Kuna Watu Wanafanya Kumbukizi ya Vifo vya Watu Wengine Lakini vya Wazazi Wao Hawafanyi

Kuna Watu Wanafanya Kumbukizi ya Vifo vya Watu Wengine Lakini vya Wazazi Wao Hawafanyi

Kiongozi gani? Nimumie Kwa nini?

Unawezaje kufanya kumbukizi ya kumpenda Kiongozi asiye ndugu Yako kuliko baba au mama Yako aliyekulea?

Mfano Mimi ni shabiki wa SSH,hivi unadhani naweza acha affairs za ndugu zangu Kwa Ajili yake?
We jamaa lofa tu....unamuonea wivu hayati?...
Una uhakika gani hao watu hawafanyi kumbukizi ya ndugu zao?...
Itakuwa mwamba alikufanya kitu mbaya sio kwa gubu hili bibie
 
Back
Top Bottom