zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 677
- 1,234
kila mwenye mdomo ana haki ya kuongea lolote. ndipo tulipofikia. je, watu kuwakumbuka wafu wao kwa kufanya ibada ni kukumbuka machungu? mara ngapi watu wanafanya ibada za kukumbuka wapendwa wao? je, si zaidi kufanya ibada kukumbuka wapendwa wao ambao wengine haijulikani miili yao ipo wapi mpaka muda huu????Wakuu naona bado wadau mbalimbali wanendelea kutoa maoni yao kuhusu kuwepo kwa kumbukizi au maombolezo ya vifo vya Oktoba 29.
Huyu ameeleza zaidi kwa upande wa viongozi wa dini akigusia Catholic Church, anasema kuwa viongozi wa dini wanatakiwa kuwa faraja ya mioyo yetu na sio kuhamasisha kukumbukwa kwa vifo vya Oktoba 29.
Unayaonaje maoni ya mdau huyu? Je yupo sahihi au nae anatumika tu kama wengi walivyo comment?🤔🤔
Soma pia: Maoni ya Watanzania juu ya mapendekezo ya kuwepo kwa maombolezo ya kitaifa kwa waliopoteza maisha Oktoba 29, 2025
View attachment 3697931