Huyo kiongozi wa dini ya uislamu anayeongoza Iran alijitokeza na kusifia sifia Wapalestina kwa wao kujitolea kufa, ila rais wa Palestina amemsuta na kumwambia Wapalestina wameteseka, wamekufa 36,000 na 83,000 kujeruhuwa kwenye vita ambavyo havina umuhimu kwao.
============================...
Inspekta Jenerali wa Jeshi la Police (IGP) Abbas Byakagaba ametangaza kusitisha Mikutano yote ya Hadhara Chama cha Upinzani cha National Unit Platform (NUP) kinachoongozwa na Bobi Wine kutokana Watu wawili kufariki katika Mikutano hiyo
Hatua hiyo inakuja ikiwa ni siku mbili tangu kuanza kwa...
Hii njia sasa imeshakuwa kero kwa wananchi. Haipiti siku bila kutokea ajali eneo la mzinga darajani mpaka kongowe. Wiki iliyopita lori lilifeli breki na kusomba wapita njia na kuwaingiza mtoni. Zaidi ya watu 5 walifariki hapo hapo. Wiki iliyopita nyuma yake lori liliangukia bajaji na wakapotea...
Eneo la mada
Miundombinu ya Usalama barabarani.
Mada:
UJENZI WA VITUO VYA DHARURA BARARANI ILI KUTOA HUDUMA KWA MAJERUHI WA AJALI ITASAIDIA KUPUNGUZA IDADI YA VIFO HAPA NCHINI.
Uwepo wa vituo vya dharura barabarani ni msaada mkubwa wa kuokoa maisha ya binadamu wenzetu pale inapotokea ajali...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema idadi ya Vifo vya Wajawazito vimepungua kutoka Vifo 556 vilivyotokea mwaka 2016 hadi kufikia Vifo 104 kwa kila Vizazi Hai 100,000
Akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2024/25 Bungeni, pia, Waziri Ummy amesema Vifo vya Watoto wenye chini ya Miaka...
Mahakamani ni sehemu ya ajabu sana kwa wale wenzetu tusiofikiria sheria wala maamuzi. Hili swala lilo lalamikiwa na jeshi la polisi kupitia afande muriro linawezaa kuzua mjadala mwengine ambao ukageuka kibao kwao kuhusu utata wa vifo vinavyo tokea kupitia wao au kuzuka jambo la kupotea kwa watu...
Kliniki mwendo (mobile clinic): Suluhisho ya vifo vya mama wajawazito, watoto,makundi maalum sehemu za pembeni na vijijini nchini
Utangulizi
WAKATI nchi nyingi duniani zikiendelea na mkakati wa kuboresha sekta ya afya ili kufikia agenda ya 2030 Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) lengo 3...
Habari ndugu zanguni,
Naomba tushauriane na tutoe ya moyoni kuhusu shule zinazowaingiza watoto kufanya usafi kwenye maghala ya kuhifadhi mahindi hizi ishu naona isipoziwa sauti itakuwa sugu kwa sasa. Jana nimeona watoto Watatu wa Form 3 wamefariki Dunia baada ya mwalimu kuwachukua watoto sita...
UTANGULIZI
Magonjwa yasiyoambukizwa ni magonjwa ambayo hayatokani na kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwengine. Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la afya duniani, magonjwa yasiyoambikizwa yanaongoza kwa kusababisha vifo duniani kote ikiwemo Tanzania. Vifo 32 kati ya 100 duniani kote...
Maafa ya mvua tar 25/04/2024 mkoa wa Kilimanjaro.
Kata ya Kimochi s/m Lyakimbila
VIFO
1. FREDY GAGALA DRS 1
2. ANGEL CHAKI DRS 7
3. EDWARD CHAKI F II KOMAKYA SEC.
KATA YA MBOKOMU
FUKENI SHULE YA MSINGI
Kifo Cha mwanafunzi
Joram Peter kimambo darasa la 5.
Miili yote IPO Mawenzi hospital...
Wanahabari,
Isack Gamba, Ahmed Juma Baragaza, Fredwaa, Ephraim Kibonde, Agnes Almasy, Samadu Hassan, Gardner G Habash, Prince baina kamukulu na wengine wengi wameondoka wakiwa na umri mdogo.
Inaweza ikawa ni kawaida au isiwe kawaida hasa tukifanya ulinganifu na tasnia nyingine ambazo ni siasa...
Kuna hii barabara ambayo inatokea Pasiansi sokoni kupitia Taqwa Sekodari Lumala kwenda Kiseke yenye urefu usiozidi km 1.5 lakini muhimu sana kwa matumizi maana ni eneo lenye wakazi wengi.
Barabara imeharibika sana na ina msongamano mkubwa wa magari hasa mabasi ya wanafunzi ambayo yanawahisha...
Kifo ni kifo lakini vifo vya wahanga wa ajali hii, looh! Mtu usemeje?
Watu wazima waliokuwa kwenye gari lile waliotoka salama, wanacho nini cha kumwambia nani leo?
"Kwa hakika mtu mzima aliyekufa na watoto wale akipambana kuwakoa alifanya yote yaliyokuwa sahihi."
Hawa watu ilikuwa muhimu...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt Stergomena Tax (Mb), atoa salamu za pole Kufuatia Vifo na Majeruhi ya Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ Walioko DRC.
Nimeona madhara yaliyoletwa na maji kwenye eneo la Rufiji. Nafahamu wapo watu wanapiga propaganda kuhusu bwawa la umeme kuwa ni chanzo cha mafuriko haya.
Ndugu zangu tumetoka kwenye mgawo wa Umeme juzi tu; tunapoona umeme umerejea bila mgawo tutambue wapo viumbe wazalendo walifikiria kuikomboa...
Wakati wewe ukienda kuhani msiba unaogopa hata kuaga maiti kwa kuitazama au basi ukiaga unaanza kutusumbua wiki nzima kwamba marehemu anakutokea kwenye kona, basi jua kwa hawa mabwana hali ni tofauti.
Kila mnyonge na mnyonge wake.
Wao hawakuishia kuiona maiti, bali waliisasambua kabisa mpaka...
Imagine hadi watu wanakufa kufikia 429 serikali haijui? Watu 429 sio wachache hii inamaanisha kuna watu wengi sana wanapotea na kufa pasipo serikali kujua.
Swali linakuja kama intelligencia iko weak hivi inawezaje ikashinda vita dhidi ya ugaidi ambao wanatumia njia za kisasa na mipango ya...
Watu 115 waliuawa na zaidi ya 140 kujeruhiwa wakati watu wenye silaha waliposhambulia ukumbi wa tamasha uliojaa watu eneo la pembeni mwa Moscow, Urusi inasema.
Moto mkubwa uliteketeza paa la jengo hilo na video ya kusisimua inaonyesha watu waliokuwa kwenye tamasha wakipata hifadhi huku milio ya...
Idadi ya Watu waliouawa kwenye shambulizi katika eneo la Crocus City Hall Nchini Urusi imefikia 93 huku majeruhi wakiwa ni zaidi ya 140.
Shambulizi hilo la kigaidi ambalo Kikundi cha Kigaidi cha ISIS kimedai kuhusika nalo, limetokea usiku wa kuamkia leo ambapo Vijana walioficha sura zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.