Kuna Watu Wanafanya Kumbukizi ya Vifo vya Watu Wengine Lakini vya Wazazi Wao Hawafanyi

Kuna Watu Wanafanya Kumbukizi ya Vifo vya Watu Wengine Lakini vya Wazazi Wao Hawafanyi

Baba au mamaako aliwahi kuwa Rais?
Pili uliambiwa Kila unayemuona amelelewa na wazazi wake?
Urais wa huyo Kiongozi wenu unawezaje kuchukua nafasi ya wazazi au ndugu?

Kwamba Mimi niache kutoa uzito affairs za wazazi wangu au ndugu zangu Kwa Ajili ya SSH Kisa namkubali? Haya ni kati ya maajabu ya binadamu,hao ndio wale Huwa wanazimia kabisa kwenye misiba ya Wanasiasa 🤣🤣
 
Wewe tulia. Watu wanaombeleze kiongozi wao wanayempenda.
 
Nitakuumbua na andiko zako za zamani. Nyie ni watu ambao akikuchukia hata ufanye lipi zuri utaona ni baya. Hii inaonesha kuwa mtu hajaelimika. Binadamu akifanya zuri, msifie, akifanya baya, mlaumu.
Umbua tuone
 
Kama raisi aliye pendwa na watu wengi na aliye kuwa mchapa kazi, kurudisha nidhamu kazini na kukomesha ufisadi kwa vitendo.
Kama ni kuchapa kazi anamzidi nini wa Sasa? Toa mifano ya hizo kazi.

Hilo la kupendwa siwezi kubisha au kukubali maana hakuna aliyemfikia Mwl.au hata JK.
 
Back
Top Bottom