min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Wa sasa ni nan?Kama ni kuchapa kazi anamzidi nini wa Sasa? Toa mifano ya hizo kazi.
Hilo la kupendwa siwezi kubisha au kukubali maana hakuna aliyemfikia Mwl.au hata JK.
Wa sasa ni nan?Kama ni kuchapa kazi anamzidi nini wa Sasa? Toa mifano ya hizo kazi.
Hilo la kupendwa siwezi kubisha au kukubali maana hakuna aliyemfikia Mwl.au hata JK.
SSHWa sasa ni nan?
Simfahamu aisee
OkSimfahamu aisee
wew ni nani kuhoji furaha au maamuzi ya mtu? wew ndo utumie akili uache kujifanya mjuaji,, kila anae fanya kumbukizi ya mtu anazo sababu zake maalum sio lazima akushirikishe mzeeTumia vizuri akili,Nauliza tuu Kwa Nia njema ,Huwa mnakumbuka nini hasa?
Ukiulizwa unafurahia nini unakuwa umetukanwa?wew ni nani kuhoji furaha au maamuzi ya mtu? wew ndo utumie akili uache kujifanya mjuaji,, kila anae fanya kumbukizi ya mtu anazo sababu zake maalum sio lazima akushirikishe mzee
Kwani hauna mtu mwingine wa kumtolea mfano mkuu?Kiongozi gani? Nimumie Kwa nini?
Unawezaje kufanya kumbukizi ya kumpenda Kiongozi asiye ndugu Yako kuliko baba au mama Yako aliyekulea?
Mfano Mimi ni shabiki wa SSH,hivi unadhani naweza acha affairs za ndugu zangu Kwa Ajili yake?
Leo ni march17 unamuonea wivu john? Acha kuzugazuga kama muuza utamu pale RiversideHizo ni akili ndogo.
Kwa Nyerere tunajua nini Nchi inakumbuka,na huku mnakumbuka nini?
Huna jibu kaa kimyaLeo ni march17 unamuonea wivu john? Acha kuzugazuga kama muuza utamu pale Riverside
unaniuliza ili ujumuike na mimi kufurahi au unaniuliza ili iweje? ouky furaha yangu mimi inakuhusu nini kwa mfano mpka uniulizeUkiulizwa unafurahia nini unakuwa umetukanwa?
Ili nijue tuu unachofurahia hasa Kwa sababu hakuna furaha au huzuni isiyo na sababu.unaniuliza ili ujumuike na mimi kufurahi au unaniuliza ili iweje? ouky furaha yangu mimi inakuhusu nini kwa mfano mpka uniulize
mi sitaki kukupa sababu ila ninahisi furaha tu 😅😅😅Ili nijue tuu unachofurahia hasa Kwa sababu hakuna furaha au huzuni isiyo na sababu.
unamuonea wivu john? Jibu swali acha kururuka we #tusiHuna jibu kaa kimya
Kumbukizi sio symbol ya upendo per se. Ni review ya maisha ya mtu.Sasa usipowapenda ndugu zako na kujifanya unawapenda ndugu wa wengine ni unafiki na sala isiyokuwa na baraka.
Upendo huanza nyumbani.
Huyu mnaefanya kumbukizi na kujenga sijui maktaba yake kutakuwa na kitu gani Cha kuifaa jamii?Kumbukizi sio symbol ya upendo per se. Ni review ya maisha ya mtu.
Unfortunately, stories za maisha ya watu wa kawaida mara nyingi hazijasheheni anecdotes ambazo zinaweza kuifaa jamii kwa miaka mingi ijayo. Hata kama ndugu zao wangetaka kufanya kumbukizi za maisha yao, pengine hata one hour haitahitajika to unpack their life stories. Kwahiyo afadhali wafanye ibada kanisani yaishe!