuwataka watu wasahau yaliyotokea, bali kwa kukubali ukweli, kutafuta haki na kuhakikisha makosa hayajirudii. Kumbukumbu si kisasi, na kuomboleza si uchochezi. Tunaweza kukumbuka kwa utulivu, kuheshimu maisha yaliyopotea na wakati huohuo kuhimiza mshikamano wa kitaifa.
 
Wakuu naona bado wadau mbalimbali wanendelea kutoa maoni yao kuhusu kuwepo kwa kumbukizi au maombolezo ya vifo vya Oktoba 29.

Huyu ameeleza zaidi kwa upande wa viongozi wa dini akigusia Catholic Church, anasema kuwa viongozi wa dini wanatakiwa kuwa faraja ya mioyo yetu na sio kuhamasisha kukumbukwa kwa vifo vya Oktoba 29.

Unayaonaje maoni ya mdau huyu? Je yupo sahihi au nae anatumika tu kama wengi walivyo comment?🤔🤔

Soma pia: Maoni ya Watanzania juu ya mapendekezo ya kuwepo kwa maombolezo ya kitaifa kwa waliopoteza maisha Oktoba 29, 2025

View attachment 3697931
CCM wa ajabu sana, Yani wameua watu kwa kiwango kile Cha kutisha alafu wanalazimisha kusahaulisha watu.hakuna mtanzania mwenye akili timamu atakae sahau mauaji Yale.
Hiyo ishakuwa historia ya vizazi na vizazi
 
Itungwe tu sheria kuharamisha makumbukizi ya vifo vya MO29. Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo.
Sikubaliani na wazo lako. Huwezi kumwaga damu ya watu halafu useme tuendelee mbele kama vile Haina umuhimu. Kule Soweto waliuawa watoto 60 na Polisi ila mpaka Leo Kuna siku ya kuwaenzi. Sembuse watu 518 (idadi ya serikali).
 
Wakuu naona bado wadau mbalimbali wanendelea kutoa maoni yao kuhusu kuwepo kwa kumbukizi au maombolezo ya vifo vya Oktoba 29.

Huyu ameeleza zaidi kwa upande wa viongozi wa dini akigusia Catholic Church, anasema kuwa viongozi wa dini wanatakiwa kuwa faraja ya mioyo yetu na sio kuhamasisha kukumbukwa kwa vifo vya Oktoba 29.

Unayaonaje maoni ya mdau huyu? Je yupo sahihi au nae anatumika tu kama wengi walivyo comment?🤔🤔

Soma pia: Maoni ya Watanzania juu ya mapendekezo ya kuwepo kwa maombolezo ya kitaifa kwa waliopoteza maisha Oktoba 29, 2025

View attachment 3697931
UNawapangia cha kufanya? Yes watanzania walipoteza maisha, walipoteza mali? So viongoz wadini wanawaombea wote

WHy likuguswa suala la oct 29 mnakimbilia kuchange narratives?
 
Mm nimefurahi kuwaombea marehemu. Walio uwawa n chura aka kizimkazi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom