vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MALCOM LUMUMBA

    Shajara ya Madikteta

    UTANGULIZI Nawasalimu katika Jina la Bwana Yesu na Asalaam Aleykum ndugu watanzania wenzangu, Katika kusoma kwangu historia ya ulimwengu toka nikiwa kijana mdogo mpaka hii leo, nimetambua kwamba madikteta wote duniani huwa wanafanana: Awe katokea Ulaya, Asia, Amerika Kusini au Afrika wote huwa...
  2. I am Groot

    Polisi Tanzania: Hatutegemei kuona sherehe za Pasaka wakati Nchi bado ipo kwenye maombolezo

    Jeshi la Polisi nchini limesema halitegemei kuona sherehe na shamrashamra za Pasaka kama za kipindi cha nyuma katika kipindi hiki ambacho nchi bado ipo kwenye maombolezo ya kuondokewa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. ==== Ndugu wanahabari, kama mnavyojua bado taifa letu lipo katika siku 21...
  3. Idugunde

    Rc Kunenge tuambie ukweli juu ya vifo na idadi kamili iliyotokana na mkanyagano uwanja wa uhuru

    Inashangaza watu unakomaa kukanusha habari za wamachinga kulazimishwa kufunga maduka ili washiriki maombolezo ya kitaifa huku unaacha kukanusha kama kweli au si kweli watu 45 wamefariki na wengine mamia kujeruhiwa. Huu sio wakati wa kuacha kuwapa Watanzania ukweli juu ya nini kinaendelea hapa...
  4. Roving Journalist

    Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

    Salaam Wakuu, Kuna habari mbaya ya watu wengi kufariki wakati wakiaga mwili wa hayati Magufuli. Inadaiwa baadhi ya watu wamepelekwa Hospitali ya Temeke wengine wakiwa wamepoteza maisha na wengine kuzimia. Nmempigia Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke kumuuliza juu ya vifo hivi, baada ya...
  5. Analogia Malenga

    #COVID19 Vifo kutokana na COVID-19 vyafikia 900,000 barani Ulaya

    Idadi ya vifo kutokana na COVID-19 barani Ulaya imefikia watu 900,000 leo. Hayo ni kulingana na takwimu za mamlaka za afya zilizojumuishwa na shirika la habari la AFP. Idadi hiyo inalifanya bara la Ulaya kuwa lililoathirika zaidi baada ya kusini mwa Amerika na nchi za Karibea ambazo zimesajili...
  6. Q

    Waliozusha vifo vya Mbowe, Mrema, Maria Sarungi na leo mzee Sarungi wanajulikana

    Magazeti ya Fahari Yetu, Tanzanite na Jamvi la Habari kila siku yanaandika habari za uzushi na uongo na mhariri wake Habibu Mchange anajulikana lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa na serikali kukomesha tabia hii. Juzi Waziri Mkuu alishangazwa na watu kukosa uzalendo na utu kwa...
  7. Idugunde

    Mwigulu Nchemba: Tunawafuatilia wanaopotosha na kuzushia viongozi vifo

    Waziri wa Katiba na Sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa. Mh waziri hata watoto wa vigogo utawachukulia hatua?
  8. Sam Gidori

    #COVID19 Idadi ya vifo kutokana na virusi vya Corona ndani ya siku moja yafikia viwango vipya nchini Brazil

    Brazil imerekodi idadi kubwa zaidi ya vifo ndani ya siku moja vinavyotokana na virusi vya corona tangu kuanza kwa mlipuko. Jumla ya watu 2,286 walifariki dunia ndani ya saa 24 pekee siku ya Jumatano na kufanya idadi ya vifo kufikia 268,370, kwa mujibu wa takwimu za Chuo Kikuu cha John Hopkins...
  9. Analogia Malenga

    Idadi ya vifo kutokana na mlipuko yaongezeka Equatorial Guinea

    Vifo vimeongezeka baada ya kutokea mfululizo wa milipuko katika kambi za jeshi Equatorial Guinea na kufikia zaidi ya watu 98. Kwa mujibu wa taarifa ya wizara ya afya kwa sasa watu walio jitolea wanaendelea kutafuta maiti katika vifusi shirika la habari la Reuters linaripoti. Takriban watu 615...
  10. Sam Gidori

    Brazil yashuhudia idadi kubwa zaidi ya vifo vya corona kwa siku ya pili mfululizo

    Brazil imeendelea kuweka rekodi ya vifo vingi kwa siku ya pili mfululizo baada ya kurekodi vifo 1,910 siku ya Jumatano pekee, huku watu 71,704 wakipata maambukizi mapya. Hii ni baada ya vifo vya watu 1,641 siku ya Jumanne pekee, kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya ya taifa hilo, ikiwa ni...
  11. B

    #COVID19 Corona: Vifo vinazuilika tusijitabirie kwenye nadharia za kijinga

    Mabibi na mabwana ujinga si tusi bali ni hali halisi ya kuwa na uelewa mdogo au kutokuwa na uelewa kabisa kuhusu jambo fulani. Hayupo binadamu mmoja asiyekuwa na ujinga katika mambo yote. Kwamba kila mtu atakufa? Hilo ni dhahiri. Lakini halina maana kuwa tujifie tu hata kama ni kwa...
  12. Cannabis

    Madaktari bingwa wafariki na kuacha simanzi Arusha

    Arusha. Jiji la Arusha, limekumbwa na simanzi kufuatia vifo vya madaktari bingwa wawili ambao ni maarufu katika jijini hapa, mmoja akiwa ni mmiliki wa hospitali ya St Thomas jijini Arusha. Madaktari hao ni Dk Lamweli Henry Makando, mmoja wa wamiliki wa hospitali ya St Thomas ambaye alikuwa...
  13. Mathanzua

    Wanaotangaza vifo vya watu mashuhuri kila kukicha kwenye mitandao ya kijamii wajumuishwe kwenye uhujimu uchumi, hawana nia njema na Taifa letu

    Shetani kazi yake ni kuharibu, kuua na kuiba, ndivyo Biblia inavyosema. Kwa hiyo kila mahali utakapo shuhudia uharibifu, vifo na wizi, ni lazima mkono wa Shetani upo. Si ajabu kwa hiyo kwamba Shetani hufurahia matukio hayo na hufanya kila mbinu chafu ili watu waibiwe, wafe na kuwe na uharibifu...
  14. C

    Serikali na wimbi la vifo vinavyotokana na kushindwa kupumua

    UTANGULIZI 1. HUU UZI UNABEBA KITU TOFAUTI NA UNAHITAJI HATUA ZA HARAKA. 2. HUU UZI NI WA SULUHISHO NA SI MAHALA PLA LAWAMA, MALUMBANO AMA KUTAFUTA UMAARUFU. 3. ANAYEWEZA KUWA NA MAWASILIANO NA WAZIRI MKUU, AMPE LINK AMA TAARIFA ILI UAMUZI WA HARAKA UCHUKULIWE. HOJA 1. Siyo siri kwamba kuna...
  15. LESIRIAMU

    Zacharia Isaay (Mbunge Mbulu): Serikali iache kigugumizi ieleze wazi kuhusu ugonjwa wa kupumua unaomaliza watu wa Mbulu

    Mbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema unamaliza watu wa Mbulu. Isaay amezungumza kwa hisia kali bungeni leo Alhamisi Februari 11,2021 akisema hawezi kuzungumzia mpango badala yake anaona bora...
  16. kiben10

    Serikali yakanusha kuwepo mlipuko wa Ugonjwa wowote kata ya Ifumbo, Mbeya. Wizara ya Afya kuichukulia hatua ITV

    Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima ameagiza kusimamishwa kazi Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Chunya, Dkt. Felista Kisandu kupisha uchunguzi kwa madai ya kutoa taarifa zisizo sahihi za ugonjwa usiofahamika. Amesema hata kama ugonjwa huo ungekuwepo waziri ndiye anatakiwa kutoa taarifa. Zaidi, soma...
  17. R

    Sababu 5 kwanini Afrika haina vifo vingi vya Corona kama ilivyo US, Ulaya na Asia

    By Anne Soy BBC Senior Africa correspondent Nadhani sababu namba tatu na Nne zimetusaidia zaidi: Kun literature ya kutosha kuhusu hizo point mbili na siyo sala za Mungu na kujifukiza So what are some of the reasons for Africa's relatively low death rate Coronavirus in Africa: Five reasons why...
  18. Da Vinci XV

    Anubi: Mungu wa mauti na vifo

    Wasaalaam, Anubis ni mungu wa Misri Huyu alikuwa mungu wa utunzaji wa maiti na maisha ya baadaye na pia mungu wa walinzi wa roho zilizopotea na wanyonge. Yeye ni mmoja wa miungu ya zamani zaidi ya Misri, ambaye inaelezwa ana uwezekano mkubwa alikua kutoka kwa mungu wa mbwa mwitu wa zamani...
  19. Erythrocyte

    Vifo vya vigogo vyaacha Simanzi

  20. Analogia Malenga

    Zimbabwe: Vifo vya Mawaziri vyafanya masharti ya kujikinga na COVID-19 kuongezeka

    Wizara ya Afya ya Zimbabwe imetangaza kuongeza Lockdown ambapo baa, migahawa, sehemu za mazoezi na biashara zisizo na umuhimu zitafungwa Baadhi ya watu ameonekana kutofuata masharti ya Afya hivyo polisi watakuwa wanafanya doria jioni kuhakikisha ‘curfew’ inazingatiwa Zimbabwe imeripoti...
Back
Top Bottom