vifo vya oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Lutgard Kagaruki: Umoja wa Mataifa, AU na EAC zina faida gani kwetu? wamekaa kimya kuhusu vifo vya Oktoba 29

    Mjumbe wa Bodi ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Lutgard Kagaruki, amesema kinachomuumiza zaidi ni baadhi ya viongozi kujifanya kana kwamba hakuna kilichotokea, huku wakihusisha vifo hivyo na vurugu zilizofanywa na vijana, akisisitiza kuwa kufanya vurugu hakuhalalishi kuua kwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mdau: Tusikubali baadhi ya viongozi wa dini kuamsha hisia zetu za Oktoba 29

    Wakuu naona bado wadau mbalimbali wanendelea kutoa maoni yao kuhusu kuwepo kwa kumbukizi au maombolezo ya vifo vya Oktoba 29. Huyu ameeleza zaidi kwa upande wa viongozi wa dini akigusia Catholic Church, anasema kuwa viongozi wa dini wanatakiwa kuwa faraja ya mioyo yetu na sio kuhamasisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…