Wakati hali ya joto ambayo imetajwa kuvunja rekodi ikiendelea Nchini Canada, Polisi huko British Columbia imepokea ripoti za takriban vifo 70 vilivyotokea ghafla tangu Jumatatu.
Imeelezwa, wengi kati ya waliofariki dunia ni Wazee na joto lililopo katika eneo hilo limetajwa kuchangia kwenye vifo...
Mamlaka za Afya Nchini Zambia zimeeleza wasiwasi wake juu ya ongezeko la vifo vitokanavyo na Virusi vya Corona wakati huu ambapo Taifa hilo linapambana na wimbi la Tatu la Maambukizi
Waziri wa Afya, Dkt. Kennedy Malama amesema vifo 407 vimeripotiwa ndani ya wiki tatu za wimbi hilo. Jumla ya...
Idadi ya waliopoteza maisha kutokana na mlipuko wa Corona Nchini Brazil imefikia 500,000 huku Wataalamu wakionya janga hilo linaweza kuwa baya zaidi kutokana na kasi ndogo ya utoaji Chanjo
Maelfu ya watu wameandamana Jumamosi dhidi ya Serikali wakitaka mabadiliko katika programu ya Chanjo. Miji...
Mabibi na mabwana zimekuwapo nadharia nyingi na zingine nyepesi nyepesi kuhusiana na vifo na wendazao.
Mtumishi huyu wa Mungu katika udadavuzi wake kwa hakika ana hoja za msingi:
Kwamba pana vifo vya aina 4:
1. Uzee (wa miaka ma Mia wako hapa)
2. Vya kusababishwa na kusababishiwa (wa kwenye...
IMEBAINISHWA kuwa magonjwa yasiyoambukiza kama kisukari, saratani, moyo na mfumo wa njia ya hewa husababisha theluthi mbili ya vifo duniani.
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Idara ya Afya ya Jamii na Lishe wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Dk.Ray Masumo wakati akifungua semina...
Nimesikia taarifa ya ajali ya Basi la Kampuni ya Isamilo kutoka kwa kanda ya Ziwa kwenda Mkoani Mbeya majira ya kati ya saa Tisa na saa kumi alfajiri baada ya kupita kidogo Chimala.
Iasemekana kuna vifo vya watu 3 akiwemo katoto kadogo, hatuji chanzo cha ajali lakini najiuliza hawa madereva...
Maji Maji in light of Namibia genocide
SATURDAY MAY 29 2021
National Archives of Namibia, Windhoek. Historian Jürgen Zimmerer is one of the most respected experts in German colonial history. Photo by Kettengefangene
Dar es Salaam. The memories about Maji Maji rebellion emerged among some...
Kuendelea tu Kunyamaza Kwenu kama sehemu ya ( za ) Familia ni kutoa mwanya kwa Wazushi na Wambea ' Kutudanganya ' Watanzania na kuanza kuishi kwa Taharuki ( Wasiwasi ) kitu ambacho nakiona kama vile hakina Ustawi Kwetu.
Ila GENTAMYCINE huwa nikisia Taarifa za chini chini ( za Uzushi ) kuwa...
Kuna Mambo mawili unayotakiwa kuyajua rushwa, ma drugs na mabiashara yote haramu yanaendeshwa na watu kuuza mpaka viungo na mauaji yote anayofanya ni mwanadamu. Lengo kubwa ni watu Wapate karatasi inayoitwa hela hivyo unajikuta umetumbukia pabaya. Tunalishwa sumu, makapi, vitu vilivyo expire...
Kulingana na tafiti ya the Institute of Medicine (IOM)- 2006, majeruhi 1.5 million kila mwaka hutokana na wafamasia, waudumu wa afya kushindwa kusoma maandiko ya madaktari. Vifo zaidi ya 7000 hutokana na mgonjwa kupatiwa dawa isiyo sahihi tofauti na maelezo ya madaktari.
Muda mwingine hata...
Utafiti wa Shirika la Afya duniani WHO, na la kazi duniani ILO unaonesha kufanya kazi kwa muda mwingi katika kipindi cha mwaka 2016, kumechangia vifo 745,000.
Katika utafiti weao huo, mashirika WHO na ILO kwa pamoja yanakadiria watu 398,000 wamekufa kutokana na ugonjwa wa kiharusi na 347,000...
Nakumbuka aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza mzee Mabina aliuawa kwa kupigwa mawe.
Kadhalika aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Geita Alphonce Mawazo aliuawa kama jambazi.
Hii dunia kuna binadamu makatili jamani.
Eid Mubarak!
Mashambulizi ya maroketi yameendelea siku ya Ijumaa kati ya Israel na Palestina, huku idadi ya vifo na majeruhi pamoja na uharibifu wa mali vikiongezeka.
Israel imeendelea kufanya mashambulio katika ukanda wa Gaza ikipuuzia wito wa Jamii ya Kimataifa wa kusitisha mashambulizi, ikisababisha vifo...
New Zealand ipo kwenye mchakato wa kupiga marufuku uuzwaji wa sigara na bidhaa nyingine za tumbaku kwa Mtu yoyote aliyezaliwa baada ya mwaka 2004
Ni juhudi za kuondokana kabisa na matumizi ya sigara ikiwezekana hadi kufikia 2025 Mtu yeyote asivute sigara Nchini humo.
=================
New...
Mkurugenzi mkuu wa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (Nemc), Dk Samuel Gwamaka amekifunga kiwanda cha nondo cha Fujian Hexingwang kwa sababu hakina mazingira mazuri ya watu kufanya kazi.
Hatua hiyo imetokana na vifo vya wafanyakazi wawili wa kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Mkuranga...
Idadi ya vifo vinavyotokana na Ugonjwa huo imezidi 400,000. Nchi hiyo ni ya pili duniani kurekodi vifo vingi zaidi huku ikiendelea kupambana na mpango wake wa utoaji Chanjo.
Ndani ya saa 24 zilizopita vifo 3,001 vimerekodiwa. Bunge la Nchi hiyo limeanza uchunguzi kuhusu namna Serikali...
Chonde Chonde Serikali ya Awamu ya 6 wekeni taa katika uwanja wa ndege wa Bukoba, msisubili vifo na majanga yatokee ndiyo taa hizo ziwekwe. Tatizo hili limekuwa la muda mrefu na sijui tatizo liko wapi, ambapo uwanja wa ndege wa Bukoba ni kati ya viwanja vichache nchini vyenye habiria wengi na...
Angalia Laurent Kabila alivyouawa, mlinzi wake Rashid Kasereka, ambaye baadaye alipigwa risasi na Col Eddy Kapendi. Ni kama mchezo wa kuigiza. Maana inasemekana Rashid alikuwa anasubiriwa na mtu nje ya Ikulu huku ngazi ya kuruka ukuta nje ikiwa imeandaliwa. Mpaka leo hii nani alipanga njama za...
Habari JF,
Itakumbukwa siku za mwishoni za kuishi za mpendwa wetu, shujaa wa Afrika na mzee wa kuacha alama (legacy) katika kila alilokuwa anafanya hapa nchini watu wengi sana waliibuka kumpinga vikali juu ya uwepo wa second version ya covid 19 hapa nchini na duniani kote
Tanzia nyingi...
Moshi, Same. Watu 10 wamefariki katika ajali ya gari iliyotokea kijiji cha Kirinjiko Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya waliofariki katika ajali hiyo iliyotokea leo jioni Jumanne Aprili 13, 2021 baada ya gari aina ya Toyota Alphard kugongana uso kwa uso na gari jingine aina ya Toyota...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.