vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    #COVID19 Taarifa za vifo vya Covid-19 zinatia shaka

    Jana tarehe 09/01/2021 kulikuwa na vifo zaidi ya elfu tatu vinavyotokana na Corona huko Marekani. Hii inatia shaka! Inavyoonekana ni Kama akifa mtu mwenye virusi vya Corona wanasema amekufa kwa Corona hata Kama alikuwa anaumwa pia ugonjwa mwingine. Si kila mtu mwenye virusi vya Corona ni...
  2. Miss Zomboko

    Morogoro: Vifo vitokanavyo na ajali za barabarani vyapungua kwa asilimia 25

    Vifo ajali barabarani vyapungua 25% Vifo vinavyotokana na ajali za barabarani mkoani Morogoro vimepungua kutoka 90 mwaka 2019 hadi 57 mwaka jana, sawa na asilimia 25. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Musilimu, alisema jana kuwa vifo hivyo vimepungua kutokana na elimu inayoendelea...
  3. Mr Dudumizi

    Hili suala lina uhusiano gani na vifo vya watu

    Kwanza kbs natanguliza salam kwa kila mwanachama mwenzang hapa JF, na pia nawatakia heri ya xmass na mwaka mpya ujao. Niende sasa kwenye mada kuhusu mambo ambayo nimeyaona na kuyasikia kwa watu mbalimbali, lkn kwa kuokoa muda leo nitazungumzia matukio mawili ambayo nimeyashuhudia kwa macho...
  4. Mwamuzi wa Tanzania

    Napinga kauli za kusema "Mwisho wa mwaka ajali na vifo ni vingi

    Mtu anatoa kauli hii bila kutoa takwimu za vifo au ajali za miezi mingine huku akilinganisha na Desemba. Kwakuwa watu wengi wako likizo basi habari husambaa haraka na kwa wingi. Tukio moja likitokea hupambwa kwenye media zote. Pia ili upige hesabu sawia ya takwimu ya ajali barabarani usisahau...
  5. beth

    Uchaguzi 2020 IGP Sirro: Kukaa na kulinda kura ni dalili ya kufanya vurugu, baada ya kupiga kura rudini nyumbani

    Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amewataka Wananchi kujitokeza kwa wingi na kupiga kura kesho akiwashauri warudi nyumbani na kuendelea na shughuli zao. Ameeleza kuwa, baadhi ya viongozi wamekuwa wakihamasisha wapiga kura walinde kura, kitendo ambacho amesema ni dalili ya kufanya fujo...
  6. Analogia Malenga

    Uchaguzi 2020 CHADEMA yailaumu NEC kwa vifo vya mawakala watano wa chama hicho

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amewalaumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa vifo vya mawakala watano wa chadema katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo – Sumbawanga Mnyika amesema mawakala hao wamefariki walipokuwa wanawahi ofisi za Mkurugenzi kuapishwa kutokana na utaratibu...
  7. Sky Eclat

    Viongozi mfikirie kumbukumbu (legacy) mtakayoaichia jamii baada ya madaraka na vifo vyenu

    Wazungu wanasema legacy ni pesa au mafao unayo yaacha kwenye jamii yako baada ya kifo chako. Dunia ya leo ina kumbuka legacy ya Mwalimu Nyerere si kwakua alijilikimbizia mali bali alijali watu wake mpaka mwisho wa madaraka yake. Kwa exposure ya Nyerere, aliweza kuangalia Cuba Fidel Castro...
  8. Analogia Malenga

    RC Kunenge: Mvua zimesababisha vifo vya watu 12, nyumba 107 zimesombwa na maji na nyingine 800 zimezingirwa!

    Mvua yaacha vilio Dar WATU 13 wamefariki dunia, wakiwamo wanane ambao vifo vyao vimetokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, watu watano ambao ni wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kuungua moto...
  9. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Nitajenga zahanati kila kijiji, vituo vya afya katika kila kata ili tutoe huduma bora ya afya na kudhibiti vifo vya wajawazito

    NJOMBE- MAKAMBAKO Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya Bajeti ndani ya miaka 10 ijayo. Ongezeko la bajeti litawezesha katika kuandaa miundombinu ya kisasa, wataalam, vifaa tiba na vipimo vya kutosha kwa maradhi yote. Aidha ongezeko la bajeti...
  10. Sam Gidori

    Guterres: Hatutakiwi kuyasahau hata maisha ya mtu mmoja aliyetutoka

    Vifo vinavyotokana na maabukizi ya virusi vya corona vimezidi watu milioni moja, kwa mujibu wa takwimu za Chuo Kikuu cha John Hopkins, huku Shirika la Afya Duniani likionya kuwa idadi hiyo inaweza kuwa ndogo zaidi ikilinganishwa na uhalisia kutokana na changamoto katika upatikanaji wa takwimu...
  11. CUF Habari

    Lipumba: Wanawake nchini hawapati huduma bora wakati wa kujifungua, nichagueni kuwa rais nitatoa huduma bora ya afya na kudhibiti vifo vya wajawazito

    WANAWAKE NCHI HII HAWAPATI HUDUMA BORA WAKATI WA KUJIFUNGUA NICHAGUENI KUWA RAIS WA NCHI HII NITATOA HUDUMA BORA YA AFYA NA KUDHIBITI VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO."PROF.LIPUMBA BUKOBA MJINI Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya Bajeti ndani ya miaka...
  12. CUF Habari

    Prof. Lipumba akiwa Dodoma Mjini: Mkinichagua kuwa Rais wa nchi hii nitatoa huduma bora ya afya na kudhibiti vifo vya wajawazito na watoto

    MKINICHAGUA KUWA RAIS WA NCHI HII NITATOA HUDUMA BORA YA AFYA NA KUDHIBITI VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO."PROF.LIPUMBA" DODOMA MJINI Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya Bajeti ndani ya miaka 10 ijayo. Ongezeko la bajeti litawezesha katika kuandaa...
  13. Replica

    Hofu ya Covid19: Wanawake wanaozalia nyumbani waongezeka maradufu huku vifo vya uzazi haviripotiwi

    Wanawake zaidi wanajifungulia nyumbani kutokana na hofu ya Covid 19 huku vifo vikiwa haviripotiwi kwa mamlaka husika, takwimu zilizotolewa na serikali zimesema. Kwenye ripoti ya CRS imesema idadi ya vizazi iliyosajiliwa imeshuka kwa asilimia 13.3 na usajili wa vifo ukipungua kwa asilimia 15...
  14. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Wagonjwa wengi sana hata wale walio Mahututi Siku Moja tu kabla ya Vifo vyao huwa wanakuwa Wachangamfu mno?

    Rejea zako tu hapo Kichwa cha Habari kisha anza 'Kutiririka' na 'Kuserereka' zako kulingana na 'Uzoefu' wako kama nawe hii hali imeshakukuta pia.
  15. Influenza

    Je, dawa ya COVID19 ya Madagascar imedunda? Mji Mkuu wa visiwa hivyo, Antananarivo wawekewa lockdown kwa mara nyingine

    Madagascar imeuweka Mji wake Mkuu, Antananarivo kwenye ‘lockdown’ mpya kufuatia ongezeko jipya la maambukizi ya CoronaVirus ikiwa ni miezi miwili tangu masharti ya ‘lockdown’ hiyo yalipolegezwa Taarifa kutoka Ikulu imesema “Mkoa wa Analamanga, ambapo Mji Mkuu unapatikana, unarudishwa kwenye...
  16. J

    RC Chalamila: Mbowe aliona shetani, majeneza na vifo lakini Rais Magufuli alimuona Mungu na kuishinda Corona

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema katika kuikabili Corona mh Mbowe wa Chadema aliona shetani, majeneza na vifo ndio maana aliogopa na kukimbilia chumbani kujificha yeye na kundi lake. Lakini Rais Magufuli alimwona Mungu akazipeleka haja zetu mbele zake, Mungu akatupigania nasi...
  17. B

    Corona: Tuweni macho na hivi vifo vya ghafla ghafla

    Akili za kuambiwa changanya na za kwako. Vifo vinavyotokea ghafla ghafla katika zama hizi ambazo mamlaka kwa makusudi haina nia ya kufahamu vyanzo vya vifo, akili za kuambiwa changanya na za kwako. Hapa pana rubani wa Afrika kusini na aina ya vifo hivi: Angalau hawa wanayo nia ya kufahamu...
  18. FRANC THE GREAT

    Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Habari! Karibu ili kujuzwa na pia kupata taarifa (masasisho) mbalimbali ya kile kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) almaarufu kama "kirusi cha Wuhan" kutoka nchini China. Katika uzi huu utapata kufahamu mambo mbalimbali hususani hali ya ongezeko na ukuaji, jitihada...
  19. Allen Kilewella

    Vifo vya watu maarufu Iringa vinastusha sana!!

    Kwa takribani siku kumi zilizopita vimetokea mfululizo vifo kadhaa vya watu maarufu hapa Iringa hadi kuzusha maswali mengi sana. Inawezekana Mungu ameamua kuchukua watu maarufu wanaofahamika hapa Iringa ili kuleta watu wengine maarufu wa kizazi hiki. Lakini inafikirisha sana!!
  20. Hata Sina kinyongo

    Mbona vifo tata vimepungua sana!?

    Kwakweli hali ni tofauti na wiki mbili nyuma vifo tata na hata uenezwaji wa taarifa za vifo vihusianavyo na Corona havisikiki tena! Hata wanaharakati waliokuwa wakitujuza misiba mbalimbali na kuihusianisha na Covid 19 pia wapo kimya! Ndiyo kusema Corona bye-bye!? Mungu ibariki Tanzania na...
Back
Top Bottom