Angola imerekodi visa 3,402 vya kipindupindu na vifo 114 tangu mlipuko huo uanze mapema Januari, kulingana na taarifa ya kila siku ya Wizara ya Afya kwa vyombo vya habari jana (Jumanne).
Tangu Februari 1, Angola imekuwa ikiripoti zaidi ya visa 100 vipya vya kipindupindu kila siku, ikifikia...