Brazili ni kati ya nchi zilizopuuza kuchukua hatua za kujikinga na #CoronaVirus. Rais wa nchi hiyo aliwaambia wananchi kuwa #COVID19 ni mafua tu
Vifo 816 viliripotiwa Mei 16 na kufanya idadi ya vifo nchini humo kufikia 15,663. Pia ina jumla ya visa 233,142
Kwa mujibu wa takwimu za Chuo Kikuu...
JE TANZANIA INAFICHA VIFO
Hii ni habari kwenye kurasa za Aljazeera ambapo watanzania kadha wamehojiwa.
Kipengere hiki ndio kinashtua, kama ilala tuu tarehe 27th kwenye daftari la mazishi ya waliokufa kwa corona ilikua zaidi 256, basi hali ni mbaya.
Article naiweka kama ilivyo kwa kingereza...
Vifo vinavyotokana na CoronaVirus vya wagonjwa wanaouguziwa nyumbani inaongezeka kwa kasi kuliko wale wanaoguziwa hopitalini Ofisi ya Takwimu ya Uingereza yasema
Katika wiki iliyoisha Mei 1, vifo vya CoronaVirus viivyotokea katika nyumba binafsi vilikuwa ni 35.7% ya vifo vyote, na idadi hiyo...
Tuheshimu vifo vya watu ni ndugu tu waruhusiwe kuleta tangazo jamii forums na liambatanishwe na cheti cha kifo tusianze kuzuliana vifo humu na kukejeli marehemu
Uongozi Wa jamii forums zingatieni hill kifo huwa hakitangazwi kiholela tu
Kwa mujibu wa ripoti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ iliyochapishwa kwenye ukurasa wa kijamii wa Twitter wa mbunge Zitto Kabwe ambayo imetoka ndani ya Serikali, inaonyesha kuwa mpaka jana mei 6, 2020 Zanzibar ina visa vya COVID 235 na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vipatavyo 32...
Nchi hiyo imerekodi vifo vipya 615 na idado hiyo inakuwa kubwa zaidi kuripotiwa kwa siku moja. Waziri wa Afya, Nelso Teich amesema Serikali inaweza kuanza kuweka masharti ya kutotoka ndani katika maeneo yaliyoathirika zaidi
Aidha, Msemaji wa Rais wa nchi hiyo, Jair Bolsonaro, Otavio Rego Barros...
KWA muda wa saa 24 zilizopita watu 30 wamepoteza maisha yao kutokana na mafuriko.
Waziri wa Ugatuzi Eugene Wamalwa amesema Jumatano idadi jumla ya waliofariki kutokana na mvua kubwa inayoendelea kushuhudiwa maeneo mbalimbali nchini imefikia 194.
Bw Wamalwa alitaja maeneo ya Garissa, Tana...
1. Vyafikia 29,427
2. Ndiyo nchi yenye madhara makubwa Ulaya
Sky Eclat kuna nini mbona kunazidi kutisha? What is wrong there? pamoja na measures zote
=====
UK overtakes Italy to record highest coronavirus death toll anywhere in Europe
A member of the UK ambulance service wearing personal...
Vifo vya watoto wachanga wenye umri wa chini ya siku 28 vimepungua kutoka 25 kwa kila vizazi hai 1000 kwa mwaka 2015/16 na kufikia saba kwa kila vizazi hai 1000 kwa mwezi Machi mwaka huu.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto...
Idadi iliyokusanywa kutoka mahospitalini na kwenye nyumba za kulea wazee imefika 288 kwa siku. Hii ni idadi ndogo kutangazwa tangu mwezi March.
Waziri Mkuu Boris Johnson ametangaza hatua zitakazo chukuliwa kuitoa nchi kwenye lockdown..
The number of people who have died after testing...
Wanabodi,
Kila nipatapo nafasi, huja na hoja za " Kwa Maslahi ya Taifa" zenye lengo la kuhamasisha uzalendo kwa nchi yetu, Mada ya leo, naizungumzia idadi ya kweli ya waliokufa kwa Corona Tanzania mpaka hapa ninapo andika bandiko hili, Tanzania wamekufa watu 16 tuu kwa ugonjwa wa Corona...
Kenya imetangaza visa vuipya 30 vya #COVID19 na kufanya kuwa na jumla ya watu 365 waliothibitika kuwa na #CoronaVirus. Visa hivii vimepatikana kati ya sampuli 883 zilizopimwa saa 24 zilizopita
Wizara imetangaza vifo vya watu wawili zaidi na kufanya vifo kufikia 24. Watu 15 wakiripotiwa kupona...
Wizara ya Afya nchini Kenya imeripoti visa vipya 24, leo Mei 2, na kufanya idadi kuwa 435. Watu hao wamepatikana katika sampuli 1,195 zilizopimwa saa 24 zilizopita
Mmoja kati ya hao walioripotiwa ametokea Kuria Magharibi na ana historia ya kutembelea Tanzania. Pia Wizara imeripoti kifo cha mtu...
Jipatie KISIMA cha Maji kwa LAKI TANO ( nchini kote) Kutoka Asasi ya PDPR Njombe, Gharama za mradi:kuchimba laki 5, kama kitakuwa ndani ya mita 25 kila mita itakayo zidi utalipia 20,000ukihitaji kufungiwa water pump ipo ya solar milioni 1.6 ya umeme laki 5 zote zikiwa complete pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.