vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    #COVID19 WHO: Janga la Corona limechochea ongezeko la vifo vitokanavyo na Malaria

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema vikwazo katika Huduma ya Afya vilivyotokana na janga la COVID-19 vimepelekea vifo 69,000 zaidi vya Malaria mwaka 2020, ikilinganishwa na mwaka uliopita. Takriban watu 627,000 ulimwenguni, wengi wao watoto wadogo kutoka Mataifa masikini ya Afrika walifariki...
  2. Idugunde

    #COVID19 Hadi Novemba 28, maabukizi ni watu 26,273 na vifo ni 731

    Waziri wa Afya, Dkt Dorothy Gwajima amesema takwimu za Tanzania zinaonyesha hadi kufikia Novemba 28, 2021 jumla ya watu waliothibitika kuwa na maambukizi ya #Uviko-19 ni watu 26,273 na vifo 731 ambavyo vimetolewa taarifa.
  3. beth

    Sudan: Wananchi waendelea kuandamana kupinga mapinduzi, idadi ya vifo yafikia 11

    Maandamano ya kupinga Mapinduzi yaliyoongozwa na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan yameendelea, huku Ripoti zikidai idadi ya waliopoteza maisha imeongezeka kufikia 11. Watendaji katika baadhi za Wizara na Taasisi za Serikali wamepinga hatua ya Jeshi kuchukua Mamlaka na wamekataa kuachia nafasi...
  4. Teleskopu

    Ongezeko la vifo kwa asilimia 5,427

    Huku akitumia data za: CDC (Centre for Disease Control) FDA (Food and Drug Administration) na VAERS (Vaccine Adverse Events Reporting System), Dr Jessica Rose amewasilisha uchambuzi wake unaobainisha ongezeko KUBWA la vifo kwa asilimia zaidi ya 5,000 😲:oops: kwa kipindi cha chini ya miaka hii...
  5. B

    #COVID19 Hayati Magufuli alificha taarifa ya Vifo vya Corona at our Risk

    Salim Ahmed Salim foundation imetoa mchango wa 100m/- MUHAS kuunga mkono jitihada dhidi ya UVIKO-19. Hatua ya kupongezwa kabisa yenye kustahili kuungwa mkono bila kujali nani haoni umuhimu huo. Hata hivyo wakfu huo wamesema walisukumwa kutoa pesa hizo katika kuyaenzi maisha ya marehemu mke wa...
  6. Miss Zomboko

    Rais wa Brazil kushtakiwa kwa makosa ya Uhalifu Dhidi ya Binadamu

    Brazil's president will be accused of a series of crimes over his handling of the country's COVID-19 pandemic, a draft of a major inquiry report says. The report is the culmination of a six-month inquiry that has revealed scandals and corruption in government. President Bolsonaro has been...
  7. Analogia Malenga

    #COVID19 WHO: Vifo vya TB vimeongezeka kutokana na athari za COVID-19

    Shirika la Afya Duniani(WHO) limesema vifovinavyotokana na maradhi ya TB vimeongezeka duniani kwa kuwa juhudi nyingi zimeelekezwa kwenye #COVID19. Hadi sasa watu milioni 4.1 wanaugua TB kutoka watu milioni 2.9 mwaka 2019. Ambapo WHO wamesema kuna haja ya kuwekeza kwenye namna ya kuwapima na...
  8. beth

    #COVID19 Urusi yarekodi vifo 984 ndani ya saa 24 zilizopita

    Urusi imerekodi idadi kubwa ya vifo vinavyotokana na Virusi vya Corona kwa siku ya pili mfululizo. Nchi hiyo inakabiliwa na Wimbi la maambukizi na vifo, hali iliyopelekea Serikali kuamuru kasi ya utoaji Chanjo kuongezwa. Vifo 984 vimerekodiwa leo na idadi hiyo ni kubwa zaidi ndani ya siku moja...
  9. beth

    #COVID19 Vifo Nchini Brazil vyafikia 600,000

    Taifa hilo limerekodi zaidi ya vifo 600,000 vya COVID19, ikiwa ni Nchi ya pili duniani kufikisha idadi hiyo baada ya Marekani ambayo imerekodi vifo 672,196 tangu kuanza kwa mlipuko Brazil imerekodi visa vipya 18,172 na vifo 615 kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Wizara ya Afya =======...
  10. M

    #COVID19 Hadi 07/10/2021 wananchi wa Marekani waliochanja ni 65%. Lakini maambukizi mapya ni 102,000 na vifo kwa jana ni 1,709!

    Hapo ndkpo mjue hii chanjo ya corona haisaidii kitu. Marekani ni moja ya mataifa ya kibeberu yaliyofanikiwa kuchanja zaidi ya asilimia 60 ya watu wake. Kiwango hicho kinadharia kinapaswa kuikinga jamii na maambukizi mapya kwa kuleta kitu kiitaacho "herd immunity", Lakini kwa corona hakuna...
  11. Analogia Malenga

    Kenya: Vifo vilivyotokana na COVID-19 vyafikia 5,128

    Kenya imepata jumla ya maambukizi 249,725 tangu kuripotiwa kwa Virusi vya Corona nchini humo. Vifo vya Corona vimefikia 5,128 kwa takwimu walizotoa Oktoba 1 Hadi kufikia sasa watu 241,828 wamepona wakati watu 963 wakiwa bado hospitalini na wengine 2,078 wakitibiwa majumbani mwao Wagonjwa 61...
  12. Analogia Malenga

    #COVID19 TAKWIMU: Vifo vya COVID-19 Tanzania vyafikia 714 hadi Septemba 20, 2021

    Wizara ya Afya imetangaza vifo vilivyotokana na janga la Corona vimefikia 714 huku maambukizi yakiwa 25,674 tangu kuripotiwa kwa ugonjwa huo hadi kufikia Septemba 20 Watu 4,355 wamelazwa huku 80 kati yao wakiwa ICU. Watumishi wa Afya walioripotiwa kuwa na maambukizi ni 3,276 Muitikio wa kupata...
  13. beth

    WHO: Vifo milioni 7 vyatokana na uchafuzi wa hewa

    Shirika la Afya Duniani, WHO leo limeimarisha miongozo yake ya ubora wa hewa, likisema uchafuzi wa hewa kwa sasa ni moja ya kitisho kikubwa cha kimazingira kwa afya ya mwanadamu. Shirika hilo limesema uchafuzi wa hewa unasababisha vifo milioni saba kwa mwaka na kwamba hatua za haraka zinapaswa...
  14. beth

    #COVID19 WHO: Maambukizi na vifo vya Corona vyapungua

    Shirika la Afya Duniani, WHO limesema idadi ya wagonjwa na vifo vitokanavyo na COVID-19 vimeendelea kupungua ulimwenguni katika wiki iliyopita. WHO imesema leo kuwa zaidi ya visa milioni 3.6 na chini ya vifo 60,000 vimeripotiwa kati ya Septemba 13 na 19. Kupungua kwa kiasi kikubwa cha visa...
  15. T

    Serikali imeahidi shirika la Fedha Duniani, IMF kwamba itaanza kutoa takwimu za wagonjwa wa covid na vifo kila wiki kuanzia mwishoni mwa Septemba

    Serikali ya Tanzania imeahidi shirika la fedha Duniani la IMF kwamba itaanza kutoa takwimu za vifo na maambukizi mapya ya ugonjwa wa covid 19 kila wiki kuanzia mwishoni mwa mwezi Septemba 2021 kama masharti mojawapo ya kupewa mkopo. Serikali iliomba mkopo wa zaidi ya Dollar Milioni 500 za...
  16. S

    Serikali ya CCM iliahidi kutengeneza njia nne mlima wa Mbalizi Mbeya hadi leo kimya, Dr. Tulia sasa wewe ndio mbunge wa Mbeya, unasubiri vifo vingapi?

    Hakuna kitu kinakera kama ahadi za uwongo wa wanasiasa. Na mbaya zaidi ni pale ambapo wanaahidi uongo kwa vitu ambavyo vinagharimu maisha ya watu. Kwa nini wanasiasa wanapenda kusema uongo? Tuchukulie huu mteremko wa Mbalizi unapotoka Mbeya mjini kwenda Songwe airport, Mbozi Tunduma na hata...
  17. Shadow7

    Kimbunga Ida: Idadi ya vifo yapanda hadi watu 41 katika majimbo manne ya kaskazini mashariki mwa Marekani

    Baadhi ya wakazi wamekwama katika maeneo ya chini ya nyumba zao yaliyofurika maji pamoja na ndani ya magari yao Rais wa Marekani Joe Biden anasema "uwekezaji wa kihistoria " unahitajika kukabiliana na mzozo wa hali ya hewa, huku maeneo ya kaskazini-magharibi mwa nchi yakikabiliwa na mafuriko...
  18. I

    Uviko-19: Vifo mfululizo vya wazee wetu siku za karibuni, chanjo haisaidii?

    Tangu kuletwa kwa chanjo kipaumbele ilikuwa ni kuwapa chanjo umri 50+ Ila sasa tangu wameanza kupatiwa hiyo chanjo hao 50+ kumekuwa na ongezeko la vifo vya 50+ Je, hii chanjo haisaidii?
  19. mugah di matheo

    #COVID19 Siasa za nchi yetu na wingi wa vifo mitaani

    Habari wadau wa JF Kuna vurugu za maneno zinaendelea huko Kati ya wanasiasa katiba mpya na wengine chanjo ya covid19. Tukiangalia mtaani vifo vimekuwa vingi lakini hatujui chanzo chake nini. Tunaambiwa kuwa covid19 wagonjwa wapo lakini hawafiki hata 1000 maana last time Gwajima kuongelea hilo...
  20. T

    #COVID19 Marekani inatarajia kutoa 'booster vaccine' kwa watu wote waliopata chanjo

    Leo Jumatano, serikali ya Marekani inatarajia kutangaza kuanza kutoa chanjo ya pili kwa wale waliopata chanjo ya J&J ama ya tatu kwa waliopata chanjo zingine za kukabiliana na covid 19 kwa watu wote waliopata chanjo. Awali, wiki iliyopita, taasisi ya afya na chakula ya Marekani, FDA ilitoa...
Back
Top Bottom