Wamezaliwa na umeme probablyWanakula na kunywa vyakula na vinywaji vya aina gani? Au walizaliwa wakiwa na HIV?
Si dhaniSio kama vijana zamani walikuwa hawafariki sana ila ni Technology imewezesha kupata taarifa nyingi za sehemu mbalimbali kwa urahisi
Na ndiyo maana unaweza kuambiwa kuwa kwenu kuna kijana amefariki ukiingia instagram ukakuta moshi huko kuna msiba wa kijana ukienda. Tena fb unakuta wamepost kijana wa Mara amefariki
We unabaki kushangaa mbona sikuhizi vijana. Wanafariki sana kuliko zamani kumbe hiyo zaman kulikuwa na ugumu wa kupata taarifa kama hizi ukilinganisha na sasa
Source plsWapi Gen Z wanakosea au ni nature tu imeamua,
Kila nikichek ni RIP kwa vijana wadogo.
Kwamba kipindi cha ukimwi umeshika kasi vijana walikuwa hawaondoki kama hivi sasaSi dhani